Waislamu kuweni wavumilivu

Waislamu kuweni wavumilivu

Naomba nikujibu, ila usinipopoe tušŸ˜…
Yesu hakuwa na dini kama tunavyozijua leo (Kikristo, Kiislamu, nk). Yesu alizaliwa na kulelewa kama Myahudi na alifuata imani na desturi za Kiyahudi. Alisali kwenye masinagogi, alishika Sabato, na kuheshimu Sheria ya Musa (Torati).

Kwa hivyo, mafundisho yake yalileta mwelekeo mpya wa kiroho ulioweka msingi wa Ukristo baada ya kufufuka kwake.

Kwa kifupi tu Yesu alikuwa Myahudi kwa dini, lakini mafundisho yake yalizaa Ukristo.

Na biblia inasema lifunguliwalo duniani na mbinguni limefunguliwa!😁
Sasa hapo mna muhusisha vipi yesu na ukristo ikiwa hakuwa mkristo?
 
Na piaa,, hiyo ni kauli ya Yesu aliyomwambia Petro, na baadaye wanafunzi wake. Inapatikana kwenye Mathayo 16:19 "Nami nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalofunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni, na lo lote utakalolifungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni"

Kwahiyo haya ni mamlaka ambayo Yesu aliwapa wanafunzi wake (na Kanisa) ya kuongoza, kufundisha, na kufanya maamuzi ya kiroho chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu. Sio kuamrisha mbingu kwa mapenzi ya kibinadamu, bali kufanya kazi kwa mapenzi ya Mungu hapa duniani.

Tusijisumbue kwa neno lolote balinkwa kusali na kuomba, badala tupigane na adui tuweze kumshinda tunapigana sisi kwa sisi na huu ni mpango wa ibilisi kutufarakanisha kwa sababu ndogo sana ambayo tungeachana nayo tungezidi kumkaribia Mungu! Tunajiingiza katika vita visivyo na msingi wowote!
 
Sasa hapo mna muhusisha vipi yesu na ukristo ikiwa hakuwa mkristo?

uko sahihi na Yesu hakuwahi kujiita Mkristo, hilo neno Mkristo lilikuja baadaye kabisaa… na Kwa mara ya kwanza, wanafunzi wa Yesu waliitwa Wakristo huko Antiokia ukisoma katika (Matendo 11:26), miaka kadhaa baada ya kifo na ufufuko wa Yesu. Hii ilikuwa kama njia ya kuwatofautisha wafuasi wake na Wayahudi wengine., nadhani ukiwa msomaji mzuri wa biblia utayaoata mengi huko

Kwa hiyo, Ukristo ni harakati au njia ya maisha iliyoanzishwa na Yesu,lakini jina Ukristo lilitolewa baada ya yeye kuondoka duniani. Ni wafuasi wake waliomfuata wakaitwa Wakristo kwa sababu waliishi kama Kristo kwa kuyafata matendo yake na kumkubali kuwa Beana namwokozi wa maisha yao, hivyo neno ukristo kwetu ni utambulisho wa kututifautishwa na wasiomuamini, ndio maana ata nyinyi hamjakosa jina la kutuita mnatuita hawa wakristo wajinga e.t.c

All in all Yesu hakuwa Mkristo, alikuwa Myahudi, Ukristo ulianzia kwake kupitia mafundisho, kifo na ufufuo wake.

Wakristo ni wale wanaoishi kwa mafundisho ya Yesu Kristo.

Kwa hiyo, kumuhusisha Yesu na Ukristo si kwa sababu alikua Mkristo, bali kwa sababu yeye ndiye msingi wa Ukristo.

Hope i made it clear😊
 
Mnasema wakristo mnamfuata yesu .je mafundisho yake mnayafuata huko kanisani,?
 
Wale wa uamsho ni waislam bro.
Kuna Imam kabisa alikuwepo kwenye list ya waliokamatwa.

Na lengo ni kuunda Taifa la Kiislam.
Hivyo vinahusiana na Uislam
Hata Pastor Tony na harakati zake pia zitakuwa zinahusiana na ukristo?
 
Labda ukiristo Uislamu umeingia Mwambao wa Africa mashariki kabla ya kuja mreno . Vasco Da Gama alipofika Kilwa aliluta watu ni waislamu tena wenye maendeleo makubwa ktk Biashara.

Hao waarabu walioleta uislam walikuwa ni wapishi?
 
Nikisema biblia ni story za watu wametunga utakataa,?

Nakataa.

Kuna ushahidi mwing sana nje ya Biblia ambao yanaonyesha Mazingira yanayosadiki hizo story za biblia.

Kisayansi au ecologia. Mabaki ya vipande vyenye lugha ya kiebrania(mabaki kwenye bahar ya chumvi).
Kiuchunguzi pia wale wafalme waliokuwa wanatajwa kuna mabaki yao. Hasa Pilato.
Pia Sehem ambazo matukio ya agano Jipya yamefanyika yako hadi leo.
Mfano ukuta wa Yerusalem, golgota etc

Kwahiyo ni kitu ambacho kilitokea kweli na sio Story tu.
 
WAISLAMU hamjawahi kuwa na akili
hii ni ad hominem logical fallacy na hapo unataka watu wawe wavumilivu

Just a reminder, Hakuna shule ya matusi lakini hakuna asiyejua kutukana!

Nikikuuliza wewe mwenye akili , Je lile sanamu la mzungu linalovaa nepi na unalitundika msalabani majumbani na sehemu za ibada ndiyo mungu unayemuamini?
 
Niwekee Hosea 12:9
 
Dini zote zinamapungufu mengi sana , na mbaya zaidi zinakulataza kuhoji!
 
Idi ni sikukuu ya Vibanda waliokuwa wanasherehekea wana wa Israel wakiwa jagwan kutokea Misri.

(Vibanda -Wakiwa kwenye mahema madogo madogo)
 
hii ni ad hominem logical fallacy na hapo unataka watu wawe wavumilivu

Just a reminder, Hakuna shule ya matusi lakini hakuna asiyejua kutukana!

Nikikuuliza wewe mwenye akili , Je lile sanamu la mzungu linalovaa nepi na unalitundika msalabani majumbani na sehemu za ibada ndiyo mungu unayemuamini?
Hilo sanamu na mengine ni ya Waroman ambao ndio waanzilishi wa uislamu na wanaoabudu jiwe jeusi na kulibusu
FB_IMG_1755516659264.jpg
 
Back
Top Bottom