Waisrael Kulikoni jamani?

Waisrael Kulikoni jamani?

Na katika tuzo za kisayansi haya ni baadhi ya majina yao na tuzo walizo pata.

1. Murray Gell-Mann - Nobel prize in physics 1969. Introduced 'quarks'.

2. Daniel Nathans - Nobel prize in Medicine: for restriction analysis of Simian Virus 40 DNA

3. Douglas Osheroff - Nobel prize winner in Physics, for work in superfluidity

4. Harold Kroto - Nobel prize-winner in Chemistry, discoverer of C60

5. Herbert Brown - Nobel prize winner in Chemistry: for his work in the borane-organoborane area

6. Leon Lederman - Nobel prize winner in Physics, 1988
Edit | Remove
7. Isidor Rabi - Nobel prize in physics in 1944
Edit | Remove
8. Georges Charpak - won the Nobel Prize in Physics 1992 for his particle detector
Edit | Remove
9. Jack Steinberger - Nobel Prize winner in Physics, 1988
Edit | Remove
10. David Lee - Nobel prize winner in Physics: for work on superfluidity
Edit | Remove
11. Joshua Lederberg - Nobel prize winner in Medicine, discovered viral transduction
Edit | Remove
12. Howard Temin - 1975 Nobel Prize in Medicine
Edit | Remove
13. Stanley Prusiner - Nobel prize winner in Medicine: for the discovery of Prions, infectious proteins
Edit | Remove
14. Hermann Muller - Nobel prize winner in Medicine: for work on biological effects of radiation
Edit | Remove
15. Cesar Milstein - Nobel prize winner in Medicine: field of immunology
Edit | Remove
16. George WALD - Nobel Price in Medicine for work contributing to our understanding of vision.
Edit | Remove
17. Tadeus Reichstein - Nobel Prize for Medicine 1950
Edit | Remove
18. Fritz Haber - winner of the Nobel Prize of Chemistry in 1918, for the synthesis of ammonia from…
Edit | Remove
19. Stanley Cohen - Nobel prize winner in Medicine, for work in experimental embryology
Edit | Remove
20. Claude Cohen-Tannoudji - Nobel prize winner in Physics, developed laser-cooling technology
Edit | Remove
21. David Baltimore - Nobel Prize in Physiology and Medicine
Edit | Remove
22. Joseph Brodsky - Nobel Prize winner in literature, most famous modern poet
Edit | Remove
23. Selman Waksman - Microbiologist, 1952 Nobel Prize winner in physiology and medicine
Edit | Remove
24. Hans Bethe - Nobel Prize in Physics in 1967
Edit | Remove
25. Albert Michelson - Nobel Prize for Physics 1907
Edit | Remove
26. Arno Penzias - Nobel prize winner in Physics, studied interstellar isotopes
Edit | Remove
27. Martin Perl - Nobel prize winner in Physics: discoverer of the Tau Lepton
Edit | Remove
28. Franco Modigliani - Italian-born economist, 1985 Nobel Laureate in Economics: saving and financial markets
Edit | Remove
29. Milton Friedman - Recipient of the Nobel Memorial Prize in Economics
Edit | Remove
30. Niels Bohr - Nobel prize-winning Physicist: atomic structure
Edit | Remove
31. Rita Levi-Montalcini - winner of the Nobel Prize for her work on Nerve Growth factor (with Stanley Cohen…
Edit | Remove
32. Aaron Klug - Nobel prize winner in Chemistry, for work on X-ray analysis of biomolecules
Edit | Remove
33. Lev Landau - Soviet physicist, Nobel Prize in Physics 1962
Edit | Remove
34. Roald Hoffmann - Nobel prize winner in Chemistry: field of electronic structures
Edit | Remove
35. Richard Feynman - 'The greatest scientific mind since World War II '
Edit | Remove
36. Albert Einstein - The most famous and influential scientist of all time
Edit | Remove
37. Andrew Schally - Nobel prize winner in Medicine: field of endocrinology
Edit | Remove
38. Baruch Blumberg - Nobel prize winner in Medicine: field of epidemiology
Edit | Remove
39. Bernard Katz - Nobel prize winner in Medicine, studied neuromuscular transmission
Edit | Remove
40. Joseph Goldstein - Nobel prize in Medicine
Edit | Remove
41. Paul Ehrlich - Nobel prize for descovering a treatment for syphilis.
Edit | Remove
42. Elie Metchnikoff - Nobel prize winner in Medicine, studied immunity in infectious diseases
Edit | Remove
43. Reinhard Selten - Nobel prize winner in Economics: for work on 'game equilibrium models'
Edit | Remove
44. Simon Kuznets - Nobel prize winner in Economics
Edit | Remove
45. John Harsanyi - Winner of the Nobel prize in Economics: studied utilitarian ethics
Edit | Remove
46. Herbert Simon - Nobel prize winner in Economics: for work on decision-making
Edit | Remove
47. Paul Samuelson - Nobel Prize in Economics (first ever)
Edit | Remove
48. Shimon Peres - Israel's Labor party leader
Edit | Remove
49. Yitzhak Rabin - Prime Minister of Israel - Worker for Peace' Chief of Staff in Six Day War
Edit | Remove
50. Paul Johann Ludwig Heyse - Nobel prize winner in Literature, 1830-1914
Edit | Remove
51. Henri Bergson - Author/Philosopher, Nobel prize for Literature
Edit | Remove
52. Nelly Sachs - Poet, winner of the Nobel prize in Literature
Edit | Remove
53. Nadine Gordimer - South African novelist, Nobel prize-winner in Literature
Edit | Remove
54. Shmuel Yosef Agnon - Israeli writer, winner of the 1966 Nobel Prize: 'The Bridal Canopy'; `A Guest for…
Edit | Remove
55. Saul Bellow - Pulitzer Prize winning Author
Edit | Remove
56. Elias Canetti - Bulgarian born essayist and novelist who was awarded the Nobel Prize for Literature…
Edit | Remove
57. Isaac Bashevis Singer - Author, Nobel Prize-winner for Literature
Edit | Remove
58. Elie Wiesel - Jewish author: 'Night', winner of the Nobel Prize for Peace

Duuh, naona hapa hawajatuwekea hata nafasi moja sisi wachaga!
 

Jews are chosen, whether we like it or we don't. I have two jews friends, believe me, they are brainy.

Ukisoma kuhusu Nebuchadnezzar utaona kuwa, alienda Irael kutafuta vijana wenye akili ili wakaisaidie nchi yake. Soma Kitabu cha Daniel, utapa majibu mazuri sana kuhusu hawa jamaa.

Kwahiyo basi, Wayaudi ni taifa la Mungu mpaka hii leo. Just reason with me, hawa jamaa wamezungukwa na Waarabu karibu pande zote, lakini mpaka hii leo hawawezi kuwapiga au kuwashinda katika vita ya kila siku. Have you ever think about that?
if you still think hawa "maplastic" ni Jews itamaanisha kuwa ile ahadi walichukua wazee wao wale 12,kwa baba yao Yakobo, ya kuwa "ulimwengu utakuwa na amani kwa ajili yao na vizazi yao na majirani zao..." si kweli? ndo maana nikakumbia Mayahudi wa kweli walimuogopa Mungu waliechukua ahadi kwake kuwa watatimiza amri zake. Hawa Maplastic mnaowapa "uyahudi" hawana sifa hiyo ya kiimani, juzi tulikua na post katka JF ikiyoeleza unyaman na uhuni waliofanya Gaza.Hawa si Mayahudu "these are crazya maderers deserved to be wiped out of the world map"
 
Ibrahim ndo mwanzilishi wa taifa la wana wa yakobo ambao leo ndo waisrael na ndiyo baba wa wote wenye kuamini kwamba yesu alizaliwa alikufa na kisha akafufuka na huyo ndiyo mrithi wa Ibrahim kwa habari ya Imani nae ameanzisha taifa jipya ambalo sasa lipo linaitwa zion (Sayuni). Uraia unapatikana kwa imani tu na lina wanajeshi hodari vita vyao si vya damu na nyama bali ni katika ulimwengu wa roho dhidi ya falme na mamlaka wakuu wa angaa wenye nguvu za giza na mapepo wabaya. Hao wanashinda kila siku kwani mwanzilishi wao ni mshindi ndiyo maana kaburi lake halina masalia ya mifupa litupu. Ushindi wao upo katika damu ya huyo aliyekufa kwa niaba yao nao wamshinda mkuu wa ulimwengu huu kwa hiyo damu na kwa ushuhuda wa neno lao. Wao wanasema na vitu vinatokea tu yaani wanaumba bila kuzingatia utamaduni wa dunia kwamba vitu vyote ni matokea ya mater kiswahili chake sikijui vizuri. Karibu uwe raia wa hiyo nchi yenye kujaa maziwa na asali hao hawasubiri kufa ili wahukumiwe bali wameshakufa na wamefufuka kwa habari ya ulimwengu huu wa giza wenye shida na adha si waoga na amani yao ni tele. Usiufanye mgumu moyo wako kwani kunamaisha zaidi ya hayo unayoyafahamu njoo uingie uonje na uone kulivyo na raha karibu.
Isaca ni mtoto wa Ibrahim na yeye aliamini kuwa Yesu atakufa halafu atafufuka?
 
Duuh, naona hapa hawajatuwekea hata nafasi moja sisi wachaga!
Hii list ya "kujikweza" ya wazungu haipo "fair" kabisa yaani kuna wataalamu wengi tu kutoka Nchi za Asia , America ya kati, Kusinin Africa n.k wana "ignore" makusudi kwa kudharau michango yao, kama Mtu anapewa tuzo ya Nobel kwa kuwa mpigania haki na amani tu, kuna watu enzi hizo walistahiki kupata kuliko wao, Mf. Mahatma Gandhi hakuna ubishi kuwa alingoza mapambano ya uhuru bila fujo "non passive resistence" kwenye list hiyo ya enzi hizo haonekani kwa kuwa "si Plastic"?
 
Naamini ni taifa teule, ila inabidi wa act kama taifa teule. Matendo yao Gaza/West Bank nina hakika yanamchukiza Mungu na yanaweza kumfanya aruhusu liangamie kama ambavyo ilivyokuwa walivyomchukiza Mungu enzi zile za akina Nebkadnezer (soma Daniel, Ezra, Nahum, Esther, etc. ). Hata CIA wanatabiri kwamba wasipojirekebisha matendo yao, kiyama chao hakiko mbali. Utabiri wa CIA huu hapa chini

The CIA:

"[There will be] an inexorable movement away from a two-state to a one-state solution, as the most viable model based on democratic principles of full equality that sheds the looming specter of colonial Apartheid while allowing for the return of the 1947/1948 and 1967 refugees. The latter being the precondition for sustainable peace in the region."

These are the conclusions of a recently released CIA report, which is being passed along to a few U.S. lawmakers but so far not available to the public. More on this upbeat and optimistic report from the PressTV website:

[International lawyer Franklin Lamb] said CIA, in its report, alludes to the unexpectedly quick fall of the apartheid government in South Africa and recalls the disintegration of the Soviet Union in the early 1990s, suggesting the end to the dream of an 'Israeli land' would happen 'way sooner' than later.

(The CIA predicts Israel has about 20 more years before it wipes itself off the map).

The study further predicts the return of over one and a half million Israelis to Russia and other parts of Europe, and denotes a decline in Israeli births whereas a rise in the Palestinian population.

Lamb said given the Israeli conduct toward the Palestinians and the Gaza strip in particular, the American public -- which has been voicing its protest against Tel Aviv's measures in the last 25 years -- may 'not take it anymore'.
 
Think pad kauliza swali zuri tu na rahisi sana lakin nasikitika kwamba Junius amejaribu kwenda nje ya mada kabisa!
nimesoma posts zake zote na nasikitika sijaelewa hata moja. Sijaelewa alikuwa anajibu nini.
Mara naona maneno 'plastic', mara maneno 'pure' mara Ibrahim alikuwa si jew mara Yakobo alikuwa si jew. Eti mara Mohamed alikuwa jew.
Jamani. Hizi hasira zenu Junius zisizokuwa na maana ondoa hapa na jibu jibu la maana maana think pad anatafuta dawa ya utajiri na akili nyingi kama za jews. Usilete ile Max anaita 'povu'.
Hapa nakwambia ndipo ujinga wa wengi unaanzia. Maana unachodhani si kweli kumbe ni kweli. Na ndio sababu wengi wanadhani bila Marekani Israeli hawawezi. Huu ni upuuzi tu. Maana hata dunia nzima mkijaribu kwenda kinyume nao Mungu wao yaani Mungu wa Israeli hatakwenda kinyume nao. Hii ni kweli na imeshakuwa Proved beyond doubt.
 
Isaca ni mtoto wa Ibrahim na yeye aliamini kuwa Yesu atakufa halafu atafufuka?


Kwasababu Ibrahimu ndo aliyepewa hiyo ahadi naye kwakua alikuwa wise alielewa nini Mungu anamaanisha naaliingojea ahadi hata akafa kabla ya kuona bali mwenye amani kwani aliiona katika macho ya kiimani. Kwakua alikuwa siyo tapeli Mungu alijua atamwambia mwanae Isac kwani Mungu alimwambia asiache kuwaambia wanae na kusisitiza nao wawaambie wanao ili wasije wakatapeliwa na matapeli wa enzi hizo. So kwakuzingatia hilo Isac nae alijua na kuamini kwani alimwamini baba yake ndo maana hata alikubali kuoa mke aliyechaguliwa na baba yake kupitia kwa mtumishi wao nae alipooa aliona kapata mke mwema aliyemfariji kwa kifo cha mama yake.

Huu mjadala unahusu evidence ya physic than metaphor so let us use facts other than myths kuwatendea haki waanzilishi kama ni imani basi anzisha thread kule nami ntaomba sophia toka kwa holyspirit niweze kuku convince. Sincerely I like your urguments kwani you are a good candidate of zion and I would like to recruite you be one amongst many who are enjoying the citizenship.
 
Naamini ni taifa teule, ila inabidi wa act kama taifa teule. Matendo yao Gaza/West Bank nina hakika yanamchukiza Mungu na yanaweza kumfanya aruhusu liangamie kama ambavyo ilivyokuwa walivyomchukiza Mungu enzi zile za akina Nebkadnezer (soma Daniel, Ezra, Nahum, Esther, etc. ). Hata CIA wanatabiri kwamba wasipojirekebisha matendo yao, kiyama chao hakiko mbali. Utabiri wa CIA huu hapa chini

Kama ni muumini wa Mungu anayeitwa mimi niko ambaye niko na sasa kama Emanuel basi jua kuwa huo utabiri si waleo bali upo na kuwa mataifa yote yataigeuka Israel na Israel itatekwa hadi robo tatu na hapo ndipo atakuja yeye aliyewaahidi hakuna hata mmoja wao atakepotea ila wamefanywa wasiamini ili wale wasiokusudiwa wapate kuamini kupigana na wote waliodhamiria kuiondoa israel katika uso wa dunia na huko mito yote itageuka damu kwa wingi wa vifo vitakavyokuwako wakati huo ndipo atakapo ulizwa imekuaje mbona mikono yako imechafuka kwa damu? The rest kasome.
 
Yes sir,

They are leading the world, simply to prove the God is alive! they are living proof! Bible can never cheat.
 
Hii habari ya taifa teule ni myth tu, kila taifa ni taifa teule kwa watu wake. Wachina wanaamini civilization yao ndiyo bora kabisa na inayofaa kuigwa na watu wote ulimwenguni, ndiyo maana wakati wazungu walipoanza kwenda Marekani, ingawa Wachina walishawahi kufika Marekani kabla ya Christopher Columbus na Leif Eriksson, hawakutaka kuhama China.

Siri ya waisraeli/ Wayahudi kuwa na mafanikio ni pamoja na yafuatayo.

Kusoma

Waliweka umuhimu mkubwa sana katika kusoma, na tofauti na Wamisri ambao kwao kusoma kulifanywa kwa siri miongoni mwa wakuu wa serikali na dini (mystics and secret societies) Waisraeli wao walikuwa na kabila lililowekwa mahsusi kwa ajili ya kusomea dini (walawi) na watu wote walikuwa wanatakiwa kujisomea ili wazijue sheria.

Uchumi,

Wakristo katika medieval Europe hawakuweza kushiriki katika kukopesha pesa benki kwa sababu ya "usury laws" na interpretations za kikristo kwamba mkristo hatakiwi kuchukua interest (waislam mpaka leo wanatumia hizi sheria katika halal banking, kuna sheria inapitishwa kuruhusu mortgages zisizo na usury Minnesota). So watu pekee walioweza kufanya banking na kukopesha watu with interest bila ku violate religious codes walikuwa ni Wayahudi, hili ndilo chimbuko la umahiri wa wayahudi katika biashara na nyanja ya benki.Mwandishi Niall fergusson ambaye ni Professor wa Harvard ameandika vizuri katika kitabu chake "The Ascent of Money : A Financial history of the World" jinsi gani wayahudi kama kina Medici walivyoweza ku control banking Italy mpaka kujiingiza katika ku control mataifa, wafalme na hata upapa wa kikatoliki kwa kutumia mfumo wa benki, mpaka kufikia kina DuPont na the Rothschilds.

Kwa hiyo kama Wayahudi ni taifa teule ni kwa sababu walijiteua na kuji promote wao wenyewe.

Na kama kuna mungu aliye na favoritism ya kuchagua taifa moja over lingine wazi wazi hata wazazi wengi tu wa kibinadamu watakuwa wamempita kwa fairness na non partiality.
 
Hii list ya "kujikweza" ya wazungu haipo "fair" kabisa yaani kuna wataalamu wengi tu kutoka Nchi za Asia , America ya kati, Kusinin Africa n.k wana "ignore" makusudi kwa kudharau michango yao, kama Mtu anapewa tuzo ya Nobel kwa kuwa mpigania haki na amani tu, kuna watu enzi hizo walistahiki kupata kuliko wao, Mf. Mahatma Gandhi hakuna ubishi kuwa alingoza mapambano ya uhuru bila fujo "non passive resistence" kwenye list hiyo ya enzi hizo haonekani kwa kuwa "si Plastic"?

junius,

Right on point,

Sasa cha kuchekesha ni kwamba wamekosa kumpa Gandhi-ji Nobel halafu wamempa mwanafunzi wake Martin Luther King.

Ni kama vile umnyime nishani Socrates halafu umpe Aristoltle au Plato. Au umnyime Nyerere halafu umpe Mkapa.

Inawezekana lakini inaonyesha kuwa Nobel Prize is more politics than a precise science.
 
Think pad kauliza swali zuri tu na rahisi sana lakin nasikitika kwamba Junius amejaribu kwenda nje ya mada kabisa!
nimesoma posts zake zote na nasikitika sijaelewa hata moja. Sijaelewa alikuwa anajibu nini.
Mara naona maneno 'plastic', mara maneno 'pure' mara Ibrahim alikuwa si jew mara Yakobo alikuwa si jew. Eti mara Mohamed alikuwa jew.
Jamani. Hizi hasira zenu Junius zisizokuwa na maana ondoa hapa na jibu jibu la maana maana think pad anatafuta dawa ya utajiri na akili nyingi kama za jews. Usilete ile Max anaita 'povu'.
Hapa nakwambia ndipo ujinga wa wengi unaanzia. Maana unachodhani si kweli kumbe ni kweli. Na ndio sababu wengi wanadhani bila Marekani Israeli hawawezi. Huu ni upuuzi tu. Maana hata dunia nzima mkijaribu kwenda kinyume nao Mungu wao yaani Mungu wa Israeli hatakwenda kinyume nao. Hii ni kweli na imeshakuwa Proved beyond doubt.

UMENIUDHI...! mimi nitaandika na kuchangia nini sasa....?
Mawazo yangu yote umetoa wewe .....!
ANYWAY.....NA TZ KUWAFUKUZA WAISRAEL MATOKEO YAKE TUNAYAONA...!
 
Nadhani hawa ni taifa teule la Mungu lakini chakula pia kinachangia, Jitahidi kula Ngano, Maziwa, Asali, etc na kujishughurisha kichwa itacharge tu mkuu
 
Kama Israel ni taifa teule limeteuliwa na mungu, kwa hiyo mungu ana upendeleo?
 

Neno la Mungu linasema, blessed is He that prayeth for the nation of Israel. Sasa basi, Wamarekani wapo mstari wa mbele kuliombea taifa la Israel, and they are blessed. Sisi tupo mstari wa mbele kiasi cha kuvunja ushirikiano na hawa Wayahudi miaka ya mwanzoni ya sabini, na kuandamana kusaidi Irrational Hamas.

Kama Mchukia Fisadi alivyo sema, na kama ushaidi wa THINKPAD unavyojitetea, huo ni ushaidi tosha kuwa Waisrael wamebarikiwa na Mungu. Mungu hakusema kuwa anawabariki Waisrael kwasababu ni Wakristo, bali alilichagua hilo taifa kuwa lake, na ndio maana Mwana wake wa Pekee ALIPITIA TAIFA HILO, nikimaanisha YESU KRISTO ambaye ni Mungu.
 
Kudos to Israel maana pamoja na kuzungukwa na mataifa yanayoichukia lakini wamefanikiwa kiuchumi kuliko hayo mataifa yote. Ingenuity, hard work vina lipa.
 
whoever stands against the ISRAELITES atapotea/atashindwa/atalaaniwa/atapigwa e.t.c...!
 
Kudos to Israel maana pamoja na kuzungukwa na mataifa yanayoichukia lakini wamefanikiwa kiuchumi kuliko hayo mataifa yote. Ingenuity, hard work vina lipa.


Ingenuity and hard work, perhaps

lakini "taifa teule"? Do reasoning modern human beings still buy this mythology?

Hata Wakikuyu na Wachagga unaweza kukuta wana story zinasema wao wametoka kwa mungu/ wamechaguliwa na mungu. Wamasai wanaamini wao ni taifa lililoteuliwa kwamba mifugo yote ni maili yao, does that me it so?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom