Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Kweli, Tanzania ni tajiri ila tumeachia wawekezaji kuchota gold na Tanzanite.
Pia tumeacha mafisadi wachukue pesa wakaweke account za nje.
COmment za Richard ni realistic na zinatia uchungu.
watanzania tumekuwa mazoba mno, sijui ni upole au uwoga.
mengi yamesemwa kuhusu mafisadi, tukianzia na LIST of shame - 2007, Weak leakes, EPA, na mengine.
Watu wa nje wanatushangaa kwa ushahidi huu mkubwa hivi bado tumewaacha tu. Mbaya zaidi impact zake ni uchumi kudorora, mfumuko wa bei, huduma za afya na elimu kudorora.
bado tu tuko kimya, jamani nani atusaidie watanzania?
Labda tunamsubiri masia aje kutukomboa wakati mwenyewe anakuambia jisaidie nami nitakusaidia na sijaona hatua tuliyoichukua ya kujisaidia