Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
- Thread starter
- #121
Ndio,
na kwa kuwa anaijua ile kanuni ya muda wa kulala anatakiwa aweje ...basi inakuwa simple sana kwake kuelewa ujumbe husika.
Hahahaha....ndo one day umkute katinga jeans na mkanda juu kafunga nadhani patachimbika hapo hajajahahahaha