Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

uongo mkubwa Rais halali Hotel moja na watu anaosafiri nao na husafiri na watu kulingana na umuhimu wao katika mkutano, wanakuwepo viongozi, watu kutoka sekta binafsi na za umma, wafanyabishara au mwakilishi wa chama cha wafanyabishara, nk.

Wewe usijifanye unajua, nani amekwambia rais halali hoteli moja na watu anaosafiri nao? Nikupe mfano tu, mwaka juzi yeye na watu kama 30 walikwenda Arusha kwenye ufunguzi wa hoteli ya New Mount Meru na wote walilala hapo hapo, tofauti ni kwamba rais huwa analala kwenye presidential suite. Usizungumze usiyoyajua.
 
Duh! nimekaa kimya sana ngoja nami nijitose kwenye hii mada. Actually kilichosemwa hapa ni kweli tupu japo lugha iliyotumika sio ya kufurahisha kwa wengi wetu. mimi nadha ni mkuu wa kaya aipokee hii kama changamoto kwa kupunguza safari za kuomba omba, awatose rafiki zake wazembe na mafisadi ili tuanze upya kujenga uchumi wetu uliosambaratishwa na mafisadi.

Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
 
Waandishi wa Tazanzani kuna haja ya kujifunza katika uandishi wa aina hii.

Unaweza kuinusu Tz yetu.
 
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk

Walipokubali kuwarudishia zile pesa za BAE ilikuwa ni kwa sababu walikukameruni??
 

  1. "British TAX payers must stop funding this man´s corruptin and foreign trips.
  2. ...how inefficient and corrupt the country´s leadership is.
  3. He needs to be on a "no fly" list so he can be serious.KAZI IPO HAPA JAMANI
 
Kwa wale waanaofuatilia mambo kwa karibu watakuwa wamegundua kuwa Davos 2012 imejikita zaidi na mambo ya Europian economic crisis. Wako wenzetu wamegundua hilo na wakaamua kula mzigo kama kawaida. i.e Kibaki, Kagame, Museven ect. Sisi sio tu tunawinda 'watu mashuhuri' bali pia tumekwenda kutoa darasa kuhusu uchumi! Nahisi kuna watu wanakunywa kususio cha damu ya simba maana yataka uwe na ujasiri wa hali ya juu kutoa darasa la uchumi huku ukiwa umeshika bakuli!

Dah! hiyo red nimetafakari weeee, then nimeishia kuchecka, hasa nilipovikumbuka vyuo kama London School of Economics, Duke University, Harvard na vitabu na Articles mashuhuri zinazoelezea why Africa lagging behind from global economy! inatia aibu sana hasa viongozi wetu wanapojifanya hamnazo kuwa umaskini wa Afrika hasa Tanzania unasababishwa na sababu kuu moja tu nayo ni CORRUPTION inayofanywa na watawala wetu
 
Companero, nimemsikiliza JK wetu katika dakika ya 43 mpaka 49, duh! Nawaombeni wana JF msikilizeni Raisi wetu akijibu swali aliloulizwa na Brown, mimi nimepigwa bumbwazi - kweli Kikwete si mchezo, tunavuna tulichopanda LOL!

Yaani nimecheka kweli. JK ameshindwa kujibu swali la education system akarukia mambo ya magari. Du! kweli tumeibua galasha la mavi ya mbuzi.
 
Yaani nimecheka kweli. JK ameshindwa kujibu swali la education system akarukia mambo ya magari. Du! kweli tumeibua galasha la mavi ya mbuzi.

Si alijipelekea huko na kiherehere chake, sijui atarudi vipi nyumbani mwaka huu na hii aibu yote? Jamani nauliza tu, hivi Jk atathubutu kupanda ndege na hizi safari zake za hovyo?
 
hivi ni kweli kuwa tukimkatalia mtu jambo tusilolipenda basi naye atakutukana. Matusi ni ukweli unaotumika katika maeneo ama sehemu ambapo hatutaki ukweli huo ujulikane. Kwa sababu hatutaki watu wa nje wajue kuwa viongozi wetu hawajui uchumi na hata ya kawaida hawafahamu, tena kuwajibika ndiyo ndoto kabisa, wakiambiwa, tukiambiwa tunaona wanaosema wametumwa sasa lini tutaacha kulalamika na kuchukua hatua. Rwanda iko wapi, Mauritius, Botswana, Kenya, Seychelles, Cape Verde na hata Angola na Namibia wanatuacha kwa kuwa sisi tu walalamishi sana
 
Si alijipelekea huko na kiherehere chake, sijui atarudi vipi nyumbani mwaka huu na hii aibu yote? Jamani nauliza tu, hivi Jk atathubutu kupanda ndege na hizi safari zake za hovyo?
Wasubiri Ritz,Rejeo,MAFILILI &co watakuja hapa mda si mrefu na watakujibu vizuri sana! ila usiwe na hasira
 
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali

ndugu yangu wamekupa nini mafisadi hadi usione
upunguwani wa mkuu?
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
Majibu mepesi ktk hoja nzito, wewe unaona hapo anasingiziwa au ninyi ndo mnaoturoga tushindwe kufanya maamuzi sahihi ya kutimua viongozi wapuuuzi wa aina hii??wanaotutia aibu kwa kutokuwa visionary???Acha kutoa hoja za kitoto, wewe unaona anavyofanya JK na uongoz wake ni sahihi???
 
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk

We nawe si kila siku adui ataongea uongo dhidi yako, katika yoooote yaliyonenwa hapo kuna la uongo??????? usiwe kichwa nazi bana
 
Haya, mchangiaji mwingine huyu hapa anajiita "AltaVista" toka Marekani, kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza leo kuhusu Davos 2012. Hapa anamjibu Richard Brunswick:

AltaVista
26 January 2012 7:32PM

@Richard, The issue with Tanzania president is not a British issue or a global issue. It is a Tanzania voter's issue. They have let this man continue with corruption and impunity. Those in diplomatic circles especially in the US state department are privy of the matter and very disgust with Kikwete. He is not a serious leader and the chatter in Washington about his endless lavish foreign trips is not flattering. He is an embarrasment to his country and african leaders

He has literally sold his country and done nothing to combat corruption. Nepotism has risen; those in power ensures they slot in their children in sensitive positions before they retire. Currently, 15% of Tanzania government leadership is made of sons and daughters of those that once ruled or still in power.

I see Tanzania in the line of Tunisia and Egypt very soon, and won't lose sleep if this man is ousted, we just don't want him in America. UK, you can have him. Our cabinet secretaries take subway, their ministers in expensive land cruisers. Not with our tax dollars. I learnt through secret channels that one of his associates transported a Range rover in a cargo plane to Tanzania
Then go around and say "Hand to Mouth"???????? Comment from a whole president to his fellow world leaders? can he ask himself why?

Davos main goal is to discuss Euro crisis not African problems and this president should have known that, because at the end of the day he will be leaving bare handed.
 
Back
Top Bottom