Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

JK haoni hata haya!! Ukiangalia comments zake katika mkutano huo utangundua hakuana jipya, kitu ambacho sijakiona ni malaria!! Shame on us for keeping this man to power!!!
 
nyerere naye walimtukana na kumdhiki alipotofautiana nao tumewazoea wauza rada kwa bei ya ulanguzi
 
Ninatamani, watanzania, hasa waandishi wa habari wangeweza kuinyakua habari hii na kuifanya iwe na manufaa. Enyi wenye NGO's zinazohusika na advocacy bebeni taarifa hii, ihakikisheni kuwa ni kweli then ijengeeni hoja. Si lazima kuiweka kwenye negative side kama ilivyo but mnawezaijengea hoja chini ya vichwa tofauti kama
1. Baada ya fadhila na kuwaenzi, je ni haki kwa waingereza kumdhihaki rais wetu kwa comments kama hizi?
2. Ingawa wao ndio chanzo cha umasikini wetu kwa kutupa misaada yenye masharti magumu, hii ndio jeuri ya waingereza e.t.c

then itisheni Public dialogue seminars au public talks huku mkiwaalika wachumi mbalimbali watoe mitazamo yao juu ya kashfa hizi muone kama ujumbe hautofika kwa Mkulu.

Si lazima headings mtakazozitoa ziwe zinaenga moja kwa moja kumkashfu rais kwa sababu mkifanya hivyo hamtopata wachangiaji huru.

Mnaweza pia anzisha online discussions kwenye forums mbalimbali (za kiandishi) kisha mkasynthesize mawazo yaliyotolewa huko mkapata habari ya kureport. Big up mtoa mada. Ingawa sometimes nahisi hawa wapambe wake huwa wanamficha habari zinazomponda na kumfikishia zile tu zinazomsifia. So even hii (labda kama ataingia mwenyewe personally JF) wataiminyia tu.
 
walipotaka kutufundisha kale kamchezo kakamerun tukakataa leo wanatufunza kumtukana rais wetu tuko pamoja nao midanganyika hakunaga
 
Huu ndio ukweli, humu JF mtu angetokea na kuandika haya kwanza sio tu mods wangempa full time ban, lakini pia wangeweka stars badala ya jina lake, upuuzi.

Sasa ukweli huu ni wachache sana wanauwezo wa kuusoma na kuelewa maudhui yake. Hakuna hata moja alilosingiziwa vasco da gama wetu. Watanzania tumekuwa wajinga kila siku na sasa serikalia inaduaza elimu ili wajinga waongezeke na watawaliwe kiurahisi. JK kashindwa kwa kila kitu, alitumia nguvu mno kuingia ikulu asijue nini hasa anachofata huko. Wazungu wanajua kwa nini Watanzania ni maskini yeye anakuna kichwa na kusema hajui. Bado anamaliza miaka mitano anasema nilikuwa najifunza matatizo yenu na majitu yanaibuka na kupigia kura. Pumbavu kabisa.

Sasa tuone kama ikulu italitolea na hili tamko maana salva anadhani kurugenzi ya ikulu kazi yake ni kupinga kila hoja.

Ni mimi,
Pangu Pakavu.
 
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk

Mimi siamini kama ni kweli maoni haya yana uhusiano na kuburuzana au kuna maombi yao yamekataliwa, huyo jamaa ameongea ukweli na ingawa amempiga dongo Mheshimiwa Rais wetu, lakini ukweli upo wazi na kila mtu anayeupenda ukweli hawezi kuhusisha maoni hayo na chochote nje yake, ni maoni yanayojitosheleza kabisa, sisi ni mabwege, namaanisha viongozi wetu mishipa ya aibu imekatika, na sisi wananchi pia inawezekana tuna uoga wa virungu uliopindukia, Mungu tujaalie.
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
Mkuu hii inatisha, hivi kweli kuna watu wake wanasoma na kumpa hizi taarifa?????????? Kama ni kweli angeona aibu wala asingelikwenda kwenya huo mkutano!!!!!!!!!!!! Hii ni aibu kubwa kwa taifa na Mheshimiwa!!!!
 
Leo Vasco yuko Davos ila cha ajabu najiuliza mbona marais wengine wa a.mash wapo nchini mwao nimemwona Kagame yuko kwa M7 nikamwona na Kibaki kwake....sasa huyu mfuja uchumi anaudhuria huu mkutano umsaidie nini na ni juzi tu alitoka Malysia katika issue hizohizo ama anadhani ni semina elekezi
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi

kwani yaliyoandikwa hapo kuhusu jk ni uongo?
Uongozi wake ni bure kabisa. Ameiweka nchi kwenye hali mbaya sana.
Kazi kuchekacheka tu!
 
Richard Brunwick banaa kampiga Kikwete madongo kweli......Kikwete a Muzungu Worshiper.....We must question the nation that welcomes this "Joker's" request for AID.....He needs to be in a "no-fly" list so that he can be serious.......
Duuh! hii ni aibu kubwa sana kwa Rais wetu....i wish angesoma coment za huyu RB hakika angejiona kama yuko uchi
 
Kikwete anatuua tukiona. Waingereza ni wanafiki hakuna lolote hapo
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
Wewe MAMA POROJO hayo yaliyo semwa kuna la uongo??????? Hawajasema kuwa serikali ya Uingeleza inafanyaje au inasemaje, ila ni wananchi wa Uingeleza common public ya Uingeleza inaona uchungu tunavyo ibiwa na sisi tuko kimyaaaaaaa, kama wafu vile??????????

 
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk

Usinichekeshe, unaota kwa maandishi!!!
JK kasingiziwa nini hapa aliekuwa waziri na alishiriki kuwapua pesa ya rada kafanywa nini?? maana hayo nomoja ya yaliyoongelewa hapo......
mbona mnakuwa wazito hivi mnapewa nini tusichopewa wengine?
 
nimependa ile comment hii " he needs to be on a no-fly list so he can be serious ''
Ombi langu hii isiondolewe mapema
 
Namshangaa sana huyu JK, anashidwa kujifunza hata kutoka kwa Kagame?
I am sure atakua ni mweupe sana kichwani.
Mkapa alisema kuwa huyu jk 'hajui maana ya presidency'. Yani yupo yupo tu!
 
Inauma sana unapotembelea nchi za wenzio na kuona wanavyoendelea, wakat sie hata kile alichoacha mwalimu hatuna. Na bado unaona MIPUMBAVU inaishabikia Hii mitapeli. Jk anajua yoyote ataengia uraisin baada yake, lazima ale nae sahan moja, anachofanya ni kutugombanisha kwa misingi ya dini, kusud tupigane, ili hasira juu yake zihamie kwa uislam na ukristo, funguken macho!!
 
74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom