Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,028
Reaction score
2,732
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • kikwete-comments.jpg
    kikwete-comments.jpg
    53.3 KB · Views: 22,056
  • kikwete-anangwa.jpg
    kikwete-anangwa.jpg
    67.2 KB · Views: 25,689
Kweli, Tanzania ni tajiri ila tumeachia wawekezaji kuchota gold na Tanzanite.

Pia tumeacha mafisadi wachukue pesa wakaweke account za nje.

COmment za Richard ni realistic na zinatia uchungu.

watanzania tumekuwa mazoba mno, sijui ni upole au uwoga.

mengi yamesemwa kuhusu mafisadi, tukianzia na LIST of shame - 2007, Weak leakes, EPA, na mengine.

Watu wa nje wanatushangaa kwa ushahidi huu mkubwa hivi bado tumewaacha tu. Mbaya zaidi impact zake ni uchumi kudorora, mfumuko wa bei, huduma za afya na elimu kudorora.

bado tu tuko kimya, jamani nani atusaidie watanzania?
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
 
Duh huyu rais wetu. I am afraid Nyerere mtaji aliotuachia tumeshaula na kuumaliza. Sad but true. Tanzania we have became another banana republic adding on the already growing statistics of poor and irresponsible countries.

We should do something.
 
hawa walitaka kutucameron watanzania wote
hawana maana hata kuwasikiliza kuna agenda ndani ya kauli yao kwa jk
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
ukweli mtupu,natamani watanzania waelewa wasomeshwe comments hizi.

mwana halisi hebu weka hizi comments kwenye front page ya gazeti hilo kisha tafsri kwa kiswahili....pure truth.
 
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi

kweli wewe ni mama porojo. Kwani ktk hayo yaliyoandikwa kuna uongo hapo? Ebu kuwa mkweli na useme ktk andishi hilo ni wapi kuna uongo.
 
Duh huyu rais wetu. I am afraid Nyerere mtaji aliotuachia tumeshaula na kuumaliza. Sad but true. Tanzania we have became another banana republic adding on the already growing statistics of poor and irresponsible countries.

We should do something.

Nyerere aliwacha mtaji gani? Mimi sizijui.
 
Richard Brunwick banaa kampiga Kikwete madongo kweli......Kikwete a Muzungu Worshiper.....We must question the nation that welcomes this "Joker's" request for AID.....He needs to be in a "no-fly" list so that he can be serious.......
 
Well timed information. We knew all that and have been discussing thaes issues many times. Dont you think the time for chit chat is over. Let us DO something about it. I take this first step to ask all what shall we DO? It is shere madness discussing the same thing and showing off some thumbnails of foreign newspapers. THIS SHOULD BE THE TIME FOR ACTIONS yet we leg behind the curtains.
 
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali
 
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi

wewe yawezekana una matatizo ya akili, pamoja na ushaidi wote huo unaendelea kutete ujinga, kashifa zote juu ya serikali unaona ndo maisha bora anayopata mtanzania? au na wewe ni mmoja wa mafisadi. kaka tafakari!
 
Back
Top Bottom