Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Status
Not open for further replies.
Kajifunze kwanza kuandika, hueleweki.
 
Akili ikifika mwisho yaani hujiwezi kabisa huwa unakimbilia kwenye kubishana mambo ya dini mlizoletewa piga kazi Acha huo utoto
 
Mkuu kama unataka kupinga weka hadithi tuichambue neno kwa neno tutapata jibu, mie nataka unijibu kwa hoja sio kwamba najua sana au kidogo tunaamni Mungu ndie mjuzi zaidi akiamua yeye ndivyo ila ukweli haupindishwi utabaki ulivyo
إِنَّكُمْ مُلاَقُو اللَّهِ حُفَاةً عُرَاةً غُرْلاً ‏ hapo ndipo wewe unajaribu kupotosha hapo kama mtu unajua kiarabu inaonyesha kuwa watakaokuwa uchi binadamu maana maneno hayo ya sifa yapo katika hali ya kumrejelea mtenda ambaye ni sisi lakini ingekuwa إِنَّ اللَّهَ مُلَاقِيكُمْ حُفَاةً عُرَاةً hapo tafsiri unayotaka wewe ndio ingekuwa sahihi au au kama sentensi ingebaki hivyohivyo halafu baada ya neno الله likaja neno وهو basi pia tafsiri yako ingekuwa sahihi ila kwa hapo tafsiri yako sio sahihi

Muwe mnasoma kwanza msikurupuke
 
Mkuu kama unataka kupinga weka hadithi tuichambue neno kwa neno tutapata jibu, mie nataka unijibu kwa hoja sio kwamba najua sana au kidogo tunaamni Mungu ndie mjuzi zaidi akiamua yeye ndivyo ila ukweli haupindishwi utabaki ulivyo
Hapo umemkamata alete hiyo Hadith ichambuliwe hapa
 

Kwanza: Hoja ya “Mungu kuombwa mkopo” (Qur’an 2:245)
Biblia pia inatumia lugha ya mfano (metaphor) inayofanana kabisa:

Biblia – Mithali 19:17 “Amhurumiaye maskini humkopesha BWANA, naye atamlipa mema yake.”

Kwenye Biblia, Mungu anakopeshwa unapomsaidia maskini.
Je, Biblia yao inamfanya Mungu awe masikini kwa sababu “anakopeshwa”?

Pili: Hoja ya Mtume kuwa “masikini” au “mfanyabiashara wa dini”

Biblia inasema wazi kuhusu manabii na hata Yesu mwenyewe:

Luka 9:58 Mbweha wana mashimo, na ndege wana viota; lakini Mwana wa Adamu hana pa kuegemeza kichwa chake.”

Kama umasikini ni sawa na udanganyifu, basi ukubali , Yesu hakuwa na nyumba wala Yesu hakuwa tajiri na

Yesu alikuwa masikini kwa viwango vyako mwenyewe

Je, hilo linamfanya Yesu kuwa muongo au mfanyabiashara?

Tatu: Hoja ya “dini kwa faida ya pesa”

Biblia inawakemea vikali wanaotumia dini kwa biashara:

1 Timotheo 6:5 watu wanaodhani ya kuwa kumpata Mungu ni njia ya faida.”

Mathayo 21:12–13 Yesu aliwafukuza waliogeuza nyumba ya ibada kuwa soko.

Kwa Hivyo:

Qur’an ikikemea tamaa hiyo si dini ya biashara , Biblia pia inakemea tamaa
Kutoa sadaka si kumnufaisha Mtume
Kutoa sadaka ni ibada kwa Mungu (Biblia na Qur’an zote)


Nne: Hoja ya Surah ‘Abasa (80:1–2)

Biblia ina visa vinavyofanana kabisa ambapo manabii wanakosolewa ili waelimishwe, si kudhalilishwa:

2 Samweli 12:7 – Nabii Nathani anamkemea Mfalme Daudi hadharani
Wagalatia 2:11 – Paulo anamkemea Petro waziwazi

Kukosolewa kwa nabii ni dalili ya ufunuo wa kweli, si kashfa.
 

  1. Biblia – Mithali 19:17
    “Amhurumiaye maskini humkopesha BWANA.”
    Mungu “anakopeshwa” kwa lugha ya maandiko.
  2. Luka 9:58
    “Mwana wa Adamu hana pa kuegemeza kichwa.”
    Mtume wa Mungu anaweza kuwa hana mali—si kashfa.
  3. 2 Wakorintho 8:9
    “Alikuwa tajiri, akawa masikini kwa ajili yenu.”
    Umasikini wa mtume si sawa na udanganyifu.
  4. Mathayo 21:12–13
    Yesu anawafukuza wafanyabiashara hekaluni.
    Biblia inapinga dini ya biashara.
  5. 1 Timotheo 6:5
    “wanaodhani kumpata Mungu ni njia ya faida.”
    Hoja ya “dini kwa pesa” inahukumiwa na Biblia.
  6. Matendo 3:6
    “Fedha na dhahabu sina.”
    Mitume hawakuwa matajiri.
  7. Marko 12:41–44
    Yesu anamsifu mjane maskini kwa sadaka ndogo.
    Thamani ya ibada ≠ ukubwa wa pesa.
  8. 2 Samweli 12:7
    Nabii Nathani anamkemea Daudi waziwazi.
    Manabii hukosolewa kwenye maandiko.
  9. Wagalatia 2:11
    Paulo anamkemea Petro hadharani.
    Kukosolewa si uongo wa kinabii.
  10. Yakobo 5:1–3
    Onyo kali kwa matajiri wanaodhulumu. Biblia iko upande wa maskini, si wa dharau na kejeli zako na uongo


 

Wake wengi wa manabii​

Biblia – Mwanzo 29–30
Yakobo alikuwa na wake 4.

2 Samweli 5:13
Daudi alikuwa na wake wengi.

1 Wafalme 11:3
Sulemani alikuwa na wake 700.

Kwa hivyo Wake wengi si dhambi ya kinabii kwa Biblia?????

Mali na utajiri wa manabii​

Mwanzo 24:35
Ibrahimu alikuwa tajiri sana.

Ayubu 42:12
Mungu alimzidishia Ayubu mali maradufu.

Nehemia 5:14–18
Kiongozi ana posho na heshima ya mali.

Kwa hivyo Utajiri si uongo wa utume.

Vita vya kinabii​

Yoshua 6:20–21
Vita kwa amri ya Mungu.

1 Samweli 15:3
Vita vinaamriwa kidini.

Zaburi 144:1
Mungu hufundisha mikono ya vita.

Jee Vita si sawa na uhalifu wa dini kwa Biblia?????

Mgawanyo wa nyara za vita​

Hesabu 31:27
Nyara zigawanywe kati ya askari na watu.

1 Samweli 30:24–25
Sheria ya Daudi ya mgawanyo wa nyara.

Jee Kupata sehemu ya nyara si ufisadi ndani ya biblia ????

Utumwa​

Kutoka 21:2–7
Sheria za watumwa.

Walawi 25:44–46
Watumwa wa kudumu kutoka mataifa.

Waefeso 6:5
Watumwa watii mabwana wao.

Uelewe kuwa Utumwa upo kwenye Biblia, si hoja ya kumshambulia Mtume.

Kodi na ushuru wa dini/dola​

Malaki 3:8–10
Fungu la kumi (zaka ya Biblia).

Mathayo 22:21
“Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari.”

Warumi 13:6–7
Kulipa kodi ni wajibu wa kidini.

Kwa hivyo uelewe kuwa Kodi si dhulma ya kiimani.


Viongozi wa dini kuungwa mkono kwa mali​


Luka 8:1–3
Yesu na mitume walihudumiwa kwa mali.

1 Wakorintho 9:14
Wahubiri wa Injili waishi kwa Injili.

Kwa hivyo Sadaka si biashara ya dini.

​

Umasikini na maisha ya manabii​


Luka 9:58
Yesu hakuwa na pa kuegemeza kichwa.

Kwa hivyo Umasikini si fedheha ya kinabii.

Wewe kafiri mapembe Kila tuhuma unayoleta dhidi ya Uislamu: Ujuwe​

Biblia yako inairuhusu
Manabii wako waliishi hivyo
Yesu wako alifundisha kodi na sadaka


Kwa hivyo Ama ukatae Biblia yako, au uache unafiki dhidi ya Uislamu.
 
Andika vizuri kwa utulivu ueleweke unachotaka kusema
Mkuu yaani waislamu kwa sasa ni kama kuku aliyekatwa kichwa; anarukaruka tu ! Ni wapi aliisha ona Kiongozi wa Kanisa ( nazungumzia the well established churches like Catholic Anglican, Rutheran, Orthodox and Methodist) anatoka hadharani kuushambulia Uislam. Ila wao tunaona statements za viongozi wao mfano BAKWATA dhidi ya Ukatoliki. Pili USA Haiongozwi na sheria za Kikiristo, bali huwa inatokea pale chama fulani kimeshinda uchaguzi wa kiraia kukawa na viongozi madarakani wenye misimamo mikali ya kikiristo.
Huyo Eipstein, emails za karibuni zaonyesha alikuwa na mashirika na mijitu isiyoshika dini; ila kibaya kwa wale wa upande wa kiislam, washirika hao walijipachika taswira ya waumini wazuri wa allah. Mfano huyo Mkuu wa DP World ambaye hata hapa Tanzania kawajengea misikiti. Sasa watuambie misikiti najisi kama hiyo bado wataendelea kwenda kusalia?
 
unaleta majibu have nothing to do with this topic. Topic ni kwamba Allah amesema kuwa ameshusha Quran kwa lugha ya kiarabu ili waarabu waelewe, wewe unamquestion Allah kama nani? ni sisi ndio tunamcheka kwa uongo wake, kuzunguka kuandika maneno mengi hayawezi saidia kumtetea Allah uongo yakisha andikwa ni Tayari si huwa mnadai Quran haiongezwi neno? Quran 15:9
إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا الذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُ لَحَافِظُونَ
Al-Barwani
Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutao ulinda.

Jogina na wewe ni mmoja wa Sisi? au wewe unaondosha ulinz wa Quran? hahaha

Quran 12:2
Saheeh International
Indeed, We have sent it down as an Arabic Qur'an that you might understand.
إِنَّا أَنْزَلْنَاهُ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لَعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ

Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu ili mpate kuielewa

Hakuna Arabs wanaielewa- kuna thousands of translations pamoja Mudy kuomba seven letter zaa Quran bado hawaelewi Allah ana feli sana. Ibn Abbas aliombewa dua na Mudy kwa Allah awe ink of the nation kutafsir Quran

Kwa hivyo Hoja yako ya “Qurʾān si Kiarabu kwa sababu Hanīf / Kāfir zina asili ya Aramaic” si sahihi kielimu.
Ushaanza kulewa kama Adiosamigo eh! Kasome tena nilichoandika nimemuumbua Allah kwa majidai yake ya kusema Quran kaishusha kwa kiarabu ni uongo kwani Hanif na kufar zimetoka kwa lugha ya Aramaic. punguza kutetemeka Dogo sisi tunajua nini tunaongea hatubahatishi ukadhani we are playing game like you muslims. tunatoa elimu. haya nayotoa yanasaidia hadi waislam wenzio ni maamuzi yao kuachana na hiyo cult.

2. Uchanganyaji mkubwa umefanyika hapa​

Hanīf (حنيف) katika Qurʾān ni mwelekeo wa kumuabudu Mungu Mmoja, kinyume cha ushirikina
Hanif ni Quran imeandika hivyo hiyo aya ila ukisoma Quran utakuta Hanif ni pagan, kama mtume wako alifuata ibada za Ibrahim kwa miaka 40 kabla hajajiita Muislam. Mnasema Ibrahim alijenga Kaaba, kaaba ilikuwa ni ibada ya washirikina wapagani, kabla uislam, alafu Quraish wote walikuwa ni washirikina na Mudy alikuwa ni mmoja wao, na mnajua quran inasema Allah hatosamehe washirikina kwahiyo Mudy ni miongoni mwa hao ambao hawatosamehewa.
Kāfir (كافر) katika Kiarabu ni anayeficha / anayekataa ukweli
Waislam mambo ya kweli hawayataki na ndio mana nimekufahamisha kuwa Mohammad ndie aliitwa Kufar na Wayahudi kwa kupinga kwake na kugeuza Jina la Yahwh akimuita Allah pagan worshiper Wayahudi hawamjui Allah na walimuambia Mitume wote wanatokea ukoo wao yeye Quraish wapi na wapi wakamuambia Mtume lazima atoe Sadaka kisha Moto utatoka Mbinguni na kueteteza sadaka, akaona atakwama. hahaha hadi leo akifufuka watamuita Kufar.
Kwamba:
kafar ipo Kiebrania (כפר) , kufr ipo Kiarabu . Hii ni asili ya lugha, si ushahidi wa wizi au uongo

Dai kwamba Hanīf ni Kāfir ni kosa la kielimu. Qurʾān yenyewe inawatofautisha wazi.
Kuna vitu unaleta have nothing to do with this topic.

3. Qurʾān inasema:​

“Na Ibrahim alipomwambia baba yake Azar…” (Q 6:74)​

Katika tafsiri za Kiislamu: Azar = jina la utani / cheo , Terah ni jina la ukoo
Hakuna Jina la Utani Mohammad na Allah wameiba story wasioijua walipokuwa wakitafsir hawakuelewa mana yake ndio wakabeba, Unaweza ufahamisha Ummah source ya kiislam inayosema Baba yake Ibrahim aliiitwa jina la Utani Azar? au ndio Taqiyya imeshika hatamu.
Katika Biblia pia: Baba anaitwa Terah . Lakini ukoo wa mababu hubadilishwa majina (mf. Yakobo → Israeli)

Hili si kosa, bali tofauti ya onomastics (sayansi ya majina).
Umetoa mfano wa kijinga ambao hausiki na mada. kama unavyoamini wewe basi ukoo wa Ibrahim hadi hao kina jacob wangeitwa Azar maana ndie baba yake Ibrahim. au angeitwa Hagar waisrael wangeitwa Wana wa Hagar

4. Qurʾān haifundishi kwamba Ibrahim aliabudu nyota.​

Ni hoja ya mjadala (argumentative demonstration):​

“Je, huyu ndiye Mola wangu?” kisha anapokataliwa → “Sipendi vinavyotoweka”​

Kasome aya hakuna sehemu inayosema anakataliwa Acha ujinga basi.
Hii ni mbinu ya kielimu ya kufundisha, si ibada.

Hapa umetafsiri simulizi la hoja kama ibada — makosa ya mantiki (category error).
Umesoma aya zilizofuata au ndio uvivu like other Muslims, eh?

5. Aya: “Na jua linakwenda mpaka pahali pake pa kupumzika…” (Q 36:38)​

Qurʾān haifundishi heliosentrism wala geosentrism
Inatumia lugha ya mtazamo wa mwanadamu (phenomenological language)
Je Unajua Allah ndie anayeongea kwenye hiyo Aya? so Alalh nae anaona kama sisi tunavyoona? Allah ni miongoni mwetu?
Biblia pia: “Jua likasimama” (Yoshua 10:13)
Mchana kuwa mrefu mean Dunia kusimama kunakuwa na Longday.
Ikiwa Qurʾān ni “upumbavu”, basi Biblia pia ingetakiwa ihukumiwe kwa kipimo hicho hicho.
Nisha prove longday, so Quran inabakia pale pale kwenye upumbavu Jua halizunguki Dunia bali Dunia ndio inazunguka.

6. Qurʾān 4:171: Yesu ni Neno kutoka kwa Allah na Roho kutoka Kwake​


Hii HAISEMI: Yesu ni Mungu, Yesu ni sehemu ya Allah ,
Kama Quran haisemi Yesu ni Mungu ni wewe jibu maswali NENO limeumbwa? Allah alimtuma Jibril NENO lake ambalo ni Devine halijaumbwa lilikuwepo na ndie Kun faya kun,
Allah ana roho kama wanadamu
Wewe ndie Muislam wa Kwanza kusema Allah ana Roho, kuwa makini watakuua Allah ana bord parts lakini hana Roho ni idols kama Mengine even India yamejaa
Mfano wa Kiarabu:

Baytullāh ni Nyumba ya Allah (si Allah anaishi humo)
Can you ask Netanyahu apige kombora? there is no harm to Allah sababu hayupo pale
Nāqatullāh ni Ngamia wa Allah (si Allah ni ngamia)

“Rūḥun minhu” ni kutoka kwa amri Yake, si sehemu ya kiini Chake
lete source Tuone unavyoipinga Quran

7. Qurʾān inakataza:​

Kumfanya Yesu kuwa Mungu, Kumfanya sehemu ya Mungu , Kumgawanya Mungu katika nafsi

Qurʾān inapingana na tafsiri za kikanisa, si Injili ya Yohana yenyewe.
Unapinga wakati Quran imeandika sijui nyie mnachopingia ni nini. Mnaishia kusema Allah ana majina 99 ambayo ni attribute, Allah almost aya zote anajiita sisi, tumefanya hiki na kile hapo apo mnasema ni mmoja stupid religion for foolish people

8. Hii ni mada ya tafwīḍ na tashbīh:​

Ndani ya Uislam: Hakuna umbo kama la viumbe

“Hakuna kitu mfano Wake” (Q 42:11)
Kumbuka aya zote ni za kipumbavu so umefupisha ila Allah unaposema hafanani na chochote ni kichekesho accordind to sayansi mimi pia sifanani na yeyote, So wakati Allah ana body parts like Mguu Quran 68:42, Macho Quran 54:14, Anakaa kwenye kiti mean anamakalio Quran 2:255, Sura kama ya Adam Sahih Bhukhar Hadith 6227, Mikono miwili yote upande wa Kulia kuna uwezekano alizaliwa na ulemavu imagine akiweka dole gumba mkono mmoja dole linaelkea chini lingine juu hahahaha Sahih Muslim 2788, Sunan an-Nasa'i 5379)
Kama Allah hafanani na chochote ni Animal Japo Mtume wenu alisema ni Binadamu tenani Kibonge mfupi hahaha kama Dajjal kasoro Allah hana Chongo Sahih al-Bukhari 743
Biblia pia : Mungu anatubu, Mungu anachoka , Mungu anatembea bustanini

Lugha ya mfano ipo katika vitabu vyote viwili.
Mungu kuja katika umbo la Binadamu yes, Unadhani Allah hachoki? nenda ka google Istiwa unaona kilichomtokea alipomaliza kumuumba Adam yaani sio kukaa tu aliishia kulala kwenye kiti chake

9. Maana sahihi:​

Aslim ni jisalimishe kwa Mungu
Taslam ni utaokoka / utakuwa salama (kiroho)
Hii si “kubali au uuwawe” kama ulivyodai.
Keep your ignorance for yourself Kasome Quran 49:14 Wale mabeduin waliambiwa wajisalimishe(aslamnaa ) Wajisalimishe Surender then baadae faith itafuata.

۞قَالَتِ ٱلۡأَعۡرَابُ ءَامَنَّاۖ قُل لَّمۡ تُؤۡمِنُواْ وَلَٰكِن قُولُوٓاْ أَسۡلَمۡنَا وَلَمَّا يَدۡخُلِ ٱلۡإِيمَٰنُ فِي قُلُوبِكُمۡۖ وَإِن تُطِيعُواْ ٱللَّهَ وَرَسُولَهُۥ لَا يَلِتۡكُم مِّنۡ أَعۡمَٰلِكُمۡ شَيۡـًٔاۚ إِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٌ


Al-Barwani
Mabedui wamesema: Tumeamini. Sema: Hamjaamini, lakini semeni: Tumesilimu. Kwani Imani haijaingia katika nyoyo zenu. Na mkimt'ii Allah na Mtume wake, hatakupunguzieni chochote katika vitendo vyenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Na hadith ya kupigana: Inahusu vita vya kisiasa katika karne ya 7 Si amri ya kuua dunia nzima
Hadithi Mohammad ameadnika kabisa ameambiwa awapige humanking, hadi wasilimu, waswali kama yeye,wachinje kama yeye n.k n.k unataka kusema miaka hii hamuui watu? unawajua Islamic State? na wengineo true muslims Nigeria tu, Msumbuji?
Biblia pia ina: Nitakuua kwa upanga wa Bwana” , “Mataifa yote yaangamizwe”
Kasome ujue waisrael linapofika kutishiwa uhai wao. kama hujui kawaulize Hezbollah na Hamas,na Houthi na Iran too

10. Qurʾān: Yesu ni Masihi​

Alizaliwa bila baba
Alifanya miujiza
Atarudi mwisho wa dunia
Usisahau kuandika Aliumba Ndege na Kufufua Watu akiwepo Mtoto wa Noah, alafu Quran inasema Allah ndie mfufuaji pekee sasa kama Yesu alifufua basi yeye ndie Mkuu Quran 41:39 blah blah blah Bila ya shaka aliye ihuisha ardhi ndiye atakaye huisha wafu. Hakika Yeye ni Muweza wa kila kitu

When Jesus (a.s.) Raised Shem (a.s.), Son of Noah (a.s.)​

بِسۡمِ ٱللهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ​

It is mentioned that Jesus (a.s.) used to raise the dead to life by the Permission of God. Some unbelievers once said to him, “You have raised people who have died recently, and perhaps they were not dead; so, raise for us one who died in the earliest times.”

He said to them, “Choose whom you will.”

They said, “Raise for us, Shem, son of Noah.”

Then, he came to his grave and prayed two raka’ah and called on God, and God Raised Shem Noah (a.s.), son of Noah (a.s.). Shem’s (a.s.) head and beard had become white.

Someone amongst them said, “What is this? There were no white hairs in your day.”

He replied, “I heard the summons, and I thought the Resurrection had come, so the hair of my head and beard became white from terror.”

Someone else asked, “How long have you been dead?”

He replied, “For four thousand years; but the agony of death has not left me yet.”

Nikuulize swali kama mnavyokuwa mnatuuliza sisi kila mara japo sio huwa tunayo majibu,

Je Wapi kwenye Quran Yesu anasema mimi ni Messiah!
Lakini: Si Mungu Si mwana wa Mungu
Aliyesababisha Mimba ya Mariam ni nani?Allah au Jibril? mmojawapo ndie Baba maana aliyepuliza kwenye papuchi ni Allah au Jibril? maana aya inasema tukampilizia kwenye farjah akapata mimba
Taarifa mmeandika nyie waislam mmetutambia nazo miaka na miaka mnaumbuliwa na hamtaki kuzifuta hahaha
Ikiwa unataka: Mjadala wa kielimu wa lugha (Semitic linguistics), Ulinganisho wa Injili ya Yohana na Qurʾān au
Historia ya hadith na muktadha wa vita , Niko tayari lakini kwa heshima na hoja, si matusi.
Msilinganishe uchafu wenu na Yohana si mmnamuita Yahaya! mnavyojisikia kusema Yesu ni Mwana wa Mungu na sisi tunasikia vibaya mkisema Mitume yetu ni waislam.. kaeni na hao kina saleh , Luqman na waongo wengine.. acheni uongo mje huku.
 
Mwenzio anatumia AI😅
 
Mkuu unawakanda kobazi kwa ushahidi wa vitabu vyao na hata AI ya Jagina ambayo akiweka topic yake kule inamletea mambo kibao ambayo anashindwa kuyachuja anaamua kucopy na kupaste ndo maana huwa hayaelewekagi sababu hayana mtiririko sahihi.
 
Duh! Kwa mara kwanza hii hujajibu kwa kutumia AI😂😂Ni kwa jinsi gani imekuumiza,umetoa milio asilia.
Kumbe wakristo mnaiogopa AI Kama ukoma , hebu niambie kwa nini ?Au inamvua nguo Roho Mtakatifu wenu aonekane bomu😝😝 Au mchungaji wako amekataza msitumie
 


Msingi wa hoja yako una makosa ya kimsingi ya kielimu na kimantiki.


1. Qur’an kushushwa kwa Kiarabu si kila Mwarabu ataielewa bila elimu​


Aya uliyotaja Qur’an 12:2 haisemi “kila Mwarabu ataielewa bila kujifunza”, bali inasema:

…ili mpate kuielewa”


Hii ni uwezo wa kueleweka, si ahadi ya uelewa wa moja kwa moja kwa kila mtu.

Hata Biblia inafanya hivyo:

Biblia – 2 Petro 3:16

“…ndani ya maandiko ya Paulo kuna mambo magumu kuelewa, ambayo watu wasio na elimu huyapotosha…”

Ikiwa Biblia ina mambo magumu kuelewa, kwa nini Qur’an isiwe na aya zinazohitaji elimu, muktadha, na tafsiri?

2. Tafsiri si kuongeza Qur’an​

Unachokosea vibaya ni kudhani tafsiri ni kuongeza Qur’an.

Qur’an iko kwa Kiarabu (asili, haibadiliki) na Tafsiri zipo ili wasiokuwa Waarabu waelewe maana

Biblia yako haina hata asili moja: Agano la Kale: Kiebrania , Agano Jipya: Kigiriki , Wakristo leo wanasoma tafsiri

Je, kuwa na tafsiri nyingi za Biblia ni “kuondoa ulinzi wa Mungu”? Hapana.

Hivyo Qur’an 15:9 bado ni kweli: “Hakika Sisi ndio tutakaoilinda”

Na imelindwa — hakuna herufi moja ya Kiarabu iliyoongezwa au kupunguzwa.

3. “Hakuna Waarabu wanaoielewa” ni uongo wa wazi​

Kama hoja yako ingekuwa kweli basi Isingekuwepo elimu ya Nahw, Sarf, Balagha na pia wasingekuwepo maelfu ya wanazuoni Waarabu kwa karne 14

Miongoni mwao ni Ibn Abbas, ambaye Mtume ﷺ alimwombea: “Ewe Allah, mpe uelewa wa dini na tafsiri ya Qur’an.”

Je, Mtume ﷺ alikuwa “anaondoa ulinzi wa Qur’an”? Au wewe ndiye unamfundisha Mtume kazi yake?

4. Qur’an inaeleweka kwa viwango tofauti (kama Biblia)​


Qur’an yenyewe inasema: Qur’an 3:7 “…ndani yake kuna aya zilizo wazi na nyingine zinazofanana; wanaofuata upotofu hufuata zinazofanana…”

Biblia pia: 1 Wakorintho 3:2 “Niliwalisha maziwa, si chakula kigumu, kwa maana hamkuwa tayari.”

Uelewa unategemea kiwango cha mtu, si kosa la maandiko.

5. Hoja yako inamwangukia Mungu wako mwenyewe​


Ukiamini Lugha ya maandiko lazima ieleweke bila tafsiri Vinginevyo Mungu “anafeli” , Basi: Mungu wa Biblia “alifeli” kwa sababu leo hakuna Wakristo wanaosoma Kigiriki cha kale kwa wote na Tafsiri zote za Biblia zingekuwa ushahidi wa kushindwa kwa Mungu

Lakini huamini hivyo — kwa sababu unatumia mizani miwili.
 

Hoja yako ina makosa ya kihistoria, ya Qur’an, na ya mantiki.

1. “Hanif ni pagan” — madai yanayopingana na Qur’an yenyewe​

Qur’an haijawahi kusema Hanif ni pagan. Kinyume chake, Qur’an inatofautisha wazi kati ya Hanif na mushrik.

Qur’an 3:67 “Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa Hanifa Muislam, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.”

Kama Hanif angekuwa pagan, basi Qur’an ingejikanusha yenyewe. Hii ni contradiction ya wazi katika hoja yako, si katika Qur’an.

Hanif katika Kiarabu cha Qur’an maana yake ni: Mtu anayeelekea Tauhidi , Anayeacha ushirikina Si mpagani.

2. Mtume Muhammad ﷺ hakuwa mushrik​

Unasema Mtume ﷺ alifuata ibada za washirikina miaka 40. Qur’an inasema nini? Qur’an 93:7 “Na akakukuta hujui (wahyi), akakuongoza.” Aya haisemi “akakukuta mushrik”. Kutopewa wahyi si kuwa mushrik.

Historia ya Makka inathibitisha kuwa Muhammad Hakuwahi kusujudia sanamu , Hakuwahi kuchinja kwa sanamu,
Hakuwahi kuapa kwa sanamu

Hata maadui zake walimwita Al-Amin (mwaminifu), si mshirikina.

3. Kaaba haikuwa “asili yake pagan”​

Hapa umegeuza historia.
Qur’an inasema wazi:
Qur’an 2:127
“Na Ibrahim na Ismail waliinua misingi ya Nyumba (Kaaba).”

Kaaba Ilijengwa kwa Tauhidi na Ibrahim , Baadaye ikachafuliwa na washirikina (kama Hekalu Yerusalemu lilivyochafuliwa mara nyingi)

Kitu cha Mungu kinapochukuliwa na wapotofu hakibadiliki kuwa cha shetani kwa asili yake.

Mfano wa Biblia: Biblia – 2 Wafalme 21 Hekalu la Mungu lililetwa sanamu — je, Hekalu likawa pagan kwa asili? Hapana.

4. “Allah hasamehi washirikina” — umetumia vibaya aya​

Aya husika ni Qur’an 4:48: “Hakika Allah hasamehi kushirikishwa, ikiwa mtu amekufa juu ya ushirikina huo.”

Mtume ﷺ: Hakufa mushrik , Alikuwa Mtume wa Tauhidi , Alileta uondoaji wa sanamu Kaaba

Kwa hiyo kumhesabu miongoni mwa wasiosamehewa ni kupindisha aya kimakusudi.

5. Hoja yako inaporomoka kwa mantiki yako mwenyewe​


Ukisema: Kuishi katika jamii ya washirikina ni sawa na kuwa mshirikina

Basi: Nabii Lut alikuwa shoga (kwa sababu aliishi Sodoma)? Nabii Nuhu alikuwa kafiri (kwa sababu watu wake walikuwa makafiri)? Nabii Ibrahim alikuwa mushrik kabla ya kuvunja sanamu?

Hii ni mantiki dhaifu mno na haiingii akilini labda kwa mikafiri kama wewe uliyeota mbawa na pembe 😛 😛 😛 😛 😛 .
 

Hoja zako zimejengwa juu ya makosa ya kihistoria, ya maandiko, na ya mantiki, na Biblia unayoitumia inakupinga moja kwa moja.

1. “Wayahudi walimuita Muhammad kafiri” — si hoja ya ukweli​

Wayahudi pia walimwita Yesu mpotovu , waliwaita Mitume wa zamani waongo , Wakamkataa hata Masihi waliokuwa wakimsubiri

Biblia inasema: Biblia – Yohana 1:11 “Alikuja kwake mwenyewe, wala watu wake hawakumpokea.”

Kukataliwa na Wayahudi si ushahidi wa uongo, bali ni desturi yao kwa manabii.

2. “Muhammad alibadilisha jina la YHWH kuwa Allah” — kosa la msingi​


Hili linaonyesha kutokufahamu lugha.

Allah ni sawa na “Mungu” kwa Kiarabu , Wakristo wa Kiarabu kabla ya Uislamu walimtaja Mungu kama Allah , Biblia ya Kiarabu hadi leo inatumia Allah

Biblia inasema Mungu ana majina mengi: Kutoka 3:14 — “Mimi ni Mimi” , Zaburi 83:18 — YHWH , Danieli 6:26 — Mungu aliye hai
Kubadilika kwa lugha si kubadilika kwa Mungu.

3. “Wayahudi hawamjui Allah” — Biblia inawakanusha​

Biblia inasema Mungu wa Israeli ni Mungu wa mataifa yote, si kabila moja. Isaya 42:11 “Jangwa na miji yake ipaze sauti… Kedar afurahi.” Kedar ni mwana wa Ismail, babu wa Waarabu. Hii ni unabii wa wazi kuwa Waarabu watamhimidi Mungu wa kweli.



View: https://www.youtube.com/shorts/kIQm39ctKuk?t=28&feature=share

4. “Nabii lazima atoe sadaka ushushwe moto” — si sheria ya jumla​

Huu ni utaratibu maalum, si kipimo cha unabii wote.​

Biblia inasema: Mathayo 12:39 “Kizazi kiovu hutafuta ishara, wala hakitapewa ishara ila ile ya nabii Yona.”

Yesu mwenyewe alikataa kutoa ishara za moto.

Je, hilo linamfanya awe kafiri kwa Wayahudi? Ndiyo — lakini bado ni Nabii kwa Wakristo.

5. “Manabii lazima watoke ukoo wa Israeli” — Biblia haifundishi hivyo​


Biblia inasema Mungu ana mamlaka ya kumchagua yeyote:

Amosi 9:7
“Je, ninyi si kama Wakuushi kwangu, enyi Waisraeli?”

Na: Mwanzo 21:13 “Nitafanya taifa kubwa kwa mwana wa mjakazi.” (Ismail)

Hivyo, kudai kuwa Nabii lazima awe Myahudi ni uzushi wa kibinadamu, si Biblia.

6. “Wakimfufua leo watamuita kafiri” — hoja isiyo na uzito​

Biblia inasema: Mathayo 23:37 “Enyi Yerusalemu, mnaowaua manabii…”

Wayahudi waliua manabii, waliwaita waongo — lakini Mungu aliwahukumu, si wao. Kwa hiyo maoni yao hayapimi ukweli wa Nabii.



 


Hoja yako haisimami juu ya sayansi wala maandiko, bali juu ya kuchanganya lugha ya mfano (metaphor) na uhalisia wa kimwili — kosa ambalo Biblia yako inalikataza waziwazi.

“Allah ana viungo vya mwili” — umetafsiri vibaya lugha ya maandiko​


Qur’an inasema wazi: Qur’an 42:11 “Hafanani na chochote kabisa.”

Aya ulizotaja (mkono, macho, kiti n.k.) ni lugha ya mfano (sifa za utukufu na mamlaka), si anatomy ya kibinadamu.
Sasa tuisikie Biblia yakoinasema nini : Biblia – Zaburi 34:15 “Macho ya Bwana huwa juu ya wenye haki.”

Zaburi 118:16 “Mkono wa Bwana umeinuliwa.”

Isaya 66:1 “Mbingu ni kiti changu cha enzi.”

Swali : Je, Mungu wa Biblia ana macho ya nyama, mkono wa mifupa, na anakaa juu ya mbingu kama mwanadamu?
Kama hapana basi umeshajibu hoja yako mwenyewe.

Ukisema “kila kilichotajwa ni kiungo halisi” — unambomoa Mungu wako​

Biblia inasema: Kutoka 33:23 “Utaniona mgongo wangu.”
Mwanzo 3:8 “Wakasikia sauti ya Bwana Mungu akitembea bustanini.”

Jee, Mungu ana mgongo? Ana miguu ya kutembea? Ana sauti inayopita hewani kama binadamu?

Ukisema “ndio” itakuwa umefanya Mungu wako kiumbe wa kimwili.
Ukisema “hapana” → Qur’an na Biblia ziko upande mmoja, wewe uko uko kinyume.

Hadith ulizotaja — umetumia tafsiri ya kipuuzi​

Katika Uislamu kuna kanuni: “Bila kufananisha, bila kuuliza vipi.”

Hata wanazuoni wa Kiislamu hawakuelewa sifa hizi kimaumbile, bali:

Mkono ni mamlaka / nguvu
Uso ni dhati / uwepo
Kukaa ni utawala, si makalio

Biblia nayo inafanya hivyo:

Danieli 7:9
“Mzee wa siku aliketi.”

Je, Mungu wako ana makalio ya kukalia kiti? La hasha — ni lugha ya kifalme, si anatomy.

“Allah ni binadamu au mnyama” — hii ni kauli ya kutojua maandiko​

Biblia inasema wazi: Hesabu 23:19 “Mungu si mwanadamu hata aseme uongo.”
Yohana 4:24
“Mungu ni Roho.”

Qur’an inasema jambo lile lile: Hafanani na chochote.

Hivyo anayemfanya Mungu kuwa binadamu au mnyama si Uislamu, bali ni wewe kwa tafsiri yako potofu.

Kejeli zako zinakurudia mara mbili​


Ukipuuzia Qur’an kwa kusema “aya ni za kipumbavu”: Unapuuzia pia Biblia, kwa sababu inatumia lugha ile ile
Unabaki bila msingi wa kumuelezea Mungu kabisa
Sayansi haisemi: Mungu ana viungo wala haisemi Mungu hana viungo

Sayansi haisemi chochote juu ya dhati ya Mungu.



 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…