hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,680
- 27,583
- Thread starter
- #201
Bado zipo ni za awali ,ndio Zina maneno mengi ya kiarabu kama Iddi ,MASHEIKH ,n.kBiblia za kivita ni za Zamani kweli. Hivi bado zipo na zinapatikana madukani?
Waislamu wanapenda kuwadanganyia wakristo wasio jua Ukristo kuwa Uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad wanawaambia unaona hata biblia imewataja MASHEIKH,iddi ,n.k