Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

ewaaaaaaaaa ... maisha yenyewe mafupiiii..
huna haja ya kupata stress Marytina mwaya.. may be kuna mahali ulichemka. waombe wenzie hapa wakupe maujanja!

Ukiacha kuwa hii movie imemtarget mume wa mtu...tena mbaye hataki kuonja onja...guts za Marytina zimeniacha na mengi ya kufikiria..!

Ila tukitaka kweli ukombozi wa mwanamke...mambi kama haya lazima yafikie mahali yaonekane ni ya kawaida...

Tatizo langu ni kuchagua mtu wa kuvutia pumzi...kuwalenga wanandoa siyo jambo zuri hata kidogo!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
maisha ni kuchagua..pengne nae anaona hilo ni bora kwake
hebu mpe somo la kitchen party naona ajafundwa huyu, mchumba anaye halafu anakuwa tamaa zisizo na msingi zenye kuleta maangamizi yake hapo baadaye na aanze kujilaumu kuwa kwanini Mungu wakati yeye mwenyewe alichezea usichana wake ivibaya mpe mwongozo wa maisha huyo best
 
ama kweli hizi ni zama za utandawazi.mimi nimpende mtu hata kumwambia nitashindwa,nitajiuma uma tu.wacha leo nijaribu kumtokea yule mtu,jamani vibaya kunyimana
nimekumiss sana shosti
maisha mafupi wewe ucjli mwambie
 
Ukiacha kuwa hii movie imemtarget mume wa mtu...tena mbaye hataki kuonja onja...guts za Marytina zimeniacha na mengi ya kufikiria..!

Ila tukitaka kweli ukombozi wa mwanamke...mambi kama haya lazima yafikie mahali yaonekane ni ya kawaida...

Tatizo langu ni kuchagua mtu wa kuvutia pumzi...kuwalenga wanandoa siyo jambo zuri hata kidogo!

Babu DC!!
nielewe siitaji ndoa na huyu mume mtu
just one night then tupotezeane sasa hapo namwaribiaje ndoa yake
 
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar



kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

Heeee mapenzi yamepinduliwa! haya ndio mapinduzi halisi! congrats Marytina
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom