Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

naona ulikuwa unapika bom asa ukasahau kukimbia limekulipukia, ila acha uzinzi
 
nielewe siitaji ndoa na huyu mume mtu
just one night then tupotezeane sasa hapo namwaribiaje ndoa yake


Kama kuna watu wamekuelewa sana Marytina, mimi ni mmoja wao..

Kweli unahitaji game la siku moja, basi...

Ila ninalosema na mimi ni kwamba, ukishatembea na mume wa mtu, ndoa yake haiwezi kubaki intact.

Umesahau kuwa mtu akionja nyama ya mtu haachi? Inaweza kuwa wewe au huyo mume wa mtu..

Hata ungesemaje, kutembea na mume/mke wa mtu ni kuharibu ndoa yake...Full stop!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
nawasilisha sauti za wasioonekana
wadada tuna haki ya kutongoza jaman


Binafsi nakubaliana na wewe ila sishauri kabisa mambo ya kutongoza waume za watu kama ambavyo pia sisi wenyewe tunashauriwa tusihangaike na wake za watu...

Babu DC!!
 
Je wewe mwenyewe ni cster do au unataka mahandsome na wakati we mwenyewe haulipi nijuavyo mimi kama unalipa huna haja ya kujitongozesha ukujipitisha tu kidume mwenyewe anachanganyikiwa
siitaji pesa bali uwe handsome na mpole
umo kama la u-sain bolt nataka
 
Kama kuna watu wamekuelewa sana Marytina, mimi ni mmoja wao..

Kweli unahitaji game la siku moja, basi...

Ila ninalosema na mimi ni kwamba, ukishatembea na mume wa mtu, ndoa yake haiwezi kubaki intact.

Umesahau kuwa mtu akionja nyama ya mtu haachi? Inaweza kuwa wewe au huyo mume wa mtu..

Hata ungesemaje, kutembea na mume/mke wa mtu ni kuharibu ndoa yake...Full stop!!

Babu DC!!
KILA MBUZI ALE KWA urefu wa kamba yake
mke amtulize huyo mume kama ataweza ila naapa nitamnasa iwe mwezi huu au ujao
 
Binafsi nakubaliana na wewe ila sishauri kabisa mambo ya kutongoza waume za watu kama ambavyo pia sisi wenyewe tunashauriwa tusihangaike na wake za watu...

Babu DC!!
hivi hujawahi cheza mechi za nje ???
 
Je wewe mwenyewe ni cster do au unataka mahandsome na wakati we mwenyewe haulipi nijuavyo mimi kama unalipa huna haja ya kujitongozesha ukujipitisha tu kidume mwenyewe anachanganyikiwa

mie najikubali na najiamini, mungu kanijalia
 
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

kula kitu roho inapenda, bora kujilamba midomo kuliko kum-busu mtu usiyempenda, ya nini kumbusu alafu ukageuka pembeni na kutema mate?
 
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar



kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

Anaogopa kuunganishwa kwenye grid ya Taifa. Siku hizi wanauita Mtandao!
 
mie najikubali na najiamini, mungu kanijalia

Kuna sababu nyingi za kumfanya m2 hachomoe kwenye zoezi hilo na bahati mbaya sababu ningine ni vigumu kuzieleza kwa mhusika. Mpotezee tu ila ujue kwa vyovyote vile kuna sababu za msingi, baadhi ni kama hizi:-
Hofu ya kimungu,
Labda anajua background yako siyo,
Labda yeye ana matatizo anaogopa kusambaza,
Labda mke wake mamchezea kekundu asitoke nje,
Labda …… ziko sababu nyingi tu, usilaumu pasipo kuchunguza.
 
SHOSTI HUJAWAHI KUMTAMANI MWANAUME MWINGINE ZAIDI YA HUYO ULIYE NAYE?
my boyfriend ni mmasai ila kuna akati najikuta nimemtamani mwingine
Mentor naona haujakoma.....sorry is a sorry word...remember? Kaunga and sakapal nanyi mwatamani ugenini cup sio....mh...angalieni msije mkakaribishwa halafu mkataka kukomba na mboga...
 
Last edited by a moderator:
Yale mambo hayana utu uzima wala utoto mapenzi ni upofu kama una ndoa tulizana na ndoa yako ndoa na iheshimiwe na watu wote na kama hauna tafuta kipenda roho mfunge pingu mtulie hii onja onja mwisho wake ni mmbaya sana ni hayo tu.
mie mtu mzima na akili zangu siezi kuweka kambi kwa mume wa mtu
 
Unajisifia bure wewee!umbo lako litakuwa halina mvuto kwa mwanaume!km vp tafuta mnaoendana na hadhi yako hutajuta.hahahahahahaha poleeeeee!
 
Bahati nzuri jamaa rafiki yangu sana na alinipa hii story kuwa kuna dada anamfatilia sana kumbe ni ww???,UTAUMBUKA MJINI DADA
 
Back
Top Bottom