Wakati Tanzania na Kenya tukiendelea kutekenyana Uganda wao mbioni ku launch kinu cha nyuklia na kuwa nchi ya pili Afrika

nani anayefahamu kesho itakuwaje?Hata Iran walianza na mpango salama km Uganda.Sio rahisi kwa Uganda kutengeneza nuclear weapons ila watakuwa more respected kwenye EA than any other member.😁😁
Mkuu, Uganda hawezi kuwa respected kwa kuwa na kinu cha kuzalisha umeme, na kudhani kitageuka kiwe cha silaha kabla wengine hawajastuka!

Uganda kama atajenga, atazalisha umeme, hizo silaha wala hazimo kwenye mpango.
 
Mkuu, Uganda hawezi kuwa respected kwa kuwa na kinu cha kuzalisha umeme, na kudhani kitageuka kiwe cha silaha kabla wengine hawajastuka!

Uganda kama atajenga, atazalisha umeme, hizo silaha wala hazimo kwenye mpango.
Ndio maana wanaita ujenzi wa nyuklia kwa mpango wa amani yaani "peaceful purposes" hapa ni kwa umeme na utabibu tu na wamesaini mkataba na UN wa kuzuia siraha za kinyuklia .

Kwa ulimwengu wa ss mwenye nyuklia anaheshimika kama haujui..!!Swala la kujenga au kutojenga nuclear weapons ni utashi wa mtu ,je unaonaje utashi wa Mu7 ??
 
Bado sielewi maana yako ya "kuheshimika" kwa vile nchi imejenga mtambo wa nuklia kuzalisha umeme. Ataheshimika kwa kitu gani zaidi ya kuwa na uwezo wa kuzalisha umeme nafuu, na si zaidi ya hilo?
 
Wabunge popoma Mumesikia hiyo

Cc Lisimo mwana Besebejee
 
Mwambie Arudishe huyo mwenda huko Ngawira zetu NSSF kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…