Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Hizi comments sio mpya, nakumbuka nimezisoma humu JF hivikaribuni, mtoaji anaweza kuwa amegeuza maneno kidogo lakini ngoja nilitafute bandiko lenyewe nitaliweka hapa.

Pamoja na hayo, wote raisi wetu tunamjua tena tunampiga mawe hapa jamvini kila siku, hivi akimsema mwingereza ndiyo inakuwa habari? Acheni hizo mlimchagua wenyewe na mnavuna mlichopanda!

Tena wanaotukanwa ni nyie wote watanzania; yaani ankuja mtu kutoka huko anamtukana babako wee unajifanaya hayakuhusu? badala yake mnashangilia kama mazuzu!

Mtu akinitukania baba yangu nitakuwa sina jinsi kwa sababu ni baba yangu. Lakini rais aliyeingia mamlakani kwa kudangaya ( awamu ya kwanza) na udanganyifu (awamu ya pili) hanihusu, ngoja atukanwe mpaka asubuhi sitakosa usingizi.
 
Jamani Watanzania kwa umojawetu hii inauma kuona rais wetu kumbe uozo anao ufanya unaonekana kimataifa ni wakati wetu kuamka ili kujua njia mbadala ya kutumia katika kujua hatma yetu. Mimi sifurahii kuona rais wetu kila siku akituaibisha kwa kuomba omba eti sisi ni watu wa from hand to mouth hii ni kejeli sasa nasema nchi hii haita tawalika. "revolution forever"
 
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali

wewe kweli utakuwa na matatzo kama sio basi utakuwa hauishi tanzania au unaleta ushabiki wa kiccm usio na tija wala mantiki,hapo kuna uongo gani juu ya kikwete?
 
Wanahaki ya kusema chochote watakacho. Wametuchoka, wanaona mienendo ya maendeleo ya nchi zetu ilivyo ya kichovu na kutegemea zaidi kuomba omba na kuwapigia magoti kila uchao. Hata ile kauli ya kututaka tuwe mashoga ili tupate misaada ilitolewa kwa nakusudi ili iwe sababu ya kutukomesha. Rais anatakiwa kujibu madai ya wazungu hawa ili kujijengea heshima ambayo inaporomoka kila kukicha..
 
Tunaomba wazalendo wakina mwanakijiji, muanzilishi wa thread hii na wengineo mlio comfortable na lugha hii mtusaidie kui tafsiri kwenye kiswahili kizuri na isambazwe kwa watanzania wote ikiwemo kuwemo humu ndani kwa kiswahili. Sisi wengine japo tunaweza kusoma na kuelewa lakini kuwasilisha ujumbe mzito kama huu ni vigumu.

Tafadhali ifanyike wakati bwana mkubwa akiwa bado hajapoa toka kwenye safari zake. Nasikia hata hela hakuna wanachofanya akitaka kuzurula na entourage yake ya marafiki zao na relationship zao, literally central bank inakimbia physically kunyakua kilichokusanywa na TRA na kwenye matumizi mengine ya lazima, hii nchi inamalizwa na mtu mmoja, tutakuja kujua ukweli pale atakapotoka kwenye hiyo ofisi ndio tutakaposhindwa kujilaumu kwa kushindwa ku mu impeach mapema
 
humu ndani kuna watu wana akili za matope yaani basi tu ni Mungu anajua
 
Kinachonisikitisha ni namna tunavyoshabikia ujinga huu. Hivi tunajiaminisha vipoi kuwa kashfa hizi zinaishia kwa rais peke yake bila kuhusisha wananchi ambao tumemchagua, na bado tunaendelea kumkenulia meno yetu yaliyooza kwa kumsupport!!? Am sure wanatushangaa kwa kuwa very dumb tusiojua haki zetu.

For me am always for action.................. mlale salama huku kwetu Kigoma tena vijijini jua linazama mapema.

In fact hapa wa kulaumiwa ni wananchi wenyewe. The President is just representing who we are. Simple. Tumekuwa watu wa kulalama kila wakati tatizo ni sisi wenyewe.
 
wanapotoa hizo comments mbona wanasahau kusema histori kuwa umasikini tulio nao sasa wao ni sehemu ya kisababishi? walipo gawana bara la africa kama njugu 1884/1885 pale Berlin, na kuzitumia rasilimali zetu (ikiwemo rasilimali watu) watakavyo kwa kuendeleza miji yao mikuu kama vile London, Manchester n.k. je hakuliona hili? tunachoomba na kupewa sasa ni haki yetu kama fidia ya rasimali zetu walizoiba enzi hizo. hata hivyo hawa watu wananuka vinyesi vya binadamu na michezo yao michafu wakaoge kwanza, sisi watuache na umasikini wetu.
 
Nimeangalia hiyo speech yote sijaona tatizo la msingi,

My problem is what is purpose of the forums, is it for selling resources

Haya maongezi kwanini yasifanyike kati waafrika, badala ya waafrika kuelezea development strategies as if wazungu wanatupenda sana??
 
hata pamoja nakufikiria labda io statement inatokana na kukataliwa ushoga sawa LAKINI hamna ambacho kimesemwa kigeni ambacho watanzania hawajakiona na ujinga huo wote umekuwa ukijadiliwa ila hasikiii wala serikali yake haisikii.Tuko kwenye nchi ambayo haina vipaumbele ambao wataongea kilimo kwanza ila budget ya kilimo inakuwa ni ndogo na hata pesa zilizopangwa kutowafikia walengwa.

huyo aliye mdis rais wetu anapropose hapo mwishoni kuwa nchi za africa tuige mfano wa arabu spring na sisi tuwe na africa summer ilikuondoa viongozi kama hao ila je yafaa kwenda kwa mwendo huo.hizo nchi za kiarabu ambazo zilifanya mageuzi je zote ni kwa sababu ya wananchi au kuna uchochezi kutoka mataifa ya nje?
Pia tujiulize hizo nchi ziko katika hali gani sasa na tukichukua njia hio tutalejea lini au hao wazungu wataka tuingie kwenye machafuko ili waingie nchini na kutuibia vizuri rasilimali zetu huku tukipigana,na wao wakiendelea kunufaika na machafuko kwenye nchi zetu.
Kuna njia za kuondoa viongozi madarakani kupitia uchaguzi pia mchakato wa katiba ni wa muhimu ili kuweza kuhainisha namna ambavyo viongozi wataweza kuwajibishwa na kupata viongozi wapya.
A fight is to be worn when the right tactics have been chosen so lets chose the right way without shed of blood or use of weapons to demand for our rights and a better Tanzania.
 
Cheki miviatu ya ******, utadhani analimia mpunga.

More comments from the Guardian newspaper readers in the UK Latest US and world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian:
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.
Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.
I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit


2.

African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created misery
because they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools

3.
@Richard, The issue with Tanzania president is not a British issue or a global issue. It is a Tanzania voter’s issue. They have let this man continue with corruption and impunity. Those in diplomatic circles especially in the US state department are privy of the matter and very disgust with Kikwete. He is not a serious leader and the chatter in Washington about his endless lavish foreign trips is not flattering. He is an embarrasment to his country and african leaders
He has literally sold his country and done nothing to combat corruption. Nepotism has risen; those in power ensures they slot in their children in sensitive positions before they retire. Currently, 15% of Tanzania government leadership is made of sons and daughters of those that once ruled or still in power.
I see Tanzania in the line of Tunisia and Egypt very soon, and won’t lose sleep if this man is ousted, we just don’t want him in America. UK, you can have him. Our cabinet secretaries take subway, their ministers in expensive land cruisers. Not with our tax dollars. I learnt through secret channels that one of his associates transported a Range rover in a cargo plane to Tanzania
Then go around and say “Hand to Mouth”???????? Comment from a whole president to his fellow world leaders? can he ask himself why???
Davos main goal is to discuss Euro crisis not African problems and this president should have known that, because at the end of the day he will be leaving bare handed



4.
Kikwete and Suma are retards. they are morons, shame on them Atleast Zuma was reading from the script! Why do they look for aid, I thought their african countries are richer than ours. why come to us for aid? the corrupt Tansania president could not answer an educational question? what a pity! and he has just started a second term? let me yawwwwwn


Read more Source: Davos 2012 : Day two www.guardian.co.uk
 
I wish asome hizo comments labda ataamka usingizini!

Madame KH, bora hata angekuwa amelala usingizini....Hii ni Serikali taahira ambayo imeshindwa kutimiza hata moja ya ya ahadi zake chungu nzima na bado wanatoa kauli za kujifagilia eti wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele!!!!...labda wanasonga mbele katika kuzidi kuiangamiza nchi. Kwa speed hii ya utaahira wa Serikali hii kama hawakubadilisha maamuzi yao yasiyo na maslahi ya nchi, nchi yetu ikifika mwaka 2015 itakuwa katika hali ya kutisha sana.
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi

Toa upuuzi wako hapa..unaongea kama mama muuza vitumbua buruguni huna akili hata kidogo
 
Ni ukweli mtupu Yaani we acha tu. Reputation ya Tanzania imekuwa zero kabisa. In the abundace of water a fool is still thirsty
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
Hata kama wazungu mashoga na ushoga wao hatuutaki, walichosema kuhusu viongozi weetu na hasa Jakaya Khalfani Mrisho Kikwete - AKA JK mtembeza bakuli kila kukicha, ni ukweli usio na mawaa. anatuaibisha sana huyu ****** wetu. Unajua, hata kwenye mazungumzo ya kawaida na wazungu na hata majirani wanaotuzunguka, wanatucheka sana kwa kumchagua!

All in all, change is in progress!
 
Back
Top Bottom