Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,615
Na ww ni single kumbe??? Nkajua album
Hahaahha..... no stress kwa raha zangu yani
Na ww ni single kumbe??? Nkajua album
Tuambie tuu unavouambiaga huo mto
Kwani shemeji umeachika lini mbona sina taarifa?Lazima niununue huu mto.
mi napenda anifunike shuka...baaasi!!!
Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara....
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua?
Binafsi napenda akinibusu huku akitamka maneno "usiku mwema mpenzi"
Vipi kuhusu wewe rafiki??
Mmhhhhuu aaaahhaaaa, no comment hhhaaaaaa. Thanks!
mi napenda anifunike shuka...baaasi!!!
Till this time upo humu naona hajafanya kazi yake ya kukufunika,,,lol
Hahahahaha lol!!!! Hupendi kuimbiwa nyimbo weye au kupigiwa hadithi!?
hehehe hadithi zina wakti wake mkuu ila si nyakati za kuangusha...
toka unavunja ungo ama
HOE....ujumbe ule uliupata au uliliwa na vairasi?
Khantwe unajua sijaangalia...
Bora umenikumbusha