Waislamu kuweni wavumilivu

Waislamu kuweni wavumilivu

Flano, mkorea, HENRY14, mpira umesha mshinda ndugu yetu, kageuka kuimba taarab za kwaya 😂
Jamaa sijui anapata wapi muda wote kushusha nyuzi zake , Mimi Nina idea za nyuzi kibao zipo kabatini karibia miaka mi Tatu nyingine miwili nyuzi zingine mpaka nishaaandika kwenye simu ila nakosa muda wa kukaa kuhariri na kutuma .

Labda ndio kazi yake anatest mitambo ya kufungua kanisa uchwara kwa waumini apige pesa kwa hiyo anatest humu kama anaweza kuchota kondoo maana si Bure mtu ujipunde kupoteza muda wako kwa kitu ambacho hakikupi pesa.
 
Nimewahi kukufata unisaidie pesa ya kula Mzee?

Sio kila mtu anafanya kazi ngumu Mzee, Mimi kazi yangu natoka saa 6 mchana ,naingia saa 2, natumia peni tu ,

Tatizo waislamu wengi mlikimbia shule ,mnafikiri lazima muhenyeke ,mpigike ,huo sio mpango wa Yesu
 
Nna uhakika huna kazi inayoeleweka...
 
Hawana hoja:
Halafu kumbe uko toka zamani kidogo:
Nilikuwa sikosi mihadhara ya Simba Ulanga ya wakati ule:

Kuna imamu mmoja wa Msikiti wa Keko Magurumbasi alisibatizwa na akina Simba Ulanga na bado anamtangaza Yesu Kristo hadi hii leo:
Kwa sasa anahubiri Kenya:
Rubbish
 
Nimewahi kukufata unisaidie pesa ya kula Mzee?

Sio kila mtu anafanya kazi ngumu Mzee, Mimi kazi yangu natoka saa 6 mchana ,naingia saa 2, natumia peni tu ,

Tatizo waislamu wengi mlikimbia shule ,mnafikiri lazima muhenyeke ,mpigike ,huo sio mpango wa Yesu
Kuwa masikini kwani mpaka uniombe mimi pesa ya kula ?

Hata wakamaria wakina Lwiva hawatumii nguvu nyingi kutafuta pesa ni bando lao tu au peni , labda wewe unatoka asubuhi na peni yako unaingia betting center kusuka mikeka na kuwaokota makondoo na Chambuzi feki mpaka saa 6 unarudi kula kwa Shemeji yako .... That's poor life.

Yesu mwenyewe aliyenyeka Msalabani akapigwa nyundo kiatili kwa mujibu wa Bible , hatuishi analog utupige kamba kama Kondoo wako wa kanisa ; Waislamu gani waliokimbia shule unazungumzia enzi za ukoloni ? tuanzie wewe tu una level gani ya Elimu na umesomea nini ?
 
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI

Ambayo yanakupeleka jehanam

Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.

Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.

Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.

Muislamu

Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;

1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole

Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."

Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.

2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)

Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."

Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.

3. Mjadala wenye hoja za wazi

Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."

Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.

Mimi

Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:

Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.
Hoja gani unataka wakati ukiletewa hoja unakimbia huku ukipenda kujitungia vitu visivyo na ushahidi na ukiulizwa kuhusu ushahidi wa maandiko kuhusu hayo uliyoyaandika unabaki unalialia tu 🤣
 
Tumekusikia. Ila sisi ndo tulivyo hatuna uwezo wa ku reason huwa tunakimbilia matusi na kutishia maisha. Quran ina uchafu ambao ni aibu kuuwek hadharan. Na ni vile wengi hatuifaham tunaomba mtusitiri na mumsitiri mtume kwa kweli.
 
Kuwa masikini kwani mpaka uniombe mimi pesa ya kula ?

Hata wakamaria wakina Lwiva hawatumii nguvu nyingi kutafuta pesa ni bando lao tu au peni , labda wewe unatoka asubuhi na peni yako unaingia betting center kusuka mikeka na kuwaokota makondoo na Chambuzi feki mpaka saa 6 unarudi kula kwa Shemeji yako .... That's poor life.

Yesu mwenyewe aliyenyeka Msalabani akapigwa nyundo kiatili kwa mujibu wa Bible , hatuishi analog utupige kamba kama Kondoo wako wa kanisa ; Waislamu gani waliokimbia shule unazungumzia enzi za ukoloni ? tuanzie wewe tu una level gani ya Elimu na umesomea nini ?
Sipokei maelezo
 
Hawana hoja:
Halafu kumbe uko toka zamani kidogo:
Nilikuwa sikosi mihadhara ya Simba Ulanga ya wakati ule:

Kuna imamu mmoja wa Msikiti wa Keko Magurumbasi alisibatizwa na akina Simba Ulanga na bado anamtangaza Yesu Kristo hadi hii leo:
Kwa sasa anahubiri Kenya:
Zamani sana. Kuna jamaa msoma maandiko alikua anaitwa yahaya. Nahisi alikariri biblia yote kichwani mwake. Mana Kila akitajiwa sura ya biblia alikua na kipawa cha kusoma bila kutizama.
Hivi siku hizo wako wapi wale wahubiri?
 
Ukitaka kutajirika fungua kanisa ili upate mazezeta yako. We sema roho mtakatifu amekutokea ukaoteshwa Brian Deacon hawa mazezeta utawadaka wengi.
 
Zamani sana. Kuna jamaa msoma maandiko alikua anaitwa yahaya. Nahisi alikariri biblia yote kichwani mwake. Mana Kila akitajiwa sura ya biblia alikua na kipawa cha kusoma bila kutizama.
Hivi siku hizo wako wapi wale wahubiri?
Yahaya yupo anapiga injili ,alikuwa imamu awali ,akabatizwa
 
Aisee nahisi alikua mkristo even before. Sababu hata soma yake ili kua anasoma sauti ya kipadre.
Itakua pigo kubwa sana kwa mazinge.
Nahisi ndio sababu ya kusambaratika kwao.
 
Back
Top Bottom