Waisrael Kulikoni jamani?

Waisrael Kulikoni jamani?

Nilochotaka kumaanisha kama unataka uelewa Jesus was not the founder of christianity. this is according to the "Britanica Encyclopaedia" vol.11, which provides the credit to st. Paulo rather then Jesus. kama nimepotoshwa kutoka huko nielekeze tu mkuu

Mkuu haya ma-encynlopedia yako mengi, ngoja ntakutajia moja hivi silikumbuki sawasawa hadi nikaperuuzi mahali, ila nakumbuka linasema hivi.. Mafundisho yaliyomo kwenye Quran mengi ni kama HEKAYA tu hayana ukweli wowote (yaani historia zake ni kama Hadithi za za abunwasi!)
Unaona MKUU?
 
1. There are those who make things happen (Jews)
2. Those who see things happening
3. Those who wonder what is happening(Kina sisi).
 
What can we do now?
Je hao Jewish ni wachoyo wa siri ya mafanikio yao?
Je mtu afanyenini kibinafsi ili aweze hata kukaribia mambo wanayofanya?
 
What can we do now?
Je hao Jewish ni wachoyo wa siri ya mafanikio yao?
Je mtu afanyenini kibinafsi ili aweze hata kukaribia mambo wanayofanya?

Hard work, Perseverance, Endurance.
 
Mimi naamini kuwa Mwenyezi Mungu anapobariki chochote anachotaka kukibariki, baraka zake haziwezi kufutika na kitu chochote duniani. Amewabariki waisrael na hata kama wapo wanaotaka kupinga, ukweli huu utabaki kuwa hivyo.
Nionavyo mimi kwa baraka ile ya mwenyezi mungu, waisraeli popote wanapoishi huwa unique na wenye kuendesha mambo kwa malengo. Hii inachangiwa na ukweli kwamba utaratibu wao mzima wa maisha unawahimiza kumkumbuka Yahwe aliyembariki Jacob baba yao, na kuwatoa Misri kwa mkono wenye nguvu.
Trust me, kwa kuwa wana utaratibu madhubuti wa kuishi, kupenda kujifunza na kuboresha maisha yao, watu wengi hawawapendi hawa jamaa.Wamekumbubwa na mikasa mingi ambayo ni kama imekuwa baraka mana kila shida imewasukuma kujituma zaidi na kuwa some steps ahead of others.
Tatizo la palestina ni gumu kwasababu sijui itawezekanaje kuwaondoa wayahudi kule ambao kila kukicha wanahimiza wenzao popote walipo warudi Israe.
Ninapofikia hapo huwa nakaa kimya mana hii puzle Hamas wala Hezbollah hawawezi kuiresolve kwa kupiga roketi wala suicade bombers. Inatakiwa hekima ya mungu hapo
 
Ni kwambie tu, Hebu tafuta kitu kinaitwa "THE MASSACRE OF SABRA and SHATILA" katika mtandao, halafu nambie taifa teule la Mungu lina watu washenzi kama hawa,leo kama Yesu atarudi atajikuta yy peke yake ndo Myahudi in blood and faith.

Bado umekataa kufikiria au kusema ukweli. Angali mwanzo wa vita zozote kati ya Waarabu na Israeli. Nani anaanza kuchokoza?

Hakuna hata mara moja tumesikia eti Waisraeli wameamka asubuhi na kuanza kupiga Wamanga bila ya chokochoko kutoka kwa wamanga.

Hivyo basi, kutetea kwako wamanga kunaonyesha ni jinsi gani Wamanga wameku-islamize akili yako, na kubakia katika Muhammadic box.

Mwisho, umeshindwa kuelewa kuwa Yesu alikuja kwa mataifa yote.
 
Inasadikiwa Nabii Yesu alisema maneno haya...!

"...akajibu kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa. Na neno la Nabii Isaya litatimia kwao, likisema, kusikia mtasikia, wala hamtaelewa, kutazama mtatazama, wala hamtaona. Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito. Na kwa masikio yao hawasikii vyema. Na macho yao yamefumba; wasije wakaona kwa macho yao, wakasikia kwa masikio yao, wakaelewa kwa mioyo yao, wakaongoka nikawaponya".
(Mathayo 13:10-15)

Kisha akaendelea...

"Kwa sababu hiyo nawaamba ufalme wa Mungu (utukufu) utaondolewa kwenu (Wayahudi) nao watapewa taifa jingine lenye kuzaa matunda yake".

(Mathayo 21:43)
 
Nilochotaka kumaanisha kama unataka uelewa Jesus was not the founder of christianity. this is according to the "Britanica Encyclopaedia" vol.11, which provides the credit to st. Paulo rather then Jesus. kama nimepotoshwa kutoka huko nielekeze tu mkuu

Unapopiga vita Ukristo, ni lazima utumie kitabu kinachotumiwa na wa Kristo. Therefore, the only book that will be acceptable here is the Bible and not other books like hiyo encylopaedia, Koran, n.k. NI sawaswa na mwalimu wa sayansi kimu kutumia sayansi kimu yake kukosoa applied mathematics, ni kituko.

Ndio maana nimekwambia hawa jamaa wameku-islamize na kukuacha kiakili ndani ya box la kimuhammad.
 
Hapa nakwambia ndipo ujinga wa wengi unaanzia. Maana unachodhani si kweli kumbe ni kweli. Na ndio sababu wengi wanadhani bila Marekani Israeli hawawezi. Huu ni upuuzi tu. Maana hata dunia nzima mkijaribu kwenda kinyume nao Mungu wao yaani Mungu wa Israeli hatakwenda kinyume nao. Hii ni kweli na imeshakuwa Proved beyond doubt.

Daaa...kweli ukichanganya imani ,sayansi na siasa basi inakuwa taabu tupu!! Na hapa ndiyo naamini kabisa kuwa si wote walioenda shule wameelimika!
Don be fool by these propaganda!...Kwanza kwa kifupi mfadhili mkubwa wa Israel ni Marekani na hilo halina ubishi.Kila mwaka Marekani hutoa mabilioni ya pesa kwa taifa la Israel kupita taifa lolote lile mashariki ya kati.!!!.Na Marekani anaifadhili Israel ili kulinda maslahi yake mashariki ya kati..na siyo dini kama wengi wenu mnavyofikiria!! kwa hiyo siku mfadhili mkuu atakapoanguka ...nadhani jibu tayari unalo!

Pili kuna wanasayansi wengi tu ambao wamegundua mambo mengi tu na kuleta mchango mkubwa katika maisha ya wanadamu na hawakuwa wahayahudi..mfano akina Isack Newton! nk Historia pia inatuambia kuwa hata yale mapinduzi ya viwanda ya karne ya kumi na nane kule Uingereza hayakuletwa na wayahudi!!..na wote tunakubali kabisa jinsi mapinduzi yale yalivyobadili maisha ya wanadamu karibu duniani kote!..na kwakweli baada ya mapinduzi yale waingereza walienda kutawala karibu dunia nzima!..na hata taifa letu lilikuwa moja la makoloni ya waingereza..

Kwa hiyo mafanikio kidogo ya hawa wayahudi yasiwe nongwa! nimeshangazwa na baadhi ya wachangiaji hapo juu walivyoyazidisha kuwa ati wayahudi wanahaki pia ya kuuwa wanadamu wengine,kutawala ulimwengu na kuwa dunia ni mali yao!!..na hii inanikumbusha kule kwetu kilima nyege ambapo kutokana na kukosa elimu watu wanaamini kuwa wazungu wenye vipara ni binadamu wenye akili na kwamba ukizaa nao watoto watakuwa wanajua mahesabu!!..ukiangalia hapa utaona ni mbinu zile zile zilizotumiwa na wamissionari kutawala waafrika ..eti mzungu ameumbwa na mungu kuwatawala watu weusi!!!..kwa hiyo akikupiga kofi la kushoto mgeuzie la kulia!!..kweli wajinga ndio waliwao!! na hapo ndiyo nakubaliana na yule aliyesema DINI ni kama minyororo..ukishaamini basi inakufunga milele...
 
Last edited:
Huyu angelikuwa na elimu kidogo na kuacha kufanya kiushamba kilichosababisha akamatwe, basi na yeye mngelisema " UYAHUDI HUO".

Re: "Dr." Mponjoli Akamatwa na Police U.K- wizi wa magari ya kifahari

Mponjoli hakuwa mjinga kama unavyofikiri. The guy was actually smarter than most of his agemate. Issue ni kwamba alichagua kutumia akili zake kwenye masuala ya wizi. Na alikuwa damn good at it. Otherwise, he could have been whatever he wanted to be.

Alikuwa fast mno....yeye kila kitu kwake ni fasta fasta tu. Na alikuwa very accurate na dili zake. Nakumbuka alipokuwa Dallas, alishawahi kuchonga dili ya kuibiwa gari. Na alifanikiwa kuvuta check kutoka insurance bila ya kubumburuka. Na hata dili za kwenda upfront bank, alishazifanya sana na kufanikiwa (ninazungumzia ya kati ya $1000 - 20,000). Alichokosea step ya dili ya bank iliyomkamatisha ni kiasi cha $ alichotaka kuvuta, plus nafikiri tayari alishakuwa kwenye survilliance by then. Na mwenyewe alishajua kuwa tayari yuko kwenye survilliance, kwa hiyo alitaka kuvuta hela kubwa na kuingia mitini kurudi bongo kimoja.
 
Kuna wasomi wengi tena ni vichwa ,lakini sasa tugeukie hawa watu maana ni wachache na katika idadi isiyo ya kawaida ya ma profesa na ma dr mm imenishangaza maana ni zaidi ya maprofesa 200 nilio wasoma kwenye hiyo registration board yao. Tuje upande wetu, kwani ni nani asiyependa kusoma ili afike juu kielimu? Tunapenda sana nikipi kinachotukwamisha? Kwanini sisi hatugundui? Je ni kusema mpaka uwe prof ndo ugundue? Je! Hakuna vichwa ambavyo vinawezwa kuwezeshwa na kupewa mwanga vikafanya mambo makubwa? Kwanini hatukubali uwezo wa kuzidiana kiakili? Maana tungekubali watu wenye uwezo kiakili tungewapa heshima yao nao wangetupenda na kutusaidia ktk kuunda mambo.Nijuavyo mimi kuna watu wenye akili sana hapa bongo lakini wapumbavu wachache wanawachukulia poa na matokeo yake rasilimali ya akili inapotea unakuta nchi yaenda tu yenyewe. Mfano DECI imeonekana inamakosa lakini imegundulika lini juzi imeanza lini? Miaka kibao iliyopita sasa hapo wataalam wapo wapi? Ilitakiwa kabla haijaanza wataalamu wawe wamegundua lakini hatuna hiyo kitu. Wanasema DECI inawanachama zaidi ya laki saba kwa maesabu ya alaka unakuta kila mtu wa DECI anamiliki watu watano ukizidisha mara 700000 unajikuta una mamilion ya watu chakushangaza sijui ni nani haulizwe kuhusu DECI maana haishikiki tena. Tufanye nini ndugu zangu?
 
Mambo mengine hayawezekani labda hiki kizazi kife kije kingine maana sumu ya roho mbaya ilisha enea maeneo yooote.
 
Unapopiga vita Ukristo, ni lazima utumie kitabu kinachotumiwa na wa Kristo. Therefore, the only book that will be acceptable here is the Bible and not other books like hiyo encylopaedia, Koran, n.k. NI sawaswa na mwalimu wa sayansi kimu kutumia sayansi kimu yake kukosoa applied mathematics, ni kituko.

Ndio maana nimekwambia hawa jamaa wameku-islamize na kukuacha kiakili ndani ya box la kimuhammad.

Asante Mkuu Max.
 
Plz mm sijapinga ukiristo , n jamaa alitaka nirudi katika biblia kuhsu taarifa za mtume Paulo, mm nikamwambia taarifa hizo nimezipata ktk B/E, na si bibilia, kama nirudi katika bibilia nielimishe mkuu ni wapi Yesu kahubiri ukiristo katika Bibilia?
Na ukisoma vizuri utakuta "doctrine" zake ni kazi yake Paulo ndo maana B/E waka conclude kuwa "he deserves more credits than Jesus..."
 
Mkuu haya ma-encynlopedia yako mengi, ngoja ntakutajia moja hivi silikumbuki sawasawa hadi nikaperuuzi mahali, ila nakumbuka linasema hivi.. Mafundisho yaliyomo kwenye Quran mengi ni kama HEKAYA tu hayana ukweli wowote (yaani historia zake ni kama Hadithi za za abunwasi!)
Unaona MKUU?
kama utanisaidia kunipa hadithi moja ya kiabunuasi nitashukuru ili niwe na hakika kuwa umesoma vizuri na ukakuta kweli mnahadithi za kiabunuasi.
 
Bado umekataa kufikiria au kusema ukweli. Angali mwanzo wa vita zozote kati ya Waarabu na Israeli. Nani anaanza kuchokoza?

Hakuna hata mara moja tumesikia eti Waisraeli wameamka asubuhi na kuanza kupiga Wamanga bila ya chokochoko kutoka kwa wamanga.

Hivyo basi, kutetea kwako wamanga kunaonyesha ni jinsi gani Wamanga wameku-islamize akili yako, na kubakia katika Muhammadic box.

Mwisho, umeshindwa kuelewa kuwa Yesu alikuja kwa mataifa yote.
Mwanzo nilikuhabarisha mkuu kuwa hawa "wauwaji" awali hawakuapo eneo hilo kabla ya WW I&II, na hali ilikuwa shuwari M. East yote, sasa nambie nani mchokozi, anayetoka kusikojuulikana akavamia maeneo ya watu akaleta chokochoko" again, be fair, hawa ni madhalimu.
 
Swali rahisi hivi nchi nyingi za hapo middle east zingekuwa hazina mafuta kama Israel ingekuwaje?
 
Lakimi haya mambo yamekaaje ? Waisrael wanatakiwa wawewapi kikawaida maana nasikia ardhi sio yao, je! Warabu na Jewish si ni wajukuu wa Abraham? Inamaana hata kama wamezaliana iweje wasipakane.? Maana hawa ni wajukuu wa Abraham na mbona Warabu sio vichwa kama hao ? Hawa jamaa kitendo cha kuwa na akili sana nini haswa ? Kweli wametuzidi mbali mno. Je! Hao Jewish weusi nao vipi vichwa vyao?
 
Mwanzo nilikuhabarisha mkuu kuwa hawa "wauwaji" awali hawakuapo eneo hilo kabla ya WW I&II, na hali ilikuwa shuwari M. East yote, sasa nambie nani mchokozi, anayetoka kusikojuulikana akavamia maeneo ya watu akaleta chokochoko" again, be fair, hawa ni madhalimu.

Je hawa WAISRAEL walikuwa wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom