Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Status
Not open for further replies.

Qur’an 49:14 inasema: Walisema tumeamini , Wakarekebishwa: bali semeni tumesilimu (tumejisalimisha)
Imani bado haijaingia moyoni

Biblia :

Biblia – Warumi 10:9–10
“Kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.”

Moyo kwanza si kinywa kwanza Biblia inakubali hatua mbili:

Kukiri / kujisalimisha kwa nje Imani kuingia moyoni

Hiyo ndiyo hasa Qur’an 49:14.

Wanafunzi wa Yesu walimfuata kabla ya kuelewa kikamilifu​

Je, wanafunzi walikuwa na “imani kamili” tangu mwanzo? Hapana.

Mathayo 4:19–20 “Nifuateni… nao mara wakaacha nyavu zao wakamfuata.”

Walifuata (utiifu) Lakini bado: Marko 9:24 “Ninaamini; nisaidie kutokuamini kwangu.”

Walikuwa na utiifu kabla ya imani kamili Je, Yesu aliwaita wapagani? Hapana.

Biblia inalaani “inakiri kwa kinywa bila moyo” — sawa na Qur’an​

Qur’an inawakosoa waliodai imani bila moyo.

Biblia inasema vivyo hivyo:

Mathayo 15:8
Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.”

Tatizo si “kujisalimisha kwanza”, Tatizo ni kudai imani ya moyoni bila kuwa nayo.

Hapo Qur’an na Biblia zinasema kitu kimoja.

“Surender then faith later” si kosa — ni mchakato wa kibiblia​

Biblia ina mifano mingi: Yakobo 2:17 “Imani isiyo na matendo imekufa.”

Matendo (utiifu)
Imani ya kweli kuthibitika

Qur’an 49:14 inasema: Mkimt’ii Allah na Mtume wake, hatakupunguzieni chochote…

Utiifu unafungua njia ya imani ya kweli hilo si kosa, ni mafundo ya maandiko yote.

Ukipinga Qur’an 49:14, lazima upinge Biblia pia​

Kwa mantiki yako: Wanafunzi wa Yesu walikuwa “hawajaamini”, Waisraeli walitii sheria kabla ya kuwa na mioyo mipya, Wakristo wanaobatizwa kabla ya kuelewa kikamilifu ni “waongo”
Lakini huamini hivyo — kwa sababu Biblia inaruhusu mchakato.

Kwa hivyo , Qur’an 49:14 haitofautiani na Biblia , Kujisalimisha kwa nje kabla ya imani ya moyoni ni jambo la maandiko, Tatizo ni kudai imani bila moyo, si kuanza na utiifu , Hoja yako inarudi kukuangukia kwa Biblia yako mwenyewe.
 
Mwenzio anatumia AI😅
Ndio naelewa shida yao nichoke kujibu ila nikipata free time najibu hawana chcohote kigumu maana Quran yote inapingana yenyewe kwa yenyewe, ni uislam ni programs tu very simple yaani ni uongo uliosetiwa uonekane ukweli ila 100% ni uongo mtupu. namaanisha anything in islam ni uongo i can prove it. So Let them use AI ila namuumbua yeke,

Na hiyo AI yake AI mostly inachukua ujinga unaojazwa na watu waongo haswa Dawagandy. so wote wanakuwa waongo. Waislam sio watu wa Debate maana huwezi debate na mtu muongo unampasua dakika chache tu. Hakuna honest Muslims
 
Leo almanusura tupigwe na kobazi. Tulimuita aje kutupa Ilimu maana anasema amemaliza hadi juzuu 30 sijui na Ilimu nyingne huko. Sema shida ni mtu wakupaniki akiulizwa swali ambalo kwa mujibu wake anasema atakufuru akilijibu😁😁😁Kibazi wnahasira sana sijui ni kwanini.
 


Kusema “Qurani yote ni uongo” bila kutaja hata aya moja inayojipinga si ushahidi, ni kelele tu.

Anayesema “naweza kuthibitisha” lakini anakimbia mjadala amejithibitisha hana hoja.

Kutukana Uislamu, Waislamu, au AI hakubatilishi aya wala hoja. Ukweli hauhitaji matusi, unahitaji dalili.

Kama kweli unaweza “kuumbua dakika chache”, lete dai moja tu kwa aya na ushahidi wake. La sivyo, hiyo ni chuki iliyojificha nyuma ya neno “proof”.
 

Yesu hakufufua kwa mamlaka yake, bali kwa nguvu ya Mungu
“Yesu wa Nazareti, mtu aliyeshuhudiwa kwenu na Mungu kwa miujiza na ishara ambazo Mungu alizitenda kwa mkono wake.” — Matendo ya Mitume 2:22

Kama Mungu ndiye aliyetenda miujiza kwa mkono wa Yesu, basi Yesu si mfufuaji kwa nafsi yake, bali chombo cha Mungu. Hii inaendana kabisa na Qurani, si kuipinga.

Biblia inathibitisha kuwa kufufua ni kazi ya Mungu, si Yesu kama Mungu
“Mungu alimfufua Yesu katika wafu.”
— Matendo ya Mitume 3:15

Kama Yesu asingekuwa chini ya Mungu, asingehitaji kufufuliwa na Mungu.


Yesu hakujitangaza Mungu, bali alithibitisha yuko chini ya Mungu “Baba yangu ni mkuu kuliko mimi.” — Yohana 14:28


Biblia inasema wazi: “Yule mwanamke akamwambia, Najua kwamba Masihi anakuja… Yesu akamwambia, Mimi niye ninayesema nawe.”
— Yohana 4:25–26​


Messiah si Mungu. Messiah ni mtume/aliyechaguliwa, na hata katika Biblia: “Mungu akamtia mafuta Yesu.”
— Matendo ya Mitume 10:38
 

Umeandika : Aliyesababisha Mimba ya Mariam ni nani?Allah au Jibril? mmojawapo ndie Baba maana aliyepuliza kwenye papuchi ni Allah au Jibril? maana aya inasema tukampilizia kwenye farjah akapata mimba
Majibu :
Hakuna “baba” katika mimba ya Mariam. Huo ni uelewa wa kimwili unaolazimishwa kwa jambo la muujiza.



Mwenye kuumba ni Allah, Jibril ni mjumbe tu . Qurani inasema “Tukampulizia…” — mtendaji wa uumbaji ni Allah, si malaika. Jibril ni chombo cha kutekeleza amri, si chanzo cha uumbaji.

Biblia yako inakiri jambo hilo hilo

“Roho Mtakatifu atakujilia, na nguvu za Aliye juu zitakufunika.”
— Luka 1:35

Hapa pia hakuna baba wa kimwili. Je, Wakristo mnasema Roho Mtakatifu ni “baba wa Yesu”? Hapana.

Kupuliza si uzazi
“Kupuliza” ni tamathali ya uumbaji kwa amri ya Mungu, si tendo la kijinsia. Vinginevyo, wangelazimika kusema:

Roho Mtakatifu ana jinsia, au Mungu anaingia katika maumbile — mambo ambayo Biblia na Qurani zote zinayakataa.
 

Umeandika : Msilinganishe uchafu wenu na Yohana si mmnamuita Yahaya! mnavyojisikia kusema Yesu ni Mwana wa Mungu na sisi tunasikia vibaya mkisema Mitume yetu ni waislam.. kaeni na hao kina saleh , Luqman na waongo wengine.. acheni uongo mje huku.

Majibu :

Yohana (Yahaya) si mali ya Ukristo pekee . Biblia inamwita nabii, si mwana wa Mungu wala sehemu ya Utatu.

“Manabii na torati vilitabiri hata Yohana.”— Mathayo 11:13

Nabii wa Mungu si wa dini moja, bali wa Mungu.

Yesu mwenyewe alikiri kuwa si Mungu “Baba yangu ni mkuu kuliko mimi.” — Yohana 14:28

Hivyo kusema Yesu ni “Mwana wa Mungu” ni tafsiri ya baadaye, si maneno yake.

“Mwana wa Mungu” si jina la kipekee kwa Yesu katika Biblia “Hao wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu ni wana wa Mungu.” — Warumi 8:14

Kama neno “mwana wa Mungu” linawakwaza mnaposikia tafsiri nyingine, basi tatizo si Uislamu, ni Biblia yenu yenyewe.

Kutukana Manabii hakubadilishi hoja , Saleh, Luqman, Yahaya, Yesu — wote ni waja wa Mungu. Kuwaita “waongo” bila dalili si hoja, ni hasira.


Kwa kumalizia tambua kwamba , Hoja hushindwa kwa ushahidi, si matusi.
Na Biblia yako haiimpi Yesu uungu, wala haiwafungi manabii kwenye dini moja.
 
Jamaa kuwwadaka Huwa ni dakika sifuri jamaa ni waongo sana

Kuna sheikh wao anakwambia Yesu atakuja kuoa

Andiko anatoa kwenye biblia kule Ufunuo na wanamshangiliia

Waislamu ni wapumbavu sana
 
Mkuu unawakanda kobazi kwa ushahidi wa vitabu vyao na hata AI ya Jagina ambayo akiweka topic yake kule inamletea mambo kibao ambayo anashindwa kuyachuja anaamua kucopy na kupaste ndo maana huwa hayaelewekagi sababu hayana mtiririko sahihi.
Mlaleo ni Genius huyo jamaa ,Mimi Huwa natenga muda nafatilia comment zake tu, napata vitu vipya kabisa

Anajua kuichambua Quran kwa kila angle, anajua Hadith zote ,anaujua uislamu kwa namna ambayo Huwa nashangaa sana
 
@7
Mlaleo ni Genius huyo jamaa ,Mimi Huwa natenga muda nafatilia comment zake tu, napata vitu vipya kabisa

Anajua kuichambua Quran kwa kila angel, anajua Hadith zote ,anaujua uislamu kwa namna ambayo Huwa nashangaa sana
Hajajibu hoja yangu hata moja. Msaidie kujibu post. #164
 
Quran 10:105
وَأَنْ أَقِمْ وَجْهَكَ لِلدِّينِ حَنِيفًا وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُشْرِكِينَ
Al-Barwani
Na uelekeze uso wako kwenye Dini ya Kweli, wala usiwe katika washirikina.

Unajibu jambo ambalo halina uhusiano wowote na nilichozungumza sijawahi kudai Yohana yupo kwenye utatu wala Mwana wa Mungu, umeamua kuzusha tu eeh ili iweje? yaani ni kwamba umeamua kujianzishia jambo kisha unalitupa lionekane kama unashangazwa hahaha umekuwa kama Mr Bean anajiandikia card anaweka mezani kisha anatizama upande mwingine then anarudia kutizama upande wa mwanzo anaona kadi anafurahi akiisoma ya kwamba amepewa na mwingine kumbe acting.

Tatizo hamjui ukristo ni nini, ni njia ya kutafuta kuwa na hali ya matakwa ya Mungu so kuwa katika hiyo hali ni sawa na kuwa Watoto wake na sio Utumwa kama Uislam ni just a slave only. no any relations with your black stone Goddess
“Manabii na torati vilitabiri hata Yohana.”— Mathayo 11:13

Nabii wa Mungu si wa dini moja, bali wa Mungu.
Hivi unajua hata maana ya Neno Yohana? ka google ujue hamhusu Allah au Allah unaweza kumuita Yehovah? haha
Yohanan (יוֹחָנָן) or Yehohanan, meaning Jehovah has been gracious'' au ''Mungu ni Gracious'' Yehovah ni Mwema ''Mungu ni Mwema'' - Angekuwa ni Nabii wa Uislam Allah si Mwema anataka kuua Wayahudi na Wakristo wote Duniani according to Mohammad alisema ametumwa kuua non muslim wote

Yohana ni Nabii wa Mungu wa Kweli not Allah ambaye ni in-charge wa Pagan Goddess Nyota Sirius Quran 53:49 (Surah An-Najm) Unataka kusema Yohana alimuwakilisha Allah hahahaha Yeye alimuita YHWH

Muhsin Khan
And that He (Allah) is the Lord of Sirius (the star which the pagan Arabs used to worship);
Yesu mwenyewe alikiri kuwa si Mungu “Baba yangu ni mkuu kuliko mimi.” — Yohana 14:28
Wajua huwezi soma Biblia unaacha story nzima uelewe yaani wewe umepaa kisha ukajikuta umetua kwenye aya nambari 28 hahaha unadhani Biblia ni Quran page zilizojiraguza aya hazina mfuatano. kama umesoma at least soma uelewe kiufupu anzia na aya ujue Yesu na Baba yake wakoje, Nikuulize wewe na Baba yake nani ni Great? Jesus in Human form not Great akiwa kwenye Spirit form ya Baba yake ambaye ndie yeye too.
6;Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu. 7;Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu. Tangu sasa mnamfahamu Baba yangu na mmemwona.”

8;Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika.” 9;Yesu akamjibu, “Filipo, imekuwaje hunifahamu baada ya mimi kuwa pamoja nanyi muda wote huu? Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. Sasa inakuwaje unasema, ‘Tuonyeshe Baba’? 10 Je, huamini ya kuwa mimi niko ndani ya Baba yangu, na Baba yangu yuko ndani yangu? Mambo ninayowaambia siyasemi kwa mamlaka yangu mwenyewe, bali yanatoka kwa Baba yangu ambaye anaishi ndani yangu, na ndiye anayetenda haya yote. 11 Niaminini ninapowaambia ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu na Baba yangu yu ndani yangu. La sivyo, niaminini kwa sababu ya haya mambo ninayotenda.
Hivyo kusema Yesu ni “Mwana wa Mungu” ni tafsiri ya baadaye, si maneno yake.

“Mwana wa Mungu” si jina la kipekee kwa Yesu katika Biblia “Hao wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu ni wana wa Mungu.” — Warumi 8:14
Yah kama nilivyokuambia Mungu wetu anatuchukulia sisi ni Watoto wake na sio Watumwa kama Muslim na Allah wao. Hata Waisrael walipo asi aliwaacha wakiwa treat as watumwa na walipomrudia aliwatreat kama wanae. Warumu 4:6 inataja wote ni wana wa Mungu kwa utiifu. kuna ile hali ya uungu mioyoni mwetu, upendo wema n.k nyie hamna hiyo kitu na kama mkifanya ni kinafiki tu . 6 Na kwa kuwa ninyi sasa ni wana wa Mungu, Mungu amemtuma Roho wa Mwanae akae ndani ya mioyo yenu.......

When we talk issue ya Jesus we know it perfect jinsi alivyokuja hadi akawa. ni STATE YA GODS HOLLY

nikuulize muslims wakifika Firdaus wataendelea kuwa Watumwa wa Allah? Kuingia chooni dua then kwa mguu wa kushoto,kutoka chooni dua kisha mguu wa kulia wudu n.k ?
Kama neno “mwana wa Mungu” linawakwaza mnaposikia tafsiri nyingine, basi tatizo si Uislamu, ni Biblia yenu yenyewe.
wewe na nyiyi ndio mnakwazika sababu mnajihesabia watumwa wa Allah not Sons
Kutukana Manabii hakubadilishi hoja , Saleh, Luqman,
Tuambie Saleh na Luqman wana unabii upi tutajie tucheke hahaha, Luqman mwenye busara alisema mtu akikuzaba kofi mrudishie hahaha
Yahaya, Yesu — wote ni waja wa Mungu. Kuwaita “waongo” bila dalili si hoja, ni hasira.

Kwa kumalizia tambua kwamba , Hoja hushindwa kwa ushahidi, si matusi.
Mimi mtu wa Ushahidi sababu muslim hadi umtegee ukiweka ushahidi anapita kama hajaona, Mie nina njia nyingi ya kuwanyamazisha naweza kukutega ukajaa kisha nikakuumbua. Muslim huwa mnakuwa kwenye mshtuko ila hamkubali kumuangusha Allah muongo.

Unadhani unaweza leta anything katika uislam chenye ukweli hahaha Zamani mlikuwa mkipga kwara watu tunajua ni kweli kumbe 100% uongo.
Na Biblia yako haiimpi Yesu uungu,
Ingekuwa haimtaji Yesu Mungu tusingekuwa Wafuasi wake. Quran yenyewe inamtaja Yesu kuwa ni mungu, Kabla ya ujio wake hadi alipoenda zake juu, Kwenye Biblia alishasema ''am from above your from Below''

Ulishamsikiliza Sheikh kipoozeo alishawachana live waislam wenzie kuwa Mtoto wa Nyoka ni wakajibu Nyoka akawaambiia Mtoto wa Mungu ni nani? wakaguna akawaambia ni Mungu. hahaha ndio Fact hiyo. Mariam kazalishwa Mtoto mtakatifu anayeongea ''NENO'' baada ya kuzaliwa tu.
wala haiwafungi manabii kwenye dini moja.
Dini ni njia so kama unaona hufungamani na hiyo njia ya huyo Nabii fuata tu, nakushauri Ufuate njia ya kweli ya Yesu

Yahana 14 - 6;Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu. 7 Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu. Tangu sasa mnamfahamu Baba yangu na mmemwona.”
 
Wewe choko umeandika huu upupu wote kwa kunakili viji hadithi vya kiyahudi
Hakuna umuhimu wa hadthi katika uislamu, hata wewe choko unaweza kubumba ujinga wako ukaupachika kwenye vitabu na mtandaoni
 
Angalia ulivyokuwa mpumbavu, unamleta kipozoe kwenye huu upupu huyu mpumbavu mwenzako ni kama nani kwenye uislamu?
Naona unaandika vichambo kama uko kwenye danguro la mashoga
Hakuna point ya maana ulioleta hapa kuipinga Quran
Inaonekana wewe choko ndionunamuandikia huyo kilaza hamis77 aje kubandika upupu wako humu
Hebu rudia kusoma ulichoaandika ulete hata point moja, kweli machoko mnajua vichambo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…