Waisrael Kulikoni jamani?

Waisrael Kulikoni jamani?

Ingenuity and hard work, perhaps

lakini "taifa teule"? Do reasoning modern human beings still buy this mythology?

Hata Wakikuyu na Wachagga unaweza kukuta wana story zinasema wao wametoka kwa mungu/ wamechaguliwa na mungu. Wamasai wanaamini wao ni taifa lililoteuliwa kwamba mifugo yote ni maili yao, does that me it so?

😀😀 Ndivyo unajidanganya? Waarabu wote walifikiri kama wewe na wamejitahidi sana kuona hayo yote unayosema wanayafanya plus kuwa na mafuta mingi, hawajafanikiwa na hawatafanikiwa asilani mpaka Yesu atakaporudi!
 
Habari wadau,
Jamani hii imekaaje nasikia hawa watu huwa wana akili sana na wanauwezo wakutafuta pesa sana ktk biashara sasa mimi nilikuwa nauliza inakuwaje sababu ya kuwafanya wawe na akili sana Je wamesoma au ni vyakula au wamependelewa tu yaani sijui nini maana nimejaribu kufikilia sana kuhusu hili suala.
Nimejaribu kufatia kwa-juu juu tu nikakuta kuna maprof wengi sana na ma dr

mfano halisi hawa wamiliki wa google,Oracle, Dell, Intel

jewsbillionershm2.jpg

Kuna viongozi wengisana pia ambao aili yao ni Israel : hapa

Mwenye kufahamu anijulishe tafadhali.

Walishaahidiwa na Mwenyezi Mungu na huo ni sehemu ya mtihani mkubwa kwao. Mataifa yaliyopewa upendeleo na Muumba huwa na mafanikio ya kidunia lakini kwa watu wake unakuwa mtihani kwao katika kumtumikia Mungu wao.
 
Think pad kauliza swali zuri tu na rahisi sana lakin nasikitika kwamba Junius amejaribu kwenda nje ya mada kabisa!
nimesoma posts zake zote na nasikitika sijaelewa hata moja. Sijaelewa alikuwa anajibu nini.
Mara naona maneno 'plastic', mara maneno 'pure' mara Ibrahim alikuwa si jew mara Yakobo alikuwa si jew. Eti mara Mohamed alikuwa jew.
Jamani. Hizi hasira zenu Junius zisizokuwa na maana ondoa hapa na jibu jibu la maana maana think pad anatafuta dawa ya utajiri na akili nyingi kama za jews. Usilete ile Max anaita 'povu'.
Hapa nakwambia ndipo ujinga wa wengi unaanzia. Maana unachodhani si kweli kumbe ni kweli. Na ndio sababu wengi wanadhani bila Marekani Israeli hawawezi. Huu ni upuuzi tu. Maana hata dunia nzima mkijaribu kwenda kinyume nao Mungu wao yaani Mungu wa Israeli hatakwenda kinyume nao. Hii ni kweli na imeshakuwa Proved beyond doubt.

Mbona sisi tumekuwa tukimfuata vizuri na hata MAX alifika kumpa thanks lakini kwa vile tunaelewa nini kinafuatia baada ya kutuwa wewe hata Max amekuwa pamoja nawe. Karibu tupate pumba zako tunenepe> enhe endelea.
 
Hii habari ya taifa teule ni myth tu, kila taifa ni taifa teule kwa watu wake. Wachina wanaamini civilization yao ndiyo bora kabisa na inayofaa kuigwa na watu wote ulimwenguni, ndiyo maana wakati wazungu walipoanza kwenda Marekani, ingawa Wachina walishawahi kufika Marekani kabla ya Christopher Columbus na Leif Eriksson, hawakutaka kuhama China.

Siri ya waisraeli/ Wayahudi kuwa na mafanikio ni pamoja na yafuatayo.

Kusoma

Waliweka umuhimu mkubwa sana katika kusoma, na tofauti na Wamisri ambao kwao kusoma kulifanywa kwa siri miongoni mwa wakuu wa serikali na dini (mystics and secret societies) Waisraeli wao walikuwa na kabila lililowekwa mahsusi kwa ajili ya kusomea dini (walawi) na watu wote walikuwa wanatakiwa kujisomea ili wazijue sheria.

Uchumi,

Wakristo katika medieval Europe hawakuweza kushiriki katika kukopesha pesa benki kwa sababu ya "usury laws" na interpretations za kikristo kwamba mkristo hatakiwi kuchukua interest (waislam mpaka leo wanatumia hizi sheria katika halal banking, kuna sheria inapitishwa kuruhusu mortgages zisizo na usury Minnesota). So watu pekee walioweza kufanya banking na kukopesha watu with interest bila ku violate religious codes walikuwa ni Wayahudi, hili ndilo chimbuko la umahiri wa wayahudi katika biashara na nyanja ya benki.Mwandishi Niall fergusson ambaye ni Professor wa Harvard ameandika vizuri katika kitabu chake "The Ascent of Money : A Financial history of the World" jinsi gani wayahudi kama kina Medici walivyoweza ku control banking Italy mpaka kujiingiza katika ku control mataifa, wafalme na hata upapa wa kikatoliki kwa kutumia mfumo wa benki, mpaka kufikia kina DuPont na the Rothschilds.

Kwa hiyo kama Wayahudi ni taifa teule ni kwa sababu walijiteua na kuji promote wao wenyewe.

Na kama kuna mungu aliye na favoritism ya kuchagua taifa moja over lingine wazi wazi hata wazazi wengi tu wa kibinadamu watakuwa wamempita kwa fairness na non partiality.

Bluray,

Umeichambua vizuri sana hii issue. Ila yote hayo uliyoandika yametokea baadaye kidogo. Mwanzo au msingi wa mafanikio ya Wayahudi ni SHIDA bin Matatizo. Hawa watu wamesota sanasana na pia tatizo la ardhi limewasukuma kuwa wajuvi wa mambo. Mali kuna lile kabila linaitwa Dogoni. Hawa wana sifa nyingine ya kwamba ni Astronaut wazuri sana ingawa hawana darubini. Sasa hawa jamaa kwao mvua hunyesha mara moja au mbili kwa mwaka na huwa wanajitahidi kuyatunza maji hayo ya mvua na kuzalisha chakula cha kutosha kula mwaka mzima. Inasemekana ni wachapakazi si kawaida. Ni shida ya maji imewapelekea kufanya hivyo.

Wayahudi msoto huo ulizidi mara Mtemi Hitler alipoingia madarakani. Ila hapa ndipo utaona kuwa jamaa ndipo walipotanua makucha yao si kawaida. Wayahudi kwenda USA kutokea Ulaya, walifika huko wengi wakiwa hawana fedha. Hapo ndipo UONGO uliotuletea haya matatizo ya uchumi wa sasa ulipoanza.
Jamaa walipofika kule walijua kitu pekee wanachoweza kufanya ni biashara. Kwanza ni watu wanaosaidiana sana ideas za kufanya. Pia hadi leo huko kwenye synagogi zao huwa ni biashara tu zinaongelewa. Kila new comers waliulizwa kama wana hela. waliposema hawana, waliambiwa nini cha kufanya na mtaji ulitafutwa kwa walio na mtaji. Matajiri wachache wa Kiyahudi waliwakopesha pesa na RABIN alitoa guarantee kuwa kikitokea chochote basi yeye atalipa. Ila ukweli RABIN HAKUWA NA PESA ya kulipa. Jamaa alifanya biashara na kulipa deni huku 1/10 ikienda kwa Rabin. Watu waliendelea kufanya biashara kwa mdhamana wa fedha ambao haukuwepo. Waliporudisha na wao wakawa na visenti kidogo, waliendelea kuwasaidia wengine wapya.

Baadaye huu mchezo tukaja kuujua hadi akina mimi. USA wakawa wanaweka shirika kwenye mnada na kudai lina hela kibao na kumbe halina. Limekuja kulipuka basi na wao utagundua wamepoteza hadi leo hii mamilioni ya hela. Na hapo ndipo utashangaa kuwa ndiyo mwisho wa Waisrael/USA kuitawala dunia hiii. Sasa wanaingia Wachina na Wahindi. Mpaka hii shida iishe, tutaona nani mwenye Mayai makubwa ndani ya suruali. Ila sijui kama Wayahudi/USA pale shida zikiisha watarudi tena kwenye namba 1. Time will tell.
 
if you still think hawa "maplastic" ni Jews itamaanisha kuwa ile ahadi walichukua wazee wao wale 12,kwa baba yao Yakobo, ya kuwa "ulimwengu utakuwa na amani kwa ajili yao na vizazi yao na majirani zao..." si kweli? ndo maana nikakumbia Mayahudi wa kweli walimuogopa Mungu waliechukua ahadi kwake kuwa watatimiza amri zake. Hawa Maplastic mnaowapa "uyahudi" hawana sifa hiyo ya kiimani, juzi tulikua na post katka JF ikiyoeleza unyaman na uhuni waliofanya Gaza.Hawa si Mayahudu "these are crazya maderers deserved to be wiped out of the world map"

You are 100% wrong. Umejibu kwa kumia jazba na kuacha ukweli pembeni. Ni nani ambaye anaua watu, HAMAS au WAISRAEL? Hamas walikuwa wanatumia human shield, lakini umekataa kusema au mention hilo na kuanza kutumia filosofia potevu katika jibu lako.

Wewe ni nani mpaka useme kuwa WAISRAEL wa leo hawana sifa na wamepoteza Uisrael wao? Unatumia mizani gani na ukuu upi kujudge watu na/au taifa zima la Israel?

Mwisho unasema kuwa "these are crazya maderers deserved to be wiped out of the world map" wakati umeshindwa kusema au weka uthibitisho, na kutumia utamaduni wa Kimuhammad kujibu swali kwa kutumia fikra finyu na kuacha ukwel kuwa majangili na maharamia ni hao unao watetea ambao historia yao ya submission inajulikana na hata watoto wa chekechea.

Mbona sisi tumekuwa tukimfuata vizuri na hata MAX alifika kumpa thanks lakini kwa vile tunaelewa nini kinafuatia baada ya kutuwa wewe hata Max amekuwa pamoja nawe. Karibu tupate pumba zako tunenepe> enhe endelea.

Wataalam na madocta wanaweza kusema nini kuusiana na hili suala ktk mambo ya DNA ? Je hao watu walisha fanyiwa uchunguzi . Maana nilikuwa nikiperuzi nikakuta web moja yakwao yaani maprofesa more than 200 alafu ktk Nchi tofauti. Wao wenyewe wanasemaje kuhusu wao kuwa na uwezo kiakili? Kuna mguu wao pia Hollwood, preason break nk. Na je haiwezi kuwa elimu darasani ikawafanya wawe vichwa?
 
Walishaahidiwa na Mwenyezi Mungu na huo ni sehemu ya mtihani mkubwa kwao. Mataifa yaliyopewa upendeleo na Muumba huwa na mafanikio ya kidunia lakini kwa watu wake unakuwa mtihani kwao katika kumtumikia Mungu wao.

Kwahiyo hawajamaa kuwa na mafanikio makubwa kiasi hicho inatokana na sababu za kielimu na sababu za Mungu?
 
Ibrahim ndo mwanzilishi wa taifa la wana wa yakobo ambao leo ndo waisrael na ndiyo baba wa wote wenye kuamini kwamba yesu alizaliwa alikufa na kisha akafufuka na huyo ndiyo mrithi wa Ibrahim kwa habari ya Imani nae ameanzisha taifa jipya ambalo sasa lipo linaitwa zion (Sayuni). Uraia unapatikana kwa imani tu na lina wanajeshi hodari vita vyao si vya damu na nyama bali ni katika ulimwengu wa roho dhidi ya falme na mamlaka wakuu wa angaa wenye nguvu za giza na mapepo wabaya. Hao wanashinda kila siku kwani mwanzilishi wao ni mshindi ndiyo maana kaburi lake halina masalia ya mifupa litupu. Ushindi wao upo katika damu ya huyo aliyekufa kwa niaba yao nao wamshinda mkuu wa ulimwengu huu kwa hiyo damu na kwa ushuhuda wa neno lao. Wao wanasema na vitu vinatokea tu yaani wanaumba bila kuzingatia utamaduni wa dunia kwamba vitu vyote ni matokea ya mater kiswahili chake sikijui vizuri. Karibu uwe raia wa hiyo nchi yenye kujaa maziwa na asali hao hawasubiri kufa ili wahukumiwe bali wameshakufa na wamefufuka kwa habari ya ulimwengu huu wa giza wenye shida na adha si waoga na amani yao ni tele. Usiufanye mgumu moyo wako kwani kunamaisha zaidi ya hayo unayoyafahamu njoo uingie uonje na uone kulivyo na raha karibu.

Felister nimekupenda , sina la kuongeza
 
You are 100% wrong. Umejibu kwa kumia jazba na kuacha ukweli pembeni. Ni nani ambaye anaua watu, HAMAS au WAISRAEL? Hamas walikuwa wanatumia human shield, lakini umekataa kusema au mention hilo na kuanza kutumia filosofia potevu katika jibu lako.

Wewe ni nani mpaka useme kuwa WAISRAEL wa leo hawana sifa na wamepoteza Uisrael wao? Unatumia mizani gani na ukuu upi kujudge watu na/au taifa zima la Israel?

Mwisho unasema kuwa "these are crazya maderers deserved to be wiped out of the world map" wakati umeshindwa kusema au weka uthibitisho, na kutumia utamaduni wa Kimuhammad kujibu swali kwa kutumia fikra finyu na kuacha ukwel kuwa majangili na maharamia ni hao unao watetea ambao historia yao ya submission inajulikana na hata watoto wa chekechea.

just go back to the bible and scrutinize, you will come to the answer who are the real jews and who are the "dogs". then tell me kama Hamas wanashambuliwa kwa Maroketi, na vifaru, mizinga , heavy on ground troops, huku IDF, wakitungua kwa uhakika nyumba moja moja ya wapalestina, je si halali na wao kujilinda hata kwa jiwe? mm nataka muwe "fair" mnapo leta hoja kama hizi "kiduchu".
 
Kwa ufupi.

Ni taifa la YESU KRISTO.

mfalme wa wayahudi ali order yesu akamatwe na auliwe.....

wayahudi wanapesa kwa ajili wanaushirikiano wahali ya juu kwa ajili katika akili yao hawana sehemu maalumu ya kuishi na watu wote wanawachukia duniani..

sio tu wana ushirikiano bali ni wabaguzi sana....
walikuwa wana invest pesa zao kwa bernard madoff myahudi mwenzao na walikuwa hawapeleki kwa wzungu wengine ambao sio wayahudi kumbe madoff alikuwa anafanya DECI, watu walivyoacha kupanda, hela zote za wayaudi zikatokomea......

naona watu wengi mnataka kuweka uislamu na ukristu katika hii mada.......

binafsi siwapendi wa TZ kwa ajili wana akili za kitumwa
1. waislamu wanazania wako karibu na waarabu kwa hiyo watawapendelea waarabu kwa chochote kile.....
2. wakristu wanazania wako karibu na wazungu kwa hiyo watawapendelea wazungu kwa chochote kile.......

wakristu na waislamu wacheni upumbavu ukienda uarabuni ukisema mimi muislamu watakuambia wewe ni black , ukienda ulaya ukisema mimi ni mkristu watakuambia wewe ni black... hamuelewi.....
hata humu JF kuna hoja nyingi sana watu wanachangia kutokana na dini zao na sio ukweli wa mambo....
moja ya vitu vibaya ambavyo wakoloni wametuachia ni dini.......
wakristu na waislamu wa TZ pendaneni kwa ajili hamna mtu mwingine anayewapenda ...... acheni kuwasikiliza masheikh na mapadri wanaotutenganisha
china hawana dini na wanaishi vizuri tu... japokuwa west wanalobby makanisa ya jengwe lakini ni shida sana kupata kibali....
kutokuwa na dini sio kitu kibaya

binafsi nimelelewa kwenye mchanganyiko wa usilamu na ukristu na ninawaona wote ni matapeli tuu......
 
You are partially right, lakini si kweli kama waislamu wanapendelea waarabu na wakiristo wanawapendelea wazungu, kwa kuwa Uislamu ni dini ya watu wote Muhammad s.a.w kaja kwa watu wote, kuna wazungu, wa africa, wachina, wahindi, n.k kadhalika na wakiristo Paulo paulo kakusudia uenee kwa watu wote na ndo ilivyo .mm nipo nchi ya kiarabu hapa kuna waislamu kutoka Africa hapa hawaitwi "blacks" kama unavyosema, wana profess uislamu wao bila bugdha yy. Imani katika matashi yetu ni mambo ya kawaida katika mijadala ila kitu kibaya ni kupotosha watu kama baadhi ya wachangiaji walivyoaanza kui divert maada.
 
kutumia neno black nina maanisha ubaguzi.....
na usitake kukataa kama watu weusi wanabaguliwa uarabuni.....
kubaguliwa sio mpaka uitwe black ndio ujue unabaguliwa.......
 
UMENIUDHI...! mimi nitaandika na kuchangia nini sasa....?
Mawazo yangu yote umetoa wewe .....!
ANYWAY.....NA TZ KUWAFUKUZA WAISRAEL MATOKEO YAKE TUNAYAONA...!
O.k kama mtu amepotea halafu anaomba wana JF wamuelekeze njia, kabla haja elekezwa hiyo njia, anaanza kuwapotosha waelekezaji wake, kama ww ndo muelekezaji, Utafanya nini kwanza kabla hujaelekeza hiyo njia? tatizo lilianzia hapa
 
You are 100% wrong. Umejibu kwa kumia jazba na kuacha ukweli pembeni. Ni nani ambaye anaua watu, HAMAS au WAISRAEL? Hamas walikuwa wanatumia human shield, lakini umekataa kusema au mention hilo na kuanza kutumia filosofia potevu katika jibu lako.

Wewe ni nani mpaka useme kuwa WAISRAEL wa leo hawana sifa na wamepoteza Uisrael wao? Unatumia mizani gani na ukuu upi kujudge watu na/au taifa zima la Israel?

Mwisho unasema kuwa "these are crazya maderers deserved to be wiped out of the world map" wakati umeshindwa kusema au weka uthibitisho, na kutumia utamaduni wa Kimuhammad kujibu swali kwa kutumia fikra finyu na kuacha ukwel kuwa majangili na maharamia ni hao unao watetea ambao historia yao ya submission inajulikana na hata watoto wa chekechea.

Ni kwambie tu, Hebu tafuta kitu kinaitwa "THE MASSACRE OF SABRA and SHATILA" katika mtandao, halafu nambie taifa teule la Mungu lina watu washenzi kama hawa,leo kama Yesu atarudi atajikuta yy peke yake ndo Myahudi in blood and faith.
 
kutumia neno black nina maanisha ubaguzi.....
na usitake kukataa kama watu weusi wanabaguliwa uarabuni.....
kubaguliwa sio mpaka uitwe black ndio ujue unabaguliwa.......
Kama uanamaanisha ubaguzi tu hata wazungu ni wabaguzi kuliko, unakumbuka ku klux klan, unakumbuka "apatheid", unakumbuka 1960s 'Blacks lyinchings in US' kwa hiyo hizi ni hulka za binaadamu dhaifu, kama vile hulka za baadhi ya watu wenye roho dhaifu wanaowadhuru ndugu zetu albino, na hazihusiani na ukiristo wala uislamu.
 
You are partially right, lakini si kweli kama waislamu wanapendelea waarabu na wakiristo wanawapendelea wazungu, kwa kuwa Uislamu ni dini ya watu wote Muhammad s.a.w kaja kwa watu wote, kuna wazungu, wa africa, wachina, wahindi, n.k kadhalika na wakiristo Paulo paulo kakusudia uenee kwa watu wote na ndo ilivyo .mm nipo nchi ya kiarabu hapa kuna waislamu kutoka Africa hapa hawaitwi "blacks" kama unavyosema, wana profess uislamu wao bila bugdha yy. Imani katika matashi yetu ni mambo ya kawaida katika mijadala ila kitu kibaya ni kupotosha watu kama baadhi ya wachangiaji walivyoaanza kui divert maada.

Mkuu una uhakika na habari ya Mtume Paulo? umesoma vizuri injili ya Yesu kristo kwa nia ya kuielewa? please rudia, soma taratibu huku ukiwa huru kabisa bila kujitwika mzigo wa upotoshaji na huku ukiomba mungu wa kweli akusaidie na hakika kweli uaijuau. Angalia usidanganyike, hiyo imani yako ina mambo meengi ya kukopy toka kwenye Bibila na aliekuwa anakopy sometimes alikuwa msahaulifu mno! ndiyo maana kuna tofauti za ajabu kabisa ktk mambo ambayo yanafanana! Wewe jiulize, kwanini hiyo imani yako imekuwa ikienea zaidi kwa njia za kulazimisha kuliko hiari ya mtu?
Any way... nimetoka nje ya mada lakini ni vizuri kuwekana sawa.

Jamani tunatakiwa tunapochangia maada hii wivu na ma- infiriority ya kwamba watu wa dini fulani wametoka kwa Wayahudi, tugechangia tu. Japo kweli inaweza kuwa inauma kuona mbona waarabu ambo ni chimbuko la imani ya mtu hawatajwi kuwa ni "VICHWA" ina maana bongo zao tupu?
 
Kama uanamaanisha ubaguzi tu hata wazungu ni wabaguzi kuliko, unakumbuka ku klux klan, unakumbuka "apatheid", unakumbuka 1960s 'Blacks lyinchings in US' kwa hiyo hizi ni hulka za binaadamu dhaifu, kama vile hulka za baadhi ya watu wenye roho dhaifu wanaowadhuru ndugu zetu albino, na hazihusiani na ukiristo wala uislamu.

mimi nimesema kote uarabuni na ulaya watu wanabaguliwa wewe ukaja na kusema uko uarabuni na mambo ni shwari ni ndio nikakujibu sio shwari uarabuni kuna ubaguzi
kwa hiyo usifikirie mimi nimesema ulaya hamna ubaguzi
 
Mkuu una uhakika na habari ya Mtume Paulo? umesoma vizuri injili ya Yesu kristo kwa nia ya kuielewa? please rudia, soma taratibu huku ukiwa huru kabisa bila kujitwika mzigo wa upotoshaji na huku ukiomba mungu wa kweli akusaidie na hakika kweli uaijuau. Angalia usidanganyike, hiyo imani yako ina mambo meengi ya kukopy toka kwenye Bibila na aliekuwa anakopy sometimes alikuwa msahaulifu mno! ndiyo maana kuna tofauti za ajabu kabisa ktk mambo ambayo yanafanana! Wewe jiulize, kwanini hiyo imani yako imekuwa ikienea zaidi kwa njia za kulazimisha kuliko hiari ya mtu?
Any way... nimetoka nje ya mada lakini ni vizuri kuwekana sawa.

Jamani tunatakiwa tunapochangia maada hii wivu na ma- infiriority ya kwamba watu wa dini fulani wametoka kwa Wayahudi, tugechangia tu. Japo kweli inaweza kuwa inauma kuona mbona waarabu ambo ni chimbuko la imani ya mtu hawatajwi kuwa ni "VICHWA" ina maana bongo zao tupu?
Nilochotaka kumaanisha kama unataka uelewa Jesus was not the founder of christianity. this is according to the "Britanica Encyclopaedia" vol.11, which provides the credit to st. Paulo rather then Jesus. kama nimepotoshwa kutoka huko nielekeze tu mkuu
 
mimi nimesema kote uarabuni na ulaya watu wanabaguliwa wewe ukaja na kusema uko uarabuni na mambo ni shwari ni ndio nikakujibu sio shwari uarabuni kuna ubaguzi
kwa hiyo usifikirie mimi nimesema ulaya hamna ubaguzi
Mashaka yanakuja iwapo unaitwa 'Blacks' kwa kuwa ni mweusi halafu mkiristo au mwislamu na wasikwite tu mkiristo au mwislamu, sina hakika kama dini hizi zinawatambua waumini wake kwa rangi zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom