Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,570
- 55,128
ongeza wa pili basi.mmoja tu kwa mwaka ya ham
ongeza wa pili basi.mmoja tu kwa mwaka ya ham
hapa jf kuna wadada wana mambo ya kutisha ila kusema wanaogopa
eti wanaume kutongoza ruksa mie mdada napotongoza malaya hapo ni kouneana jamani
sura na umbo kama la u-sain boltmimi ni mpole, handsome wakoje vile.
wewe hujawahi cheza mechi ya njee???mmh kumbe malaya bwana unae unataka mtarimbo mwingine ukija kwangu uwe single kama dable nisijue nani anataka mambo yakung'oana meno
shosti tokea uzaliwe umegegedana na wangapi??/hebu mpe somo la kitchen party naona ajafundwa huyu, mchumba anaye halafu anakuwa tamaa zisizo na msingi zenye kuleta maangamizi yake hapo baadaye na aanze kujilaumu kuwa kwanini Mungu wakati yeye mwenyewe alichezea usichana wake ivibaya mpe mwongozo wa maisha huyo best
jaman kila girl yupo tofautipole sana....uboo wa shoga??!!!
wakaka wanahonga mie kutongoza tu imekuwa aibu
nkisema maumivu ya moyo hupunguaHayatuhusu. This is your private business.
na maanisha mech mmoja tu ya njee-ongeza wa pili basi.
mhm jamani sasa yamekuwa mapya kama enzi zile za sodoma na gomora tumefika mbali mno wewe hujui mila na desturi za waafrika jamani? halafu my husband Mentor naye anaweka like ilhali akijua kuwa sio uungwana kabisa kwa mdada kumuanza mkaka huo udhungu mmeutoa wapi? ni wapi tunakwenda jamani?
hapa ofisi kuna mmama mtoa maadili na mwezi wa tutu mwaka huu kaachika kwa tabia mmbovu na mumeweIshi utakavo fanya utakayo mwaya maisha yenyewe mafupi haya...
hapo nimekupata.sura na umbo kama la u-sain bolt
Sasa kama umbo unalo, ilikuwaje mpaka huyo kaka akakumbia..??
atanasa tu naliamini umbo langu tena siku hiyo atanikomaumethubutu na uliweza ila tuu bahati haikuwa yako!!! Aliamua kucheza na hisia zako huyo mkaka