Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

wapi wale wapigiga uvundo pafyum huku namwona mama porojo aka faiza fox.
 
Bahati mbaya ama nzuri matusi yenyewe yamekuwa ya ukweli

haya mambo yanajadiliwa kila siku hapa JF na vyombo vingine vya habari, Au kwa kuwa kasema Mzungu ndio kinaonekana kipya? Acheni hizo! Au ndio wale wale?
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

attachment.php

attachment.php


Ehud wa Israel hakukosea alivyosema 'kwa interest za Tel Aviv Tanzania is irrelevant' ili linaenda mpaka kwa wananchi wa Tanzania kuwa Tanzania imekuwa irrelevant kwa interest za watanzania wenyewe!
 
Huyu anasababisha umatonya uendelee hasa ikizingatiwa kuwa kulingana na taarifa ya Salva, Kikwete atakutana naye wakiwa Davos. Hizi hela lazima zitaingizwa kwenye bakuli la Kikwete:

Bill Gates injects $750 million into troubled AIDS fund

By Ben Hirschler | Reuters

?
DAVOS, Switzerland (Reuters) - Microsoft chairman and philanthropist Bill Gates pledged a further $750 million to the troubled global AIDS fund on Thursday and urged governments to continue their support to save lives.

"These are tough economic times, but that is no excuse for cutting aid to the world's poorest," he said in Davos at the annual meeting of the World Economic Forum.

The Global Fund to Fight AIDS, Tuberculosis (TB) and Malaria announced two days ago that its executive director, Michel Kazatchkine, was stepping down early following criticism over misuse of funds and cuts in funding.

The public-private organization, which has the backing of celebrities like rock star Bono, accounts for around a quarter of international financing to fight HIV and AIDS, as well as the majority of funds to fight TB and malaria.

But it has been forced to cut back and said last year it would make no new grants or funding until 2014.

The Bill & Melinda Gates Foundation is giving $750 million through a promissory note -- a fresh injection in addition to the $650 million that the Gates charity has contributed since the fund was launched 10 years ago.

While that will give an immediate boost, more is needed from governments, which have provided the bulk of the $22.6 billion that has been raised by the Geneva-based organization to date for its work in 150 countries.

The commitment of governments was shaken last year when the fund reported "grave misuse of funds" in four recipient nations, prompting some donors such as Germany and Sweden to freeze their donations.

Gates, however, played down the problem and praised the fund's transparency, which he said had exposed corruption problems that might well have remained hidden at other organizations.

"If you are going to do health programs in Africa you are going to have some percentage that is misused," he said.

"We've looked at where they've found money that wasn't applied properly and how they tracked that ... the fact is the internal checks and balances have worked."

Recent scientific studies have shown that getting timely AIDS drug treatment to those with HIV can significantly cut the number of people who become newly infected with the virus, increasing the case for maximum access to drugs.

So the decision in 2011 to cancel fresh funding, due to waning political commitment, has alarmed healthcare activists like Medecins Sans Frontieres (MSF).

"Now that new scientific evidence shows that HIV treatment itself could be one of the best ways to turn the epidemic around, it's time for governments to roll up their sleeves and commit to getting the Global Fund back on track," said Tido von Schoen-Angerer, MSF's head of access.
 
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali


Haishangazi wewe ni MAMA POROJO!
 
kweli wewe ni mama porojo. Kwani ktk hayo yaliyoandikwa kuna uongo hapo? Ebu kuwa mkweli na useme ktk andishi hilo ni wapi kuna uongo.

Mwache huyo hana akili timamu, ndio mana wanasema binadamu hatufanani.
 
hawa walitaka kutucameron watanzania wote
hawana maana hata kuwasikiliza kuna agenda ndani ya kauli yao kwa jk

Acha visingizio Mama Porojo! Hakuna agenda yeyote ndani ya kauli yao. Wamesema ukweli mtupu!
 
What is written is 100% true!! Je wana kikwete mnasemaje? maana naona kuna wanaomtetea humu!!!
 
Nimeipenda zaidi hii ..."We must question the nations that welcomes this "joker's" request for AID. He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious....."
Huyu 'matonya' akipigwa 'ban ya kusafiri' anakufa baada ya mwezi tu :lol:!
Hebu fikiria, aliwahi kusema hajui kwa nini sisi bado ni masikini!!
Nakumbuka iliandikwa wakati flani wa kampeni nadhani za urais kuwa alisema bila safari za nje watanzania wangekufa njaa. Huu ni uwezo mdogo kabisa wa kufikiri, na mdomo nao breki zero! kweli kazi tunayo!
Au anaomba sana ili JMT iwe ya kwanza kwa kupokea foreign aid duniani halafu aje atangaze kuwa hayo ni mafanikio makubwa katika awamu ya 4?! si unajua wanavyopenda kututajia rekodi zao za kijuha, huku akipigiwa makofi na wazee wa daresalama!!
 
Wazungu aiseee wanaua mbaya......afu ukweli mtupu aisee....prezidaa anaonekana hamnazo kabisa.....afu jamaa bado hajifunzi haachi kutekeleza ahadi za kujenga fly over etal anakubali kugeuzwa katuni aiseee....aibu sana wazee
Davos main goal is to discuss Euro crisis not African problems and this president should have known that, because at the end of the day he will be leaving bare handed
 
hawa walitaka kutucameron watanzania wote
hawana maana hata kuwasikiliza kuna agenda ndani ya kauli yao kwa jk

Kweli wewe ni Mama Porojo. Kubalini ukweli kwamba tuna Rais kilaza ambaye anaendekeza ufisadi!!!! Yaliyosemwa na huyo mtu ni ya kweli kabisa and there is no way unaweza kuja na cheap defence kwamba wanasukumwa na ucameroon!!!! Ni kweli nchi hii ni tajiri lakini tumeshindwa kusimamia rasilimali zetu na kuwaachai wageni na mafisadi wachache kujichotea jinsi watakavyo. Shame on us. Na bado mkuu wa nchi anakwenda akitembeza bakuli as if hao anaowaomba hawajui what is happening hapak wetu.

Tiba
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

attachment.php

attachment.php

dah wamemnanga haswa aisee, sijua anapaya hata muda wa kusoma mambo kama iz au anazurura tu huyu mzungu worshiper!
lah aibu hii.
 
Ninatamani, watanzania, hasa waandishi wa habari wangeweza kuinyakua habari hii na kuifanya iwe na manufaa. Enyi wenye NGO's zinazohusika na advocacy bebeni taarifa hii, ihakikisheni kuwa ni kweli then ijengeeni hoja. Si lazima kuiweka kwenye negative side kama ilivyo but mnawezaijengea hoja chini ya vichwa tofauti kama
1. Baada ya fadhila na kuwaenzi, je ni haki kwa waingereza kumdhihaki rais wetu kwa comments kama hizi?
2. Ingawa wao ndio chanzo cha umasikini wetu kwa kutupa misaada yenye masharti magumu, hii ndio jeuri ya waingereza e.t.c

then itisheni Public dialogue seminars au public talks huku mkiwaalika wachumi mbalimbali watoe mitazamo yao juu ya kashfa hizi muone kama ujumbe hautofika kwa Mkulu.

Si lazima headings mtakazozitoa ziwe zinaenga moja kwa moja kumkashfu rais kwa sababu mkifanya hivyo hamtopata wachangiaji huru.

Mnaweza pia anzisha online discussions kwenye forums mbalimbali (za kiandishi) kisha mkasynthesize mawazo yaliyotolewa huko mkapata habari ya kureport. Big up mtoa mada. Ingawa sometimes nahisi hawa wapambe wake huwa wanamficha habari zinazomponda na kumfikishia zile tu zinazomsifia. So even hii (labda kama ataingia mwenyewe personally JF) wataiminyia tu.

unfortunately, naunga mkono observations za Richard Brunwick, ingawa naamini pia kwamba waingereza hawana cha kubeza kwani wameishi siku zote kwa kutumia migongo ya waafrika na rasilimali zetu na dnio maana sasa wanayumba
 
Kama watu wa nje wanaona ujinga huu kwanini sisi hatuoni? kwanini watanzania tumekuwa watu wa kudharaulika na kupuuzwa mpaka mtu wa nje anatusemea kuwa hajawau kuona raisi wa ajabu kama wa kwetu? Nadhani watanzania tuache ujinga,tuweke itikadi zetu pembeni JK ana tatizo la msingi sana,na ndio maana nchi inaendeshwa namna hii.Hii ni aibu na tusi si kwa JK tu ila kwasisi tuliomchagua kuingia madarakani na kufanya haya anayofanya.
 
However tackling the problem of corruption was still a "major issue", said Tanzanian President Jakaya Kikwete. "The first thing to fight against corruption is transparency," he said, adding that his country was now publishing all mining contracts as part of a new mining code. The best guarantee for an investor is transparency."

Photo below President Jakaya Kikwete holding a preparatory meeting with his delegations soon after arrival at the Davos Sheraton ahead of the start of the four day World Economic Forum held annually in the mountainous health resort.

dav2.jpg

Delegation ya kujadili jinsi ya kuwa - impress wazungu watupe misaada. Kikao cha watu ambao hawana upeo wa kuona kuwa ukame unaoikabili Kenya ilikuwa ni opportunity ya kunyanyua uchumi wa wakulima wetu kwa serikali kulima chakula cha kulisha nchi na kuwaacha wakulima mazao yao wauze nje kwa style wanayoipenda na wao kukusanya kodi. Leo hii wamekaa kwa watu wanajadili kuomba tu hamna lingine la kuwategemea hawa
 
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.
Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.
I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit
(http://www.guardian.co.uk/discussion/comment-permalink/14346120)

LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM

African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created misery
because they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools
(http://www.guardian.co.uk/discussion/comment-permalink/14346365)





Ukitaka kujibu maoni hayo na/au kusoma mengine, bofya hapa ufuate ukurasa husika katika The Guardian


Source: wavuti.com  - Blogu
Under Creative Commons License: Attribution Share Alike
 
I feel ashamed on the way my President ...is turned into rubles.....du !!!


You know tukiwa hapa tunampondaa lakini akiwa nje aibu Yake ni aibu ya nchi.........ni muhimu rais ajaye tumpime kwa midahalo....ili tuwe na uhakika wa ufahamu...wake....kiukweli tangu 2005 JK alikwepa midahalo mingi sana na kina mbowe na baadaye Slaaa...na Lipumba....

Hivi unakumbuka alivyokataa midahalo jamani. Mpaka akatengenezewa mdahalo wake kwa kupewa maswali lakini bado akashindwa. The sad part is that we knew from the begininning especially of his second term that he is not capable but our poor system made it possible for him to regain his power.

Ukitaka kujua mtu hajali watanzania ni huu mgomo wa madaktari, hivi unawezaje kuondoka na kuacha hili sakata??? Jamani mliona kipanya cha mwananchi cha jana?

Tumechoka, tumechoka, tumechoka.

Jana na leo kuna National Policy Dialogue hapo Ubungo Plaza, jamani ungesikia serikali ilivyokaangwa jana ndio ungejua watu wamechoka. Wakuu wa mikoa wamekuja juu (waliochaguliwa kwa merit zao) wanasema hizi report zenu mnazotumiwa maprof. wa chuo kikuu kuziandika bila kuja kwenye mikoa husika hatuzitaki. Mnatayarisha MKUKUTA bila kuwashirikisha walengwa mna maanisha nini? Washiriki kwa ujumla wamewasema sana mawaziri na viongozi wengine serikalini wakaambiwa kamwambieni huyo 'mwenzenu' (hawamwiti tena mheshimiwa Rais) kama ameshindwa aseme. Ukiingia kwenye ukumbi kuna bango limeandikwa "Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele", mchangiaji kutoka Singida akasema "Tumethubutu, Tumeshindwa, Tujipange Upya"

Uzalendo jana ulishindikana pale blue pearl watu wametoa madukuduku yako, mawaziri macho yamewatoka, aibu tupu na kama wana hekima watajipanga upya.

Kwahio haya tunayoambiwa na wenzetu kutoka nje, they are not news to us lakini system inatufunga mdomo.
 
Back
Top Bottom