Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Hivi balozi wetu huko naye kayaona haya maneno huko? Mhe Membe, upo?
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali
Ninatamani, watanzania, hasa waandishi wa habari wangeweza kuinyakua habari hii na kuifanya iwe na manufaa. Enyi wenye NGO's zinazohusika na advocacy bebeni taarifa hii, ihakikisheni kuwa ni kweli then ijengeeni hoja. Si lazima kuiweka kwenye negative side kama ilivyo but mnawezaijengea hoja chini ya vichwa tofauti kama
1. Baada ya fadhila na kuwaenzi, je ni haki kwa waingereza kumdhihaki rais wetu kwa comments kama hizi?
2. Ingawa wao ndio chanzo cha umasikini wetu kwa kutupa misaada yenye masharti magumu, hii ndio jeuri ya waingereza e.t.c
then itisheni Public dialogue seminars au public talks huku mkiwaalika wachumi mbalimbali watoe mitazamo yao juu ya kashfa hizi muone kama ujumbe hautofika kwa Mkulu.
Si lazima headings mtakazozitoa ziwe zinaenga moja kwa moja kumkashfu rais kwa sababu mkifanya hivyo hamtopata wachangiaji huru.
Mnaweza pia anzisha online discussions kwenye forums mbalimbali (za kiandishi) kisha mkasynthesize mawazo yaliyotolewa huko mkapata habari ya kureport. Big up mtoa mada. Ingawa sometimes nahisi hawa wapambe wake huwa wanamficha habari zinazomponda na kumfikishia zile tu zinazomsifia. So even hii (labda kama ataingia mwenyewe personally JF) wataiminyia tu.
Massenberg, wewe ni mwandishi wa habari? unapoandaa topic kwa ajili ya kustimulate discusion unatakiwa kuweka rhetoric statement. Nadhani waandishi wananielewa. Kama nilivyosema kuwa si lazima topic iwe inamkashfu muhusika na wala haimaanishi topic inamuunga mkono.............Ndugu, ni fadhila zipi hizo na kuwaenzi ambazo Watanzania wamewafanyia Waingereza? Halafu pili, si sahihi kusema eti Waingereza wanatudhihaki wakati hizo ni comments za Muingereza mmoja tu kati ya milioni 60.
Siyo kweli kusema umaskini wetu umetokana na masharti magumu ya misaada yao, bali ni nchi kuendeshwa bila vision na strategies.
Jamani mbona Tunadanganyana sisi weusi Gordon Brown is no longer British Premier and also he did resigned from a membership to the house of Commons so how comes he's a chairperson at Davos? this is the 5 years old story when Mr. Gordon Brown was Premier of Britain...
KEEP US UPDATE NDUGU YETU...
KIKWETE anakwenda kila mkutano wa Davos...
However tackling the problem of corruption was still a "major issue", said Tanzanian President Jakaya Kikwete. "The first thing to fight against corruption is transparency," he said, adding that his country was now publishing all mining contracts as part of a new mining code. The best guarantee for an investor is transparency."
Photo below President Jakaya Kikwete holding a preparatory meeting with his delegations soon after arrival at the Davos Sheraton ahead of the start of the four day World Economic Forum held annually in the mountainous health resort.
Unachoongelea hapa ni ukweli mtupu lakini nasikitika kuwa kwa wenye mtazamo finyu watauchukulia kama chuki binafsi. Natamani kungekuwa na debate huru ya wanaompinga na wale wanaomuunga mkono ili kuelimishana kwa evidence. Najua hukunielewa maana yangu kwenye post yangu ya mwanzo but lengo langu ni kuhamasisha waandishi wa habari na wanaohusika kutoa nafasi sawa kwa pande zote mbili, zinazounga mkono na zinazopinga. Si rahisi kumfunza mtu kwa kumwambia .....wewe ni mpumbavu bila kumwonyesha upumbavu wake umelalia wapi. .... bali atajifunza zaidi kwa demo zaidi ya kuishia kumwambia you are wrong. Toa nafasi kwa mtu kujifunza kutoka kwako kwa ku-provide room kwa wote am sure utashangaa thinking orientation ya the other side. Wape nafasi kujifunza kutoka kwako.Huu ndio ukweli, humu JF mtu angetokea na kuandika haya kwanza sio tu mods wangempa full time ban, lakini pia wangeweka stars badala ya jina lake, upuuzi.
Sasa ukweli huu ni wachache sana wanauwezo wa kuusoma na kuelewa maudhui yake. Hakuna hata moja alilosingiziwa vasco da gama wetu. Watanzania tumekuwa wajinga kila siku na sasa serikalia inaduaza elimu ili wajinga waongezeke na watawaliwe kiurahisi. JK kashindwa kwa kila kitu, alitumia nguvu mno kuingia ikulu asijue nini hasa anachofata huko. Wazungu wanajua kwa nini Watanzania ni maskini yeye anakuna kichwa na kusema hajui. Bado anamaliza miaka mitano anasema nilikuwa najifunza matatizo yenu na majitu yanaibuka na kupigia kura. Pumbavu kabisa.
Sasa tuone kama ikulu italitolea na hili tamko maana salva anadhani kurugenzi ya ikulu kazi yake ni kupinga kila hoja.
Ni mimi,
Pangu Pakavu.
nyerere aliwacha mtaji gani? Mimi sizijui.
LindaCroucher 26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.
Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.
I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit
This has nothing to do with our uhusiano na Uingereza, Mama umbeya. Wanaosema haya si viongozi wa serikali lakini individual observers ambao wanaijua Tanzania, na wanamjua Kikwete, mfano huyu mfanyi kazi wa zamani wa UNDP.watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali