Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Nimeipenda mazee wajua kuna time mwili unakua na mhemko ile mbaya afu kuna manzi au kachaa unamzimikia na ndo unataka gane nae yaani show game tu ani afu hadeel da way unafeel....
Unamtengenezea mazingira ila wapi?
Unawish feelin ziwe mutual ila wapi?
Sasa hii ni coz ya mazingira na vile tumekua
Tunafundishwa ati usitoe gemu kama hamuoani? Saa ingine dah ni dhambi twajua ila karoho kakitaka lahaula
Jama ingekua mimi umeniitia gemu afu nakujua,,,, natengeneza artificial feelin mazee adi nikubambe
ana tatizo yule
good
 
je wewe unakula mkeo tu kila siku????
labda una matatizo ya -kugegeda

Kweli, tatizo langu ni moja, kila mwanamke ninaye mgegeda anataka kuchonga mzinga. Sijawai kumgegeda mwanamke na hasinitafute tena na tena.
 
okay..well mie naelewa kabisa...kama ni kugegedana lazima upate handsome au kwa sie wanaume tupate beautiful lady especially kama u putting ur serious relationship at stake....that being said maybe he didnt wana do u becoz u not beautiful enough for him to risk his marriage
no najiamini nimeumbika so sexy
 
nipo bibie
jf wananchukia nikaona nikae mbali nao
wakaka hawataki kusikia ukweli
waliokimbilia ndoa kwa hofu ya kukosa waume wananifokea utadhania wanalazimishia waume zao

nimekumiss sana.... happy toc u

hapa JF mwendo mdundo siku zinaenda ...usiwe unapotea hivo lakini
 
ama kweli hizi ni zama za utandawazi.mimi nimpende mtu hata kumwambia nitashindwa,nitajiuma uma tu.wacha leo nijaribu kumtokea yule mtu,jamani vibaya kunyimana
 
Looh nimejitahidi nimesoma thread yote, ila wewe nizaidi ya sakapal kwa umentali.
Kama ni wewe mwenyewe bila kula ganja kama mie ninavokula bange ikinibangua najikuta nshaposti...................

Umenichekesha sana ujasiri wako wa kudai kutimiziwa haja yako.
Japo sio tabia nzuri hasa kuisema hadharani (siku zote ukweli unauma) ila hata mie huwa kuna watu ukiwaona au ukikutana nao roho inafanya pwaah!! au huku chini kunafanya ssshhh!! na kuwatamani kuwa nao kitandani nawatamani ila guts za kuomba game hapo ndo huwa tunapishana. Ila kimoyomoyo wengi wanatamani.
Kila la heri mwaya na ukitaka kujua watu wanapenda ngono ongelea kuhusu hiyo wapo watakao kuponda na watakao kuunga mkono, ila viewers watakuwa wengi.
This is only my views.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maelezo yako kuna tofauti gani na huyo "anayemuita malaya" na wewe.....kwa kadri ya huyo kaka.?
 
Nimeipenda mazee wajua kuna time mwili unakua na mhemko ile mbaya afu kuna manzi au kachaa unamzimikia na ndo unataka gane nae yaani show game tu ani afu hadeel da way unafeel....
Unamtengenezea mazingira ila wapi?
Unawish feelin ziwe mutual ila wapi?

Mkuu uko kipande gani, Dandala. Kaliobangi, Kibela, Majengo, au Mathare North?
 
ulipotelea wapi best jamani?
ama kweli hizi ni zama za utandawazi.mimi nimpende mtu hata kumwambia nitashindwa,nitajiuma uma tu.wacha leo nijaribu kumtokea yule mtu,jamani vibaya kunyimana
 
no najiamini nimeumbika so sexy

hahahaha kumbe ishu ni kwamba umezoea wanaume kukunyenyekea coz u sexy sasa katokea ambae kakuona wakaiwa u feel rattled...pole. worry not yatapita tuu na kama wewe mwanamke kweli sexy basi lazima utatumia mayele mpaka mwanaume akupe unachotaka
 
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar



kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
pole sana dada,kumbe ulikuwa na hamu ya suksumuksu?
 
Heee.. yaani first outing straight chumbani?? ... Hata kama ningekuwa mimi ningeingia mtini, unatudanganya eti gemu? inawezekana ni mumiami!
 
Back
Top Bottom