Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Aaaah hongeren kumbe huwa kuna na vimaneno vya ucku eeeh kudadec !watu mnafaidi
 
Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara....
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua?
Binafsi napenda akinibusu huku akitamka maneno "usiku mwema mpenzi"

Vipi kuhusu wewe rafiki??
akaoge
 
Sasa Mimi ninao watatu ni kwambie ya yupi....?
 
Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara....
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua?
Binafsi napenda akinibusu huku akitamka maneno "usiku mwema mpenzi"

Vipi kuhusu wewe rafiki??

Mimi huwa napenda anifanyie pedicure........ aaaaah.......burdan.......
 
Back
Top Bottom