Waislamu kuweni wavumilivu

Waislamu kuweni wavumilivu

Najua kule umeshindwa ngoja sasa turudi huko unapotaka.
Quran IMESHUSHWA KUTOKA KWA ALLAH AKAMPA GIBRIL AMPEKEE MTUME KWA NJIA YA KUMSOMEA.
NDO MAANA AYA YA KWANZA YA QURAN
NI IQRAA YAANI" SOMA"

Alaf kwa kuwa mtume alikua hajui kusoma wala kuandika akaenda kumwambia mtu mwingne ili aandike. Si ndio?.

Kwahiyo Quran imeandikwa na Binadamu.
Sasa kuna tofauti gan na Biblia.
Maana zote zimeandikwa na watu.
Alaf una uhakika gan huyo mtu wa tatu ameandika yale mtume alisema?

Kwa miaka 23. Mwamed hakujua kusoma wala kuandika na alikua kila kitu anaandikiwa. Si ndio?
 
Alaf kwa kuwa mtume alikua hajui kusoma wala kuandika akaenda kusomea mtu mwingne ili aandike. Si ndio?.

Kwahiyo Quran imeandikwa na Binadamu.

Alaf una uhakika gan huyo mtu wa tatu ameandika yale mtume alisema?

Kwa miaka 23. Mwamed hakujua kusoma wala kuandika na alikua kila kitu anaandikiwa. Si ndio?
Aya zoote alishushiwa Muhammad na zote aliwasomea maswahba.waliziandika kwenye magome ya miti na ngozi za wanyama .ila njia ya kwanza ilikuwa ni kuhifafhi katika moyo maswahaba walikuwa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi Kila walichosomewa na mtume.baada ya mtume kufariki na maswahaba kuanza kufa wakahofiq uenda wale waliohifadhi wote wakafa na Quran ikapotea ndipo wakaitana na kuanza mchakato wa kuandika katika mfumo wa KITABU.kila swahaba alitoa aya zake na wengine walisikiliza na wakakibaliana kuwa aliyoisema ndo na wao wamehiifadhi basi iliandikwa HIVYO
 
Najua kule umeshindwa ngoja sasa turudi huko unapotaka.
Quran IMESHUSHWA KUTOKA KWA ALLAH AKAMPA GIBRIL AMPEKEE MTUME KWA NJIA YA KUMSOMEA.
NDO MAANA AYA YA KWANZA YA QURAN
NI IQRAA YAANI" SOMA"

Ila hili la Quran kushushwa linachekeshaga sana.

Kwahiyo Jibril akamsomea na ile aya ya Bikira Maryam.😂😂😂
 
Aya zoote alishushiwa Muhammad na zote aliwasomea maswahba.waliziandika kwenye magome ya miti na ngozi za wanyama .ila njia ya kwanza ilikuwa ni kuhifafhi katika moyo maswahaba walikuwa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi Kila walichosomewa na mtume.baada ya mtume kufariki na maswahaba kuanza kufa wakahofiq uenda wale waliohifadhi wote wakafa na Quran ikapotea ndipo wakaitana na kuanza mchakato wa kuandika katika mfumo wa KITABU.kila swahaba alitoa aya zake na wengine walisikiliza na wakakibaliana kuwa aliyoisema ndo na wao wamehiifadhi basi iliandikwa HIVYO

Umeandika vizur.
Na umeeleweka.

Kwahiyo Quran na Biblia zote zimeandikwa na Binadamu na sio kwamba zimeshushwa.
 
Quran kutoka Kwa Allah kwenda Kwa jibril kwenda Kwa mtume Hadi Kwa maswahaba.
Haya NA BIBLIA?
 
Biblia imeandikwa na watu.

Ni mafundisho, miongozo, Sheria , kanuni, tamaduni ambazo Mungu kwa wakat tofaut alizotoa kwa wana wa Israel.

Na baadae zikaandikwa kama kitabu.
 
Akina Luka?.sasa ulikuwa unabisha nini kuwa biblia imeandikwa na watu?
 
Surat Maryam.
Quran 19.
Mariam ni Mama yake ISSA au yesu ambaye mnamuita Munguwenu .sura mnamzunguzia Mama yake alivyoshika mimba Kwa njia ya miujiza mpaka anazaliwa ISSA.ndugu zake Mariam wanamkataa mpaka yesu mwenyeww alipoongea akiwa vile vile mchanga kumtetea mama yake.baadae sura ikawataja na manabii wengine na tabia zao n.k
 
Na yenyewe imeshushwa?.
Kwamba hili ilikuwa halifahamiki?

Mpaka allah amtume jibril
 
Mm sijabisha.
Ila Nimetoa hoja kuwa hata Quran imeandikwa na watu.

Hakuna mkristo anaweza kusema Biblia imeshushwa.
Hapo NDIPO Quran inaizidi BIBLIA KWA USAFI WA MAANDIKO.
Quran IMESHUSHWA mtume mwenyewe akiwepo Hadi kukamilika.
Ila biblia agano la kale yesu hakuwepo,agano JIPYA YESU ALISHAKUFA.
 
Jamaa sijui anapata wapi muda wote kushusha nyuzi zake , Mimi Nina idea za nyuzi kibao zipo kabatini karibia miaka mi Tatu nyingine miwili nyuzi zingine mpaka nishaaandika kwenye simu ila nakosa muda wa kukaa kuhariri na kutuma .

Labda ndio kazi yake anatest mitambo ya kufungua kanisa uchwara kwa waumini apige pesa kwa hiyo anatest humu kama anaweza kuchota kondoo maana si Bure mtu ujipunde kupoteza muda wako kwa kitu ambacho hakikupi pesa.
Wewe nimekupa fafanuzi za msingi sana ukizitumia uwezi kudanganywa na Muhammadi....
 
Hapo NDIPO Quran inaizidi BIBLIA KWA USAFI WA MAANDIKO.
Quran IMESHUSHWA mtume mwenyewe akiwepo Hadi kukamilika.
Ila biblia agano la kale yesu hakuwepo,agano JIPYA YESU ALISHAKUFA.

Na bado Mohamed akaiamini Biblia.
 
Hapana Sio kila siku.
Ila kama hapo awal wangeruhusu wakristo kuabudu kwa aman. Bas wangekuwa waumini weng na makanisa yangeongezeka.

Fikiri pia.
Kama hawakuruhusu kuabudu kwa amani huko nyuma, makanisa yalitoka wapi?
 
Aya na sura zote zimeshushwa . kwenye Quran hakuna Kona Kona.
😂😂😂😂😂.

Quran 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.
 
Safi kabisa.hapo sasa kipindi mtume anadai utume.yaani ana maananisha Quran ingeshushwa Kama kitabu cha shigongo yaani nzima nzima wangesema ni uchawi.ila ikateremshwa kutokana na MATUKIO
 
Back
Top Bottom