Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

attachment.php

attachment.php
Aisee najuta kujiita mtanzania. Huyu kikwete aibu kweli, ona sasa !
 
Aibu kubwa kwa Watanzania wote.Rais kutwa yupo angani akitafuta misaada wakati rasilimali zipo hatuzitumii!Only in Tanzania
 
angekuwa makini JK at least aache safari zinazotuibisha kwa haya ma viti moto ya ulaya,maliza gaps zilizopo na ukapumzike nje ya ulingo wa siasa na baadae tukushitaki kiulaini pamoja na mwano Liz mokooooooo.
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

attachment.php

attachment.php

....alichokisema Richard Brunwick hapa ndivyo exactly JK alivyo..na anavyoitawala TZ....hakika kabisa...Inasikitisha kuona kuwa kuna watu weupe wanamjua JK kuliko watanzania wengi wanavyomjua...Kwa alipoifikisha TZ huyu rais anayeomba omba kila kukicha..ingekua mimi ningempiga ban ya kusafiri nje kabisa....ili apate akili ya kuwashughulikia wezi...Mi naona wafadhili wanaweza kutoa adhabu nzuri kwa mtu huyu kwa kumpiga ban yeye na nawaziri wake wasisafiri nje kabisa....wao na ndugu zao na wake zao....na hata accounts zao nje ningefungia..ili wapate akili ya kuwatumikia watu wao....upepo ule wa kuwang'oa watawala aina ya kina JK na vyama vyao umeshafika TZ.....ni swala la mda tu....vijana wajiandikishe kwenye daftari la kura woote....hata kama watawala hawa wataiba kura 2015 wataondoka tu....hamna atakayekubali.....na hapo ndipo itakua kama Kenya......Uchaguzi wa 2015 hata jumuiya ya kimataifa itakua macho kusaidia maana wezi hawa wameshajidhihirisha mbele ya dunia nzima sasa....Ni rai yangu kwa wafanyakazi na vijana wa TZ kuijiandikisha kwenye daftari la kura....maana wao tu wanatosha kuwaondoa ukoo huu wa panya madarakani hapo 2015...
 
Yaani tunafuga kajambazi kanalala Magogoni halafu kuna vimburukenge hapa JF vinafikiri hatuoni hayo. Kalimwajiri kale kabanyamulenge ambako hata hakana akili nzuri kutoka Rwanda kazi yao kubwa ati kuandika riwaya ili wasisakamwe. Wacha haka kezi muda wake uishe kaondoke.
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

attachment.php

attachment.php

Mkuu nimeku quote ili niwe nayo kwenye kumbukumbu zangu.Maana mswahili mda wake umeisha,tujadili atakaye mpokea kijiti aanzie hapo mwenzake alipokosea arekebeshe haraka sana.
cc. Wizara ya mambo ya nje hamoni Safari zimezidi???Mnatuona Watz ni mazuzu sana.Tanzania hatuhitaji misaada hata kidogo.mmeshindwa kufikirisha bongo,sasa wamekata misaada tuone mtaishije.nxwjhgytr nyie
 
Watu wa nje wanaifahamu Tanzania vizuri kuliko sisi tunavyo ifahamu.Huyo ni mtu tu anayeumia kwa jinsi ya uhalisia wa mambo na kwa jinsi alivyo yashuhudia kwa muda wa miaka minane alipokuwa hapa nchini.Nchi tajiri wananchi masikini Uiongozi dhaifu.Hata kiongozi wa nchi hajui kwa nini wtanzania ni masikini.Lazima wawe na Uchungu wa kodi zao zinazokuja kama misaada ilhali tuna uwezo wa kujitegemea kwa100%NAMSHANGAA MTANZANIA ANAYESHABIKIA MAUOZO YA SERIKALI WAKATI YEYE NI MUATHIRIWA WA DARAJA LA KWANZA.
 
74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom