Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,095
Wale waliokuwa wanahoji kwamba Gordon Brown hayupo kwenye mkutana huo, nadhani a photo can speak thousands words.
Cheki miviatu ya JK!Wale waliokuwa wanahoji kwamba Gordon Brown hayupo kwenye mkutana huo, nadhani a photo can speak thousands words.
Yaani nimecheka kweli. JK ameshindwa kujibu swali la education system akarukia mambo ya magari. Du! kweli tumeibua galasha la mavi ya mbuzi.
Companero, nimemsikiliza JK wetu katika dakika ya 43 mpaka 49, duh! Nawaombeni wana JF msikilizeni Raisi wetu akijibu swali aliloulizwa na Brown, mimi nimepigwa bumbwazi - kweli Kikwete si mchezo, tunavuna tulichopanda LOL!
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali
Kuna mchangiaji mmoja...AstaVista1 anaonyesha kufahamu vizuri uozo tulionao kwenye huu utawala.....anasema hata diplomats wa USA walioko hapa tz wanamjua JK kwa uvundo alionao kiutawala......inawauma sana wanapoona kwao mawaziri wao wengine wanapanda subway wakati hapa tz mijamaa(miwaziri)inapanga gari kubwa za Japan.........wakati wao ndio wanatulisha.....hii inauma kwa kweli....wanamjua jk alivyo ombaomba na wanajua lengo lake Davos ni kutembeza bakuli.....wanajua yote haya......i wish watanzania wote wangekuwa na huu uelewa....vyombo vyetu vya habari kwa kweli ni aibu sana...wale raia kule vijijini hawajui uozo huu wa mtu waliyemchagua kuwa kiongozi wao.....inauma kwa kweli....inabidi tufanye kila jitihada kuondokana na huu mzigo..jk ni mzigo..hajui kuongea..hajui kujibu maswali...full kutia aibu
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk
Na wewe kwani Avatar nyingine za kutumia hujaziona? hivi huyo Regia angekuwa ni ndugu yako wa damu ungekuwa na ushujaa huo wa kuitumia hiyo Avatar mapema kiasi hiki? hebu tujaribu kufeel other people pain.kikwete hana cha kunilaumu kwa maana sijawahi kumchagua.
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
hawa walitaka kutucameron watanzania wote
hawana maana hata kuwasikiliza kuna agenda ndani ya kauli yao kwa jk
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali
Jamani mbona Tunadanganyana sisi weusi Gordon Brown is no longer British Premier and also he did resigned from a membership to the house of Commons so how comes he's a chairperson at Davos? this is the 5 years old story when Mr. Gordon Brown was Premier of Britain...
KEEP US UPDATE NDUGU YETU...
KIKWETE anakwenda kila mkutano wa Davos...
read and understood, but the reporter shows full of jealous to the president,his comments is full of provoking we can not buy his ideas.
Agenda za wazungu ni kuendelea kutuona Afrika ni koloni lao. Kumbuka Cameroun alipotaka sisi tuwe mashoga Jk hakumtukana na wala hajajibu upuuzi wake alimpatia Membe kufanya kazi hiyo lakini wao wanataka kumdhalilisha rais wetu wakati kidiplomasia wana balozi wao hapa.
Nina mashaka na kauli za waingereza kuna jambo nyumba yake ambalo haliko wazi.
Tangu Jk aingie madarakani yuko karibu na China na Marekani kwa nchi za dunia ya kwanza pengine UK haijapenda mwendo huu wamekuja na mbinu ya kummaliza kimataifa. angalau Jk nilimuona kuwa karibu na chama cha Labour alipokuwepo Godon Brown na Tony Blear huyu Cameroun wa consevertive mmmh kaja na sera za kutushurutisha ikiwemo ushoga
Quotes zote hizo hapo juu zinadai JK katukanwa. Mnaweza kuwa sahihi katukanwa lakini sababu kubwa ni kuwa yeye "anaitukanisha Tanzania". Nyote mmehusisha maneno ya aliyendika maoni yake juu ya JK kuwa sababu eti "Waingereza walitaka kutuCameroun" Jk akakataa.Uingereza imetutukana watanzania. Rais sio mtu ni taasisi. Tumetukanwa mnasema katukanwa Jk.
Hizi comments sio mpya, nakumbuka nimezisoma humu JF hivikaribuni, mtoaji anaweza kuwa amegeuza maneno kidogo lakini ngoja nilitafute bandiko lenyewe nitaliweka hapa.Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
Hawezi kubali mdahalo.I feel ashamed on the way my President ...is turned into rubles.....du !!!
You know tukiwa hapa tunampondaa lakini akiwa nje aibu Yake ni aibu ya nchi.........ni muhimu rais ajaye tumpime kwa midahalo....ili tuwe na uhakika wa ufahamu...wake....kiukweli tangu 2005 JK alikwepa midahalo mingi sana na kina mbowe na baadaye Slaaa...na Lipumba....
Upya au ukuukuu wa commenti si tatizoHizi comments sio mpya, nakumbuka nimezisoma humu JF hivikaribuni, mtoaji anaweza kuwa amegeuza maneno kidogo lakini ngoja nilitafute bandiko lenyewe nitaliweka hapa.
Pamoja na hayo, wote raisi wetu tunamjua tena tunampiga mawe hapa jamvini kila siku, hivi akimsema mwingereza ndiyo inakuwa habari? Acheni hizo mlimchagua wenyewe na mnavuna mlichopanda!
Tena wanaotukanwa ni nyie wote watanzania; yaani ankuja mtu kutoka huko anamtukana babako wee unajifanaya hayakuhusu? badala yake mnashangilia kama mazuzu!