Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Karibu nikupeleke kijiweni uone mwenyewe. Ni pale Makorora karibu na njia panda ya kwenda Donge...Ila siyo kule Mwahako..
Babu DC!!
Nimekupa Like kwa kunichekesha
Hasa mstari wa mwisho '.... kama sio roho mbaya'
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar
kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana
skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.
Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.
tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia
jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
mie najikubali level yangu ya uaminifu ni satsfactory
na simletei dharau mchumba wangu hata chembe
sura na umbo kama la u-sain bolt
nitakumdandje wakati nina mchumba na ena namuheshimu?-
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar
kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana
skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.
Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.
tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia
jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
Unanikumbusha mbali na karibu kwa haya maneno yako. Mwanzoni mimi nilikua sijui kama hayo yapo, lakini kuna siku nikapewa live. I had no comment..!!ujue na sisi wadada kuna wanaume tunawatamani kama mlivyo nyie-
maisha yenyewe mafupi ya nini ujinyime raha
sina imani kama upo presentable kama mkaka nayemzungumzia