mchumba wako naye kicheche kama wewe?:becky:
hapana labda jana usiku kwa mchumba wangu

no najiamini nimeumbika so sexy
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar
kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana
skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.
Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.
tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia
jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
Tunaotamanisha tupo wengi, utaiweza ndoa kweli? Ukizingatia tunazaliwa kila siku sisi tunaotamanisha
Mchumba wako kala hasara.nitakumdandje wakati nina mchumba na ena namuheshimu?-
Looh nimejitahidi nimesoma thread yote, ila wewe nizaidi ya sakapal kwa umentali.
Kama ni wewe mwenyewe bila kula ganja kama mie ninavokula bange ikinibangua najikuta nshaposti...................
Umenichekesha sana ujasiri wako wa kudai kutimiziwa haja yako.
Japo sio tabia nzuri hasa kuisema hadharani (siku zote ukweli unauma) ila hata mie huwa kuna watu ukiwaona au ukikutana nao roho inafanya pwaah!! au huku chini kunafanya ssshhh!! na kuwatamani kuwa nao kitandani nawatamani ila guts za kuomba game hapo ndo huwa tunapishana. Ila kimoyomoyo wengi wanatamani.
Kila la heri mwaya na ukitaka kujua watu wanapenda ngono ongelea kuhusu hiyo wapo watakao kuponda na watakao kuunga mkono, ila viewers watakuwa wengi.
This is only my views.
Typical Chotara,lol..............mzima wewe lakini
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar
kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana
skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.
Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.
tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia
jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
Duuuh!!! hivi kama ingekuwe hivyo utakavyo wewe Marytina, wanadamu wangekuwa sawa na wanyama tu!! Hapana si hivyo bana rafiki....
Madame Keren_Happuch huna ubuyu wa kumung'unya huko kwako lol! hahahahahah....hujambo weye!?
Hahahahah..... BAK, yaani Babu DC amenichekeshaje yaani!!...Bana mi sina ubuyu bana...LOL.
Mi mzima kabisa rafiki, sijui weye!
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar
kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana
skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.
Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.
tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia
jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
sio kirahisi nakuapia
natongozwa sana na nawapiga chini wote mpaka mie nimtake flani ndio nagegedana naye