Waislamu kuweni wavumilivu

Waislamu kuweni wavumilivu

Hosea 12:9
[9]Lakini mimi ni BWANA, Mungu wako tangu ulipotoka katika nchi ya Misri; nitakukalisha tena katika hema, kama siku za karamu ya idi.
Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri! Mimi nitakukalisha tena katika mahema, kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu, wakati wa sikukuu ya vibanda.


BHN: Biblia Habari Njema
Soma Hosea
Vp hii tafsiri ya 12:9 Hosea imetoka wapi?
 
Hosea 12:9
[9]Lakini mimi ni BWANA, Mungu wako tangu ulipotoka katika nchi ya Misri; nitakukalisha tena katika hema, kama siku za karamu ya idi.

Wana Sikukuu 7.
1. Sikukuu ya Pasaka:
2. Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu:
3. Sikukuu ya Malimbuko(mzao wa kwanza)
4. Sikukuu ya majuma(Mavuno):
5. Sikukuu ya Baragumu/Tarumbeta:
6. Sikukuu ya upatanisho:
7. Sikukuu ya vibanda (idi)
 
Uislam haujapinga wale waliopokea kitabu kabla yake, wametajwa kama Ahlul Kitab ambavyo ni Torati na Zaburi kwa Wayahudi na Injili kwa Manasara (An nasarry au wafuasi wa Nazareth) . Quran imekuja mwishoni wa vyote hivyo. Context inatofautiana, na wewe una fahamu hilo
Kabla ya Muhammad hakuna hata kipande cha karatasi au jiwe paliwahi kuwepo uislamu au msikiti
 
Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri! Mimi nitakukalisha tena katika mahema, kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu, wakati wa sikukuu ya vibanda.


BHN: Biblia Habari Njema
Soma Hosea
Vp hii tafsiri ya 12:9 Hosea imetoka wapi?

Sijaelewa una maanisha nn?
 
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI

Ambayo yanakupeleka jehanam

Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.

Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.

Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.

Muislamu

Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;

1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole

Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."

Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.

2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)

Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."

Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.

3. Mjadala wenye hoja za wazi

Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."

Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.

Mimi

Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:

Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.
Sawa, ila mwanzilishi wa mihadhara ni Ustaadh Ngariba, hatunae tena hapa duniani , alifanya mihadhara muda si mrefu akafa, naona wengi hawamjui,

Mazinge alikuja baadae, hata mimi niliwai kuongea nae pale Mnazo mmoja alikuwa yupo yupo tu ila muongeaji mzuri.
 
Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri! Mimi nitakukalisha tena katika mahema, kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu, wakati wa sikukuu ya vibanda.


BHN: Biblia Habari Njema
Soma Hosea
Vp hii tafsiri ya 12:9 Hosea imetoka wapi?
Neno idi maana yake sikukuu

Unajua hilo ? Biblia kiswahili cha kisasa ukiona neno idi usifikiri ile ya wapagani wa Kikureshi
 
Nimekwambia weka Hosea 12:9.ukaweka na Mimi ni kaweka ya kwangu.imekuwaje Kila biblia imeandika kivyake kama sio ni maneno ya watu?
Acha kuwa mjinga ,maana ni moja hapo , biblia imetafsiriwa lugha karibu zote unazozijua wewe

Hadi kimang'ati ukitaka nakupa

Kuna Biblia ya kiswahili cha kimvita na wengi ndio wanatumia hiyo, ila Sisi Wana theolojia tunatumia sana tafsiri nyingi
 
Acha kuwa mjinga ,maana ni moja hapo , biblia imetafsiriwa lugha karibu zote unazozijua wewe

Hadi kimang'ati ukitaka nakupa

Kuna Biblia ya kiswahili cha kimvita na wengi ndio wanatumia hiyo, ila Sisi Wana theolojia tunatumia sana tafsiri nyingi
Mwenzio nimemwambia aweke Hosea 12:9 kaweka.

Na Mimi nikajua na Hosea 12 :9 ya kwangu nikamuuliza kwanini hizi aya zinatofautiana kama sio maneno ya watu?
 
Alafu kwanini hyo Hosea 13:9 zinatofautiana
Zinatofautiana nini ,? Mimi Nina nakala hapa za biblia zaidi ya 20

Maana ni moja ,inategemea misamiati na sarufi tu,

Ujinga wenu mkiona neno iddi mnadanganywa na MASHEIKH kuwa ni hiyo sikukuu yenu,

Neno iddi lipo kwenye biblia hasa ya kiswahili cha awali cha kimvita ,
 
Mwenzio nimemwambia aweke Hosea 12:9 kaweka.

Na Mimi nikajua na Hosea 12 :9 ya kwangu nikamuuliza kwanini hizi aya zinatofautiana kama sio maneno ya watu?
Hakuna inapotofautiana labda useme ,imetofautiana nini na maana ni tofauti ?tuanzie hapo
 
Huyu mzee ningemuelewa kwenye mengine yote ila la kuchafua katoto ka miaka tisa husababisha nihisi kichefu chefu aisei, hebu toka nje angalia katoto ka miaka tisa halafu uwaze lizee la miaka linakaingiza dushe halafu linaabudiwa hadi leo.

adriz Malaria 2 MOTOCHINI
Mama ake Yesu alikuwa na umri gani alipoposwa na Joseph akiwa na Miaka 88?
 
Back
Top Bottom