Waislamu kuweni wavumilivu

Waislamu kuweni wavumilivu

Sijihami, unauliza swali unajibiwa unaibuwa lingine, unaanzisha lisilo na mwelekeo! Hii kero sasa maswali mengine tutajibiwa mbinguni aisee..!
Kwani Kuna hoja nimeibua mpya mahala labda toka tuanze kujadili?
 
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI

Ambayo yanakupeleka jehanam

Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.

Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.

Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.

Muislamu

Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;

1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole

Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."

Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.

2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)

Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."

Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.

3. Mjadala wenye hoja za wazi

Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."

Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.

Mimi

Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:

Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.
Kwa kweli umeanza vizuri sana nikupongeze kwa hilo,ila swali langu ni kwanini unasema Uislam ni upagani wa kuQureysh ni nini kilichokufanya useme hivyo?
Fafanua tafadhali
 
Kwani Kuna hoja nimeibua mpya mahala labda toka tuanze kujadili?
Yaani naelezea kitu zaidi ya mara ya tatu ila unazunguka unakuja na maswali yale yale ukirudia huko juu kusoma vizuri tu utaelewa, sema tu kwa akili zangu ndogo nimegundua unatafuta Kasoro kwa wakristu sasa sitaweza hii bro!

Bora nikae na imani yangu niifanyie kazi kama ilivyoagizwa sio kutafuta dini/imani za watu kasoro kama nmechanganyikiwa!
Sijamaliza yangu nianze kukosoa ya wengine sitaeza!!😅
 
Yaani naelezea kitu zaidi ya mara ya tatu ila unazunguka unakuja na maswali yale yale ukiurudi huko juu utaelewa, sema tu kwa akilinzangu ndogo nimezgundua unatafuta
Kasoro kwa wakristu sasa sitaweza hii bro!
Bora nikae na imani yangu niifanyie kazi kama ilivyoagizwa sio kutafuta din za watu kasoro kama nmechanganyikiwa na yangu! Sijamaliza yangu niaznze kukosoa ya wengine sitaeza!!😅
Kwanini unaniwazia mabaya je sio dhambi kumuwazia mtu mabaya?
 
We nae una kazi😂😂😂 si useme tu tuslimu ss mweee🙌🏾 Na unaongea kwa uchungu seems unauchukia ukristo kutoka uvungu wa moyo😊 sasa wapi wameandika mpaka tukae wapi🥱

Stop wasting ur time hebu amini unachokiamini na sisi tuamini tunachokiamini🙄
Ww kusilimu NI HIARI YAKO.ila huko Kwa PAULO umepotea
 
Kwahiyo all this ni kutaka kututoa kwa Paulo😅🤭
Yani mimi ukiniona nimeslimu ujue nimechamganyikiwa..

Yesu ni Mzuri mno! Kuishi ndani ya Yesu kuna amani balaa, ndio maana huwezi kukuta mkristo wa kweli antetereka kwa maneno ya kupita au kutukanana kisa IMANI! Mtu aliyeokoka ana hekima ya kiMungu! Nilikuwaga na matusi ukinitusi nakujibu la juu zaidi ya ulilotoa, nikaanza kubadilika, nilikuwa mlevi balaa nakunywa mpaka whiskey nikaomba balaa nikaacha(kwa wanaoteseka na hii dhambi watanielewa? Ni ngumu kuwa addicted na kuacha, nina shuhuda nyingi sana za matendo makuu ya Mungu.. mambo makubwa yananitokea kwa kuruhusu roho wa Mungu atende kazi ndani yangu! Kupitia hii imani, na Mungu akiwa ndani yako ndio imani yako sasa kwanini nipotee wakati sijafanya vitendo kinyume na mapenzi ya Mungu! Yaani kitabu kinachokataa uovu wewe Unaona nimepotea😁🫢

Nmemshuhudia Mungu akitenda makuu maishani mwangu! Nimemuomba Mungu kitu na kikatokea, nimeona ishara zake kwangu, nimeona watu wakipona kwa macho haya tena ndani ya kanisa, nimeona wachawi wanavyokufa na kuaibika ndani ya hii imani..

Nimeweza kuona kazi ya roho mtakatifu ndani yangu! Nimejazwa roho tu kwa kujinyenyekeza kwa Mungu! Hizi ishara zote eti nihame! Ntakuwa nna kichaa🥹
 
the choice is yours
 
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI

Ambayo yanakupeleka jehanam

Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.

Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.

Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.

Muislamu

Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;

1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole

Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."

Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.

2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)

Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."

Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.

3. Mjadala wenye hoja za wazi

Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."

Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.

Mimi

Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:

Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.
Yaani Mkuu waislamu wako uchi baada ya kuja internet ambayo imetupa access kwenye mafundisho yao na tukabaini kuwa msingi wa mafundisho yao yote ni
1. UONGO: Allah, kumbe ni Shetani mwenyewe, Muhammad kumbe wala siyo Mtume bali ni mbakaji wa vitoto vidogo vya kike ( Aisha) na kiume (Hassan) alioa mke wa mwanae na mbaya zaidi alikuwa shoga ( Al Zutti ) walimpanda usiku kucha
2. UONGO mwingine ni kuwa Makka kuwa Mji mtakatifu ni Uongo, Albert Aqsa na Dome of the Rock pale Jerusalem ni Uongo walioutunga ili wajihalalishie umiliki wa Jerusalem. Hijja yao ya kila mwaka ni Uongo waliouridhi toka kwa wapagani
3. Quran imejaa chuki na hila za uuaji hasa dhidi ya wayahudi na Wakristo
4. Quran imejaa UTUKUZAJI WA NGONO. hata lile jiwe la Kabba lilivyojengewa ni kama k*ma ndiyo huibusu
Kiujumla kwa sasa waislamu wanapumulia mashine. Huko Uingereza pale Speaker's Conner Waislamu siku hizi pamekuwa mahala wanaposulubiwa kwa hoja. Na waislamu kadhaa walioenda hapo wameacha uislam. Huku kwetu kama naona waislamu wakiiomba Serikali ipige marufuku tiktok kwani tunakoenda GenZs wao wote wanaotumia tiktok wanaenda kuuacha uislam.
Wamekwisha inachobakia ni kushabikia masuala ya siasa
 
Back
Top Bottom