Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Tangu Jk aingie madarakani yuko karibu na China na Marekani kwa nchi za dunia ya kwanza pengine UK haijapenda mwendo huu wamekuja na mbinu ya kummaliza kimataifa. angalau Jk nilimuona kuwa karibu na chama cha Labour alipokuwepo Godon Brown na Tony Blear huyu Cameroun wa consevertive mmmh kaja na sera za kutushurutisha ikiwemo ushoga

Naomba nikusahihishe ndugu. UK ndio wanatoa misaada mingi kwa Tananzia kupita donor yoyote. Hawajitangazi kama Balozi wa marekani anavyouza sura kwenye Michuzi blog kila siku lakini kaa ukijua kuwa nearly 1/3 (theluthi moja) ya bajeti ya serikali inatoka UK. Pamoja na makidai yetu ni vizuri tutambue nani anatulisha. UK wakikata misaada leo we are finished! It is that bad!

Kwa upande mwingine Marekani hawatoe hata cent moja kwenye bajeti ya serikali. Hivyo hivo China hawatoi hata yuan (Chinese currency) moja, wameishia kutoa pikipiki kwa polisi na kutufundisha sarakasi huku wakichukuwa makaa ya mawe! Kumbuka bajeti ya serikali ndio inatumika kulipa mishahara, posho, etc. Maskini jeuri? not a good idea for now!
 
yaani hapa ni kukinukisha tu...tanzania hatuna raisi tuna msanii huyu hafai hatakuwa afisa utamaduni wilaya maswa..nafikiri raisi wa kwanza duniani hovyo aliwahi kutokea
 
I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering
Laiti angejua jinsi watanzania wengi tunavyotaka mabadiliko lakini kinachotukwamisha ni baadhi ya ndugu zetu kama akina FF/Malaria Sugu pamoja na ujinga na ufukara wa wananchi wengi huko vijijini...yaani mtu anaishi kwenye nyumba ya mbavu za mbwa halafu amebandika kwenye ukuta wake wa miti na udongo picha kubwa ya Kikwete(Chagua CCM ,chagua Kikwete).
 
watanzania wenzangu hivi hamjabaini kuwa uhusiano wetu na uingereza unasuasua hata jk kapunguza safari za huko kisa hawataki kukataliwa jambo kila ombi lao wanataka tukubali


Hoja hapa ni kwamba,kilichosemwa ni uongo? hii ndio issue ya kujadili,ni vema sasa watanzania tukaacha ushabiki wa kisimba na yanga. Jibuni hoja za huyo mzungu sio kubaki kusingizia mambo yasiyo na maana
 
Wanasema ukweli mtupu. Ingawaje kuna mmoja hapo haujui ukweli kwa kuwalaumu Watanzania kumchagua kuongoza kipindi cha pili. Watanzania waliishachoka naye na hawakumchagua kuongoza kipindi cha pili, aliwekwa na tume ya uchaguzi, na hili hawa wenzetu inabidi walijue!!! Sisi wapiga kura tunalaumiwa bure, huyo ni Rais chaguo la tume ya uchaguzi!!!!

Huyu mwenzetu ni aibu kwa kweli!!!! Hivi yeye anajiona yuko sahihi kabisa?

Tiba


NEC is partly blaimed but we have also to blame ourselves we Tanzanians. In 2005 we gave Kikwete landslide victory by being manipulated by the media and party propagandists. We never cricked our brains as to whether kikwete had leadership skills and prerequisites to make good president. We all succumbed lies and manipulations and voted him into power later to realise that he didn't even deserve to be a district commissioner.

When he started failing to respond to simple question as to why Tanzania is poor. When he turned from being a president of the country but a president of skies, when he started brutally and psycholigically revenging those he fell out many years back and times ahead of 2005 elections, when he started responding with contempt to the basic demands of civil servants, then we woke up and said,"we bought a pig in a pork". Lakini it was too late to oust him through ballot box 2010 while all coersive forces comprised people he chose based on nepotism, religionism and tribalism. All channels at disposal were used to devide Tanzanians in terms of religion, creed, tribalism, reginionism in his favour. State resources-government flights, vehicles, media-TBC and daily news especially editorial comment by acting MD of the paper, army through threats, police and intelligence were all used in favour of kikwete.

Yes the majority voted against him and we all know we won elections but we never stood on guard to make sure fishy acts are not done. No sooner had parliamentary results been announced than we rushed in joy forgetting that prediential results were not yet announced. That's where the ruling party in collaboration with coersive forces capitalised on this opportunity.

Sasa tunavuna tulichopanda na iwe ni changamoto kwelikweli kwamba for sensitive issues that can influence social and economic fabric of our country we need to be very careful. We need to analyse so many factors.
 
Watanganika bwana.

Hivi wazungu ni nani? au kwa sababu ndio wafadhili wakuu wa Chadema basi kila kitu wao zaidi!!!!!!

Tatizo waarabu hawako rational kuweza kung'amua mambo hata wao wanaangalia wazungu ili kujisahihisha. Kama waarabu wangekuwa ration tungewasikiliza wao ili wewe ufurahi na CUF yako
 
Croucher

26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM

This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.
Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.
I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefi
 
Watanganika bwana.

Hivi wazungu ni nani? au kwa sababu ndio wafadhili wakuu wa Chadema basi kila kitu wao zaidi!!!!!!

Mpaka waandike kwa kiarabu ndiyo utaelewa nini?? Wazungu ni wafadhiri wakubwa wa Tanzania ambayo ni Matonya number tatu duniani. Sasa wameanza kushituka!!!
 
inafika mahali hata mapovu mdomoni yanaisha kinywa kinaishiwa gisi ya kulainisha meno na mdomo ili uweze kuongea, lakini wapi ni kama kaweka pamba kwa masikio
 
mkuu ni vema ukaacha kutumia bold na rangi rangi...unatuumiza macho...
Anadhani hapa watu wanahitaji urembo wa rangi, kumbe hapa kinachotakiwa ni material tu basi. tunahitaji kusoma kile kinachoandikwa hizo mbwembwe zingine labda aende kwenye graphics.
 

Kama kuna wagtu wanaoongoza kwa unafiki duniani basi ni Waingereza! Wanajifanya ni waungwana lakini ukweli ni kwamba ni washenzi wa kutupwa!!! Kesi dhidi ya Radar ilianzia Uingereza....je, wao wamefunga wangapi?! wangapi wamewapeleka mahakamani?! tangu lini kesi ya ufisadi ikaisha kwa kurudisha chenji?! maofisa wao waliokuwa wamehusika na ufisadi ule wamewapeleka mahakamani?! Na mbaya zaidi, walifanya ufisadi wa aina ile kwenye nchi mbalimbali; mbona hawajafanya lolote?!

Nadhani una ubongo wa mbuzi!
 
Laiti angejua jinsi watanzania wengi tunavyotaka mabadiliko lakini kinachotukwamisha ni baadhi ya ndugu zetu kama akina FF/Malaria Sugu pamoja na ujinga na ufukara wa wananchi wengi huko vijijini...yaani mtu anaishi kwenye nyumba ya mbavu za mbwa halafu amebandika kwenye ukuta wake wa miti na udongo picha kubwa ya Kikwete(Chagua CCM ,chagua Kikwete).

Ndugu yangu jisemehe wewe na nafsi yako, eti Watanzania wengi wanataka mabadiliko huu utafiti umeufanya lini na wapi?
 
mnaulizana ushoga?kazi pekee iliyobaki ya ushoga ni kuharibu vijana wetu,sasa huyu kamerun anaitakia nini tanzania leo tumuone wa maana?hatutaki kabisa.
 
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.

attachment.php

attachment.php

Kaka hivi hao wahuni wawili ndiyo wanawawakilisha waingereza wote?
 
Back
Top Bottom