Waisrael Kulikoni jamani?

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Habari wadau,
Jamani hii imekaaje nasikia hawa watu huwa wana akili sana na wanauwezo wakutafuta pesa sana ktk biashara sasa mimi nilikuwa nauliza inakuwaje sababu ya kuwafanya wawe na akili sana Je wamesoma au ni vyakula au wamependelewa tu yaani sijui nini maana nimejaribu kufikilia sana kuhusu hili suala.
Nimejaribu kufatia kwa-juu juu tu nikakuta kuna maprof wengi sana na ma dr

mfano halisi hawa wamiliki wa google,Oracle, Dell, Intel

jewsbillionershm2.jpg

Kuna viongozi wengisana pia ambao aili yao ni Israel : hapa

Mwenye kufahamu anijulishe tafadhali.
 
Na katika tuzo za kisayansi haya ni baadhi ya majina yao na tuzo walizo pata.

1. Murray Gell-Mann - Nobel prize in physics 1969. Introduced 'quarks'.

2. Daniel Nathans - Nobel prize in Medicine: for restriction analysis of Simian Virus 40 DNA

3. Douglas Osheroff - Nobel prize winner in Physics, for work in superfluidity

4. Harold Kroto - Nobel prize-winner in Chemistry, discoverer of C60

5. Herbert Brown - Nobel prize winner in Chemistry: for his work in the borane-organoborane area

6. Leon Lederman - Nobel prize winner in Physics, 1988
Edit | Remove
7. Isidor Rabi - Nobel prize in physics in 1944
Edit | Remove
8. Georges Charpak - won the Nobel Prize in Physics 1992 for his particle detector
Edit | Remove
9. Jack Steinberger - Nobel Prize winner in Physics, 1988
Edit | Remove
10. David Lee - Nobel prize winner in Physics: for work on superfluidity
Edit | Remove
11. Joshua Lederberg - Nobel prize winner in Medicine, discovered viral transduction
Edit | Remove
12. Howard Temin - 1975 Nobel Prize in Medicine
Edit | Remove
13. Stanley Prusiner - Nobel prize winner in Medicine: for the discovery of Prions, infectious proteins
Edit | Remove
14. Hermann Muller - Nobel prize winner in Medicine: for work on biological effects of radiation
Edit | Remove
15. Cesar Milstein - Nobel prize winner in Medicine: field of immunology
Edit | Remove
16. George WALD - Nobel Price in Medicine for work contributing to our understanding of vision.
Edit | Remove
17. Tadeus Reichstein - Nobel Prize for Medicine 1950
Edit | Remove
18. Fritz Haber - winner of the Nobel Prize of Chemistry in 1918, for the synthesis of ammonia from…
Edit | Remove
19. Stanley Cohen - Nobel prize winner in Medicine, for work in experimental embryology
Edit | Remove
20. Claude Cohen-Tannoudji - Nobel prize winner in Physics, developed laser-cooling technology
Edit | Remove
21. David Baltimore - Nobel Prize in Physiology and Medicine
Edit | Remove
22. Joseph Brodsky - Nobel Prize winner in literature, most famous modern poet
Edit | Remove
23. Selman Waksman - Microbiologist, 1952 Nobel Prize winner in physiology and medicine
Edit | Remove
24. Hans Bethe - Nobel Prize in Physics in 1967
Edit | Remove
25. Albert Michelson - Nobel Prize for Physics 1907
Edit | Remove
26. Arno Penzias - Nobel prize winner in Physics, studied interstellar isotopes
Edit | Remove
27. Martin Perl - Nobel prize winner in Physics: discoverer of the Tau Lepton
Edit | Remove
28. Franco Modigliani - Italian-born economist, 1985 Nobel Laureate in Economics: saving and financial markets
Edit | Remove
29. Milton Friedman - Recipient of the Nobel Memorial Prize in Economics
Edit | Remove
30. Niels Bohr - Nobel prize-winning Physicist: atomic structure
Edit | Remove
31. Rita Levi-Montalcini - winner of the Nobel Prize for her work on Nerve Growth factor (with Stanley Cohen…
Edit | Remove
32. Aaron Klug - Nobel prize winner in Chemistry, for work on X-ray analysis of biomolecules
Edit | Remove
33. Lev Landau - Soviet physicist, Nobel Prize in Physics 1962
Edit | Remove
34. Roald Hoffmann - Nobel prize winner in Chemistry: field of electronic structures
Edit | Remove
35. Richard Feynman - 'The greatest scientific mind since World War II '
Edit | Remove
36. Albert Einstein - The most famous and influential scientist of all time
Edit | Remove
37. Andrew Schally - Nobel prize winner in Medicine: field of endocrinology
Edit | Remove
38. Baruch Blumberg - Nobel prize winner in Medicine: field of epidemiology
Edit | Remove
39. Bernard Katz - Nobel prize winner in Medicine, studied neuromuscular transmission
Edit | Remove
40. Joseph Goldstein - Nobel prize in Medicine
Edit | Remove
41. Paul Ehrlich - Nobel prize for descovering a treatment for syphilis.
Edit | Remove
42. Elie Metchnikoff - Nobel prize winner in Medicine, studied immunity in infectious diseases
Edit | Remove
43. Reinhard Selten - Nobel prize winner in Economics: for work on 'game equilibrium models'
Edit | Remove
44. Simon Kuznets - Nobel prize winner in Economics
Edit | Remove
45. John Harsanyi - Winner of the Nobel prize in Economics: studied utilitarian ethics
Edit | Remove
46. Herbert Simon - Nobel prize winner in Economics: for work on decision-making
Edit | Remove
47. Paul Samuelson - Nobel Prize in Economics (first ever)
Edit | Remove
48. Shimon Peres - Israel's Labor party leader
Edit | Remove
49. Yitzhak Rabin - Prime Minister of Israel - Worker for Peace' Chief of Staff in Six Day War
Edit | Remove
50. Paul Johann Ludwig Heyse - Nobel prize winner in Literature, 1830-1914
Edit | Remove
51. Henri Bergson - Author/Philosopher, Nobel prize for Literature
Edit | Remove
52. Nelly Sachs - Poet, winner of the Nobel prize in Literature
Edit | Remove
53. Nadine Gordimer - South African novelist, Nobel prize-winner in Literature
Edit | Remove
54. Shmuel Yosef Agnon - Israeli writer, winner of the 1966 Nobel Prize: 'The Bridal Canopy'; `A Guest for…
Edit | Remove
55. Saul Bellow - Pulitzer Prize winning Author
Edit | Remove
56. Elias Canetti - Bulgarian born essayist and novelist who was awarded the Nobel Prize for Literature…
Edit | Remove
57. Isaac Bashevis Singer - Author, Nobel Prize-winner for Literature
Edit | Remove
58. Elie Wiesel - Jewish author: 'Night', winner of the Nobel Prize for Peace
 
Habari wadau,
Jamani hii imekaaje nasikia hawa watu huwa wana akili sana na wanauwezo wakutafuta pesa sana ktk biashara sasa mimi nilikuwa nauliza inakuwaje sababu ya kuwafanya wawe na akili sana Je wamesoma au ni vyakula au wamependelewa tu yaani sijui nini maana nimejaribu kufikilia sana kuhusu hili suala.
Nimejaribu kufatia kwa-juu juu tu nikakuta kuna maprof wengi sana na ma dr

mfano halisi hawa wamiliki wa google,Oracle, Dell, Intel

jewsbillionershm2.jpg

Kuna viongozi wengisana pia ambao aili yao ni Israel : hapa

Mwenye kufahamu anijulishe tafadhali.

Ukiangalia chimbuko lao hawa jamaa walikuwa miongoni mwa kipenzi chake Mmungu walipewa na kubarikiwa mambo mengi ya kidunia na hilo utalikuka katika dini zote na hakuna hata dini moja wanalolikataa inawezekana ni moja kati ya sababu za mafanikio yaho hata ukiangalia mitume karibu waote wametokana na ukoo wakina Bani israil isipokuwa Nabii Muhamad (SAW )
 
Yeah hawa ndo wanao "move the world history" , hawa pia ni mafisadi wa ulimwengu,kwani vitabu vitakatifu vina twambia kuwa mwisho wa ulimwengu utasabibishwa na ufisadi wao, na kweli hizo silaha kali WMDs, na nyuklia, wametengeneza wao.
"wanapoambiwa msifanye ufisadi katika ardhi wao husema, hapana hatufanyi ufisadi bali sisi ni watengenezaji" {QUR AN, SURA TUL BAQARAH}
 
Ukiangalia chimbuko lao hawa jamaa walikuwa miongoni mwa kipenzi chake Mmungu walipewa na kubarikiwa mambo mengi ya kidunia na hilo utalikuka katika dini zote na hakuna hata dini moja wanalolikataa inawezekana ni moja kati ya sababu za mafanikio yaho hata ukiangalia mitume karibu waote wametokana na ukoo wakina Bani israil isipokuwa Nabii Muhamad (SAW )
hata Nabii Ibrahim alikuwa Nabii je nayeye alikuwa Mu Israel/
Yona alikuwa Nabii alitokea Ninawi(sas Iraq), nchi ya waarabu, Je nayeye ni Myahudi?
Isaca alikuwa mtoto wa Ibrahimu naye alikuwa Nabii, Jee alikuwa Myahudi?
Ismael, nduguye isaca alitokana na Ibrahim hakuwa Myahudi na alikuwa mtume na kutokana na kizazi chake alipatiana Nabii Muhammad S.A.W, mtume mtukufu na bora wa mitume yote.
Bwana mkubwa rudi ukasome tena kitabu chako, si mitume yote ilitokana na Israel au Nabii yaakub(mtoto wa Isaca bin Ibrahim). Wakati wa Uhai wa Ibarahim ilikuwapo mitume mingine kama Lot ambaye hakuwa Myahudi.
Kabla yao walikuwapo mitume wengi tu wa Mungu ambao hawakuwa mayahudi kama Nabii Adam,Seth, Idriss n.k
WW umemuona nabii Muhammad tu kwa macho ya makengeza kuwa hakutokana kizazi cha Mayahudi, lakini ukisoma uzuri kitabu chako utamkuta Nabii Muhammad S.A.W, kuwa anatokana na kizazi kile kile walichotoka Wana wa Israel kwa upande wa Nabii Ismael ambaye ni kaka yake Nabii Isaca ambao wanatoka kwa baba mmoja Nabii Ibrahim. Kasome vizuri baba eeh...
 
Asanteni sana kama kuna mtu mwenye hoja ya kisayansi please anisaidie ,maana kuna Dr mmoja hapo muhimbi chuoni alituambia sikumoja kuwa eti ukizaa na muisrael eti huyo mtoto atasoma, yaani atakuwa na akili sana inakuwaje?
 
kweli lakini si Mayahudi hawa ambao wamechanganyika na Wazungu , kizazi 'pure' cha Mayahudi kimeshapotea hawa wanaojiita Waisrael wa sasa walikuwa ni watumwa tu wa hao mayahudi 'pure' baada ya kuchanganyika nao. Mayahudi hawakua na roho za kinyama na kidhalimu za kutengeneza mabomu ya wana sesere na kuwarushia watoto kule Palestina, hawa makapi ya wazungu wanaojiita "israel" si Mayahudi "pure' kwa asili yao mayahudi "pure" walimuogopa Mungu na walipokaidi waliadhibiwa, Hawa "slaves of the long lost Jews" hawamuogopi ata Mungu.
 
Siku hizi watu creatives hata kama hawajaiba wanaitwa mafisadi?
Neno "fisadi" pamoja na maana nyingine lina maana ya "kuharibu", "kuchafua", "kubomoa" n.k si lazima fisadi aibe pesa hata, ukitumia fedha zako mwenyewe vibaya unaambiwa "umezifisidi fedha zako".
 
hata Nabii Ibrahim alikuwa Nabii je nayeye alikuwa Mu Israel/
Yona alikuwa Nabii alitokea Ninawi(sas Iraq), nchi ya waarabu, Je nayeye ni Myahudi?
Isaca alikuwa mtoto wa Ibrahimu naye alikuwa Nabii, Jee alikuwa Myahudi?
Ismael, nduguye isaca alitokana na Ibrahim hakuwa Myahudi na alikuwa mtume na kutokana na kizazi chake alipatiana Nabii Muhammad S.A.W, mtume mtukufu na bora wa mitume yote.
Bwana mkubwa rudi ukasome tena kitabu chako, si mitume yote ilitokana na Israel au Nabii yaakub(mtoto wa Isaca bin Ibrahim). Wakati wa Uhai wa Ibarahim ilikuwapo mitume mingine kama Lot ambaye hakuwa Myahudi.
Kabla yao walikuwapo mitume wengi tu wa Mungu ambao hawakuwa mayahudi kama Nabii Adam,Seth, Idriss n.k
WW umemuona nabii Muhammad tu kwa macho ya makengeza kuwa hakutokana kizazi cha Mayahudi, lakini ukisoma uzuri kitabu chako utamkuta Nabii Muhammad S.A.W, kuwa anatokana na kizazi kile kile walichotoka Wana wa Israel kwa upande wa Nabii Ismael ambaye ni kaka yake Nabii Isaca ambao wanatoka kwa baba mmoja Nabii Ibrahim. Kasome vizuri baba eeh...

nafikiri kiswahili unakielewa niliandika karibu wote inamana wapo ambao hawakutokana na koo ya kina bani israil lakini basi karibu wengi wao ni ukoo wakina bani israil
 
nafikiri kiswahili unakielewa niliandika karibu wote inamana wapo ambao hawakutokana na koo ya kina bani israil lakini basi karibu wengi wao ni ukoo wakina bani israil
Umetumia neno " isipokuwa" huku ukim 'refer" Nabii Muhammad,
 
Umetumia neno " isipokuwa" huku ukim 'refer" Nabii Muhammad,
Nlichokuwa nataka usipotoshe kwa reference hiyo ya "isipokuwa" ni kuwa wengine watakuelewa kuwa unamaanisha kuwa mitume yote ilitokana na Mayahudi, na asietokana nao si mtume.Kama ni mfano kwa wasiokuwa Mayahudi ili uwe "fair" ulitakiwa kuwataja wengine wasiokuwa Mayahudi kama hao nliokutajia ili wanajamii waelewe vizuri ujumbe wako mzuri ulituletea.
 
Kwa ufupi.

Ni taifa la YESU KRISTO.

Yeah not only Jesus christ even Yuda was Jew, na hawa "maplastic" wa saivi wanaojiita Israel they are not even Christians and they hate other Religions inlcuding Christianity. Hata hao 'Pure' ambao kwa ajili yao tu Yesu alikuja walimkataa.
 
Any malizeni ubishi kwakumfuata ndugu yetu huyu anaesema Muhamad ni jewish tukubaliane nae. Turudi kwenye mada yetu , Nikwanini hili liwe group la watu wenye uwezo? Je! Kwanini wawe na uwezo mkubwa namna hiyo kifedha na kiakili napia kuhusu waisrael kuwa wanaweza kuchanganyana eti kabila lipotee hii sidhani kama inawezekana nakumbuka Taifa la Waisrael lilikuja kuwachukua watu wao hapo Ethiopia.
 
hata Nabii Ibrahim alikuwa Nabii je nayeye alikuwa Mu Israel/
Yona alikuwa Nabii alitokea Ninawi(sas Iraq), nchi ya waarabu, Je nayeye ni Myahudi?
Isaca alikuwa mtoto wa Ibrahimu naye alikuwa Nabii, Jee alikuwa Myahudi?
Ismael, nduguye isaca alitokana na Ibrahim hakuwa Myahudi na alikuwa mtume na kutokana na kizazi chake alipatiana Nabii Muhammad S.A.W, mtume mtukufu na bora wa mitume yote.
Bwana mkubwa rudi ukasome tena kitabu chako, si mitume yote ilitokana na Israel au Nabii yaakub(mtoto wa Isaca bin Ibrahim). Wakati wa Uhai wa Ibarahim ilikuwapo mitume mingine kama Lot ambaye hakuwa Myahudi.
Kabla yao walikuwapo mitume wengi tu wa Mungu ambao hawakuwa mayahudi kama Nabii Adam,Seth, Idriss n.k
WW umemuona nabii Muhammad tu kwa macho ya makengeza kuwa hakutokana kizazi cha Mayahudi, lakini ukisoma uzuri kitabu chako utamkuta Nabii Muhammad S.A.W, kuwa anatokana na kizazi kile kile walichotoka Wana wa Israel kwa upande wa Nabii Ismael ambaye ni kaka yake Nabii Isaca ambao wanatoka kwa baba mmoja Nabii Ibrahim. Kasome vizuri baba eeh...

Ibrahim ndo mwanzilishi wa taifa la wana wa yakobo ambao leo ndo waisrael na ndiyo baba wa wote wenye kuamini kwamba yesu alizaliwa alikufa na kisha akafufuka na huyo ndiyo mrithi wa Ibrahim kwa habari ya Imani nae ameanzisha taifa jipya ambalo sasa lipo linaitwa zion (Sayuni). Uraia unapatikana kwa imani tu na lina wanajeshi hodari vita vyao si vya damu na nyama bali ni katika ulimwengu wa roho dhidi ya falme na mamlaka wakuu wa angaa wenye nguvu za giza na mapepo wabaya. Hao wanashinda kila siku kwani mwanzilishi wao ni mshindi ndiyo maana kaburi lake halina masalia ya mifupa litupu. Ushindi wao upo katika damu ya huyo aliyekufa kwa niaba yao nao wamshinda mkuu wa ulimwengu huu kwa hiyo damu na kwa ushuhuda wa neno lao. Wao wanasema na vitu vinatokea tu yaani wanaumba bila kuzingatia utamaduni wa dunia kwamba vitu vyote ni matokea ya mater kiswahili chake sikijui vizuri. Karibu uwe raia wa hiyo nchi yenye kujaa maziwa na asali hao hawasubiri kufa ili wahukumiwe bali wameshakufa na wamefufuka kwa habari ya ulimwengu huu wa giza wenye shida na adha si waoga na amani yao ni tele. Usiufanye mgumu moyo wako kwani kunamaisha zaidi ya hayo unayoyafahamu njoo uingie uonje na uone kulivyo na raha karibu.
 
Yeah not only Jesus christ even Yuda was Jew, na hawa "maplastic" wa saivi wanaojiita Israel they are not even Christians and they hate other Religions inlcuding Christianity. Hata hao 'Pure' ambao kwa ajili yao tu Yesu alikuja walimkataa.

Aise mbona unapenda udini? Mpm mod amwambie akuruhusu uweze kuliona jukwaa la dini huko kunaweza kukupa majibu ya mambo ya kidini hapa tunataka tujue wenzetu wanafanya nini na sisi tufike.
 
Jews are chosen, whether we like it or we don't. I have two jews friends, believe me, they are brainy.

Ukisoma kuhusu Nebuchadnezzar utaona kuwa, alienda Irael kutafuta vijana wenye akili ili wakaisaidie nchi yake. Soma Kitabu cha Daniel, utapa majibu mazuri sana kuhusu hawa jamaa.

Kwahiyo basi, Wayaudi ni taifa la Mungu mpaka hii leo. Just reason with me, hawa jamaa wamezungukwa na Waarabu karibu pande zote, lakini mpaka hii leo hawawezi kuwapiga au kuwashinda katika vita ya kila siku. Have you ever think about that?
 
Any malizeni ubishi kwakumfuata ndugu yetu huyu anaesema Muhamad ni jewish tukubaliane nae. Turudi kwenye mada yetu , Nikwanini hili liwe group la watu wenye uwezo? Je! Kwanini wawe na uwezo mkubwa namna hiyo kifedha na kiakili napia kuhusu waisrael kuwa wanaweza kuchanganyana eti kabila lipotee hii sidhani kama inawezekana nakumbuka Taifa la Waisrael lilikuja kuwachukua watu wao hapo Ethiopia.
Kupotea kwa kabila au "any existence on the world surface" ni theory ambayo wanasayansi wanaikubali, mfano bado hakuna aliye bisha kuwa "fossil" zilizopatikana zinamaanisha kuwa kuna viumbe waliishi "dinosaurs" na ambao wamepotea. Kwa mayahudi sikusema wamepotea nimesema wale "pure" walipotea na waliokuwapo walikuwa slaves wao waliochanganya na pure. Kabla ya vita kuu ya I&II, hkukuwa na taifa la Mayahudi,kulikua na hawa"long manumited slaves of the pure Jews" na kwa kuwa Wazungu kuna wana lao wanalolitafuta hapo Middle East ndo wakawakusanya "hawa na kuwapandikiza hapo. Waethiopia wa " Falasha Mura" si Mayahudi ,wao ni nani? Rejea katika "World Book of Ancient History"
 
Aise mbona unapenda udini? Mpm mod amwambie akuruhusu uweze kuliona jukwaa la dini huko kunaweza kukupa majibu ya mambo ya kidini hapa tunataka tujue wenzetu wanafanya nini na sisi tufike.
simply ukitaka kujua tu wenzetu walifanya nini mpaka wakafika hapo ni kuwa hawakuw wachoyo wanawanyonya watu wao lakini wanawapa pumzi ya kupumua kwa kushirikiana na katika utajiri na wanapenda nchi zao hawazifisidi. sisi tukiacha kuchagua viongozi mafisadi tutakuwa kama wao. Tatizo sipendi upotoshaji hasa katika sehemu kubwa ya jamii kama hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom