Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Marytina, mimi binafsi na ku-support, wewe sio mtumwa, una uhuru wa kufanya jambo unalodhani kwako lina manufaa ili mradi usivunje sharia. Wewe hujavunja sharia kwani haukubaka ulimwaga sera mkakubaliana labda tuseme bahati mbaya tu jamaa ana-respect kwa wife wake. Usikate tama jaribu tena utafanikiwa
asante sana
nitamnasa tu ngojea alhamisi nimweka kati atanielewa
 
ushamba huo
kwani atanipitia bila kinga au nimrmwomba anioe???
mie najiamini sina mambo ya ovyo-

bibie we kinga kuzuga bwana we nilale na wewe mpaka asubuh goli sita zote ntumie kinga thubutu kinga kwa ajili ya malaya wa buguruni wabongo tunauza mech kinoma
 
Mwagikaaaaaaaaa.
Fungukaaaaaaaaaaa.
Rindimaaaaaaaaaaa Marytina.
Kama umempenda mtu mwambie wazi wazi kuliko kujing'ata ng'ata. Nakupongeza kwa ujasiri wa kumwoyesha jamaa kuwa unamtaka. Wengi wanakufa na maumivu yao.
i live my life
thanks alot bro!!1
 
hahahaha pole ya nini mumie? kukosa kugegedwa au?
mbona wanaume mnaonga tena mshiko mrefu ili tu mugegedua mnavyovitaka sasa mie just kumtongoza ishakuwa nongwa???
 
bibie we kinga kuzuga bwana we nilale na wewe mpaka asubuh goli sita zote ntumie kinga thubutu kinga kwa ajili ya malaya wa buguruni wabongo tunauza mech kinoma
bila kinga hunilali na tena mwenye haki ya kunibao ndani ni mchumba wangu tu na sio mwingine
 
ujue na sisi wadada kuna wanaume tunawatamani kama mlivyo nyie-
maisha yenyewe mafupi ya nini ujinyime raha

tatizo mnaishia kutongoza mashoga----tongoza wanaume rijali uone wala hutokuja kusimulia humu.

maofisini machoko kibao wavaa kitanashati na kuzungumza kwa kurembua
 
mhm jamani sasa yamekuwa mapya kama enzi zile za sodoma na gomora tumefika mbali mno wewe hujui mila na desturi za waafrika jamani? halafu my husband Mentor naye anaweka like ilhali akijua kuwa sio uungwana kabisa kwa mdada kumuanza mkaka huo udhungu mmeutoa wapi? ni wapi tunakwenda jamani?
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar

kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
 
Last edited by a moderator:
tatizo mnaishia kutongongosha mashoga----tongoza wanaume rijali uone wala hutokuja kusimulia humu.

maofisini machoko kibao wavaa kitanashati na kuzungumza kwa kurembua
mie ubo na sura vinanikojoleha na sii mieleka yako
 
bila kinga hunilali na tena mwenye haki ya kunibao ndani ni mchumba wangu tu na sio mwingine

mmh kumbe malaya bwana unae unataka mtarimbo mwingine ukija kwangu uwe single kama dable nisijue nani anataka mambo yakung'oana meno
 
hebu mpe somo la kitchen party naona ajafundwa huyu, mchumba anaye halafu anakuwa tamaa zisizo na msingi zenye kuleta maangamizi yake hapo baadaye na aanze kujilaumu kuwa kwanini Mungu wakati yeye mwenyewe alichezea usichana wake ivibaya mpe mwongozo wa maisha huyo best
wazuri hawaishi dia..utawaonja wangapi?
 
mhm jamani sasa yamekuwa mapya kama enzi zile za sodoma na gomora tumefika mbali mno wewe hujui mila na desturi za waafrika jamani? halafu my husband Mentor naye anaweka like ilhali akijua kuwa sio uungwana kabisa kwa mdada kumuanza mkaka huo udhungu mmeutoa wapi? ni wapi tunakwenda jamani?
ukienda sokoni unachagua bidhaa unayoitaka na si wauzaji wakudanganye wakuuzie wanachokitaka wao
 
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar

kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Back
Top Bottom