Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara....
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua?
Binafsi napenda akinibusu huku akitamka maneno "usiku mwema mpenzi"

Vipi kuhusu wewe rafiki??

Haya sasa wale wanao lala kitanda kimoja miguu minne, swali hiloo....
😛eep:
 
muda wa kulala ni wakulala sidhani kama kuna kingine...
 
Nunua mto kama uko single
 

Attachments

  • 1414693717858.jpg
    1414693717858.jpg
    14.5 KB · Views: 311
Back
Top Bottom