Mathayo 26:39 (SUV):
_Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kwanza kabisa sisi hatusomagi biblia kama gazeti! Hatuquote kifungu kimoja na kujaji kama unavyofanya hapa ukisoma neno zima utagundua kuwa Yesu alifanya vingi kama mfano! Kuna namna sisi wakristo tunasali kwa kujikana kabisa kwa kujinyenyekeza kwa maana tumejifunza jinsi Yesu wetu alivyofanya kwa baba!
Yesu alipokuwa duniani, alijinyenyekeza kwa hiari yake mwenyewe, akavaa mwili wa kibinadamu (Wafilipi 2:6-8), akawa kama sisi, akahisi maumivu, njaa, uchovu, na hata akaomba kama sisi..
kuna vitu vingine ni beyond human intelligence ata uforce vipi kumpinga Mungu hutokaa utaweza huu wotee ni moango wa Mungu, Mungu sio mjinga amshushe mwanae ili aje kujitukuza kumkomoa baba yake! Mungu hachunguziki, narudia tena na tena ya kuwa MUNGU HACHUNGUZIKI!!
Period!!