Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,013
- 3,066
Hhahahaaaaa unajua hiyo avatar yako tangu siku nyingi nikiwa barabarani huwa nikimuona muendesha tukutuku ndogo halafu yeye ni bonge huwa nasema sijui huyu ndo babu DC? refer ile ya watu kuweka avatar zinazofanana/karibiana na jinsi walivyo.
Jioni njema babu msalimie bibi.
out of curiosity, hii avatar yako hii>>>>!