Wahitimu wa vyuo waokolewe

Wahitimu wa vyuo waokolewe

Watu hawajiongezi kabisa, Mimi ni graduate lakini nafanya kazi aiendani na mm kabisa Lakini maisha yakenyooka sana, Vijana tunapenda sana uofisa, Akat watu tunatindua ukuta Zama Darini chimba sana mitaro [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Maisha ni elimu tosha
Ula unaumia tu Mana kusoma three to 4 years hafu kwenda kutindua ukuta roho inauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui unachoongea..ungia chimbo fanya utafit kidogo..vijana kuanzia 2013 wa MD weng wako mtaan..wengne wameshakata tamaa hata kujiendeleza kuwa mabingwa wamekata tamaa...kuna kad nying tu ambazo si kila mtu anaweza tena za science na engeneering na bado watu wako mtaan...miaka hii mi5 imekua mibaya snaa kwa wasomi wetu
Ndo Mana nasema kama Mimi msomi Sita mchagua huyu aliyesababisha wasomi tudhalilike kwa kiwango cha juu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wahitimu huwa na mawazo yafananayo na yafuatayo:

1. Ajira maana yake ni serikalini au sekta ya umma. Ukisikia wanasema, hakuna ajira, maana yake sikupata ajira serikalini.

2. Wengi wanatafuta ajira, hawatafuti kazi.

3. Kozi za ufundi sanifu huonekana ni dhalili kwao, mfano za VETA.

4. Wengine huko vyuoni hawako siriasi na masomo. Ukiwaona, huwezi kuamini wamechukua mkopo ili waje shule. Shule ni kama pikiniki fulani ya kujimwambafai kitaa kwamba na miye niko chuo!

5. Baadhi huenda vyuoni kutafuta vyeti tu na siyo ujuzi wala maarifa.

6. Ukiwaambia wachukue vyeti bila kusoma, baadhi watakuwa radhi kufanya hivyo.

7. Mtaji wa kujiajiri uko wapi? Ni kisingizio tu.

Majuzi niliwauliza vijana fulani kuhusu kujiajiri, nikajibiwa "Mtaji!?" Nikauliza unataka shilingi ngapi ili uweze kujiajiri, jibu kizungumkuti.
Unazingua tu,

Nitumie huo mtaji nianze kupiga hela fasta hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suluhisho la hili tatizo ni ajira za kudumu ziondolewe, mtu aajiriwe kwa miaka 5 tu, baada ya hapo wakajiajiri....nadhani ikiwa hivyo itatatua hii changamoto ya ukosefu wa ajira, pia uchumi utakwenda kwa kasi kwa sababu sekta binafsi zitakuwa nyingi zikiongozwa na wasomi.
Naunga hoja ,ijapokuwa Hii sheria kinamna fulani kuna ambao itawaumiza sana kwa chuki kwenda kwa watunga sheria...

Hoja yako inafikirika kabisaaa mkuu naongeza iwe miaka kumi kumi kwa kila kichwa ila sector baadhi nyeti iwe kudumu ili kuongeza ufanisi na huduma zaidi.
 
Sehemu nyingi za kujitolea zipo; hujawahi kusikia kuna madaktari wa kigeni wanatoa huduma bure....jua pale wanatafuta 'sample'
Mzee kujitolea kupo kweli au unasema tu. Fanya tafiti utajua kuwa kujitolea hakupo mzee. Nilikuwa nafanya kazi shirika Fulani Ila HR na wenzake alinifitini mpaka nikawa sipati ushirikiano mwisho wa siku mpaka nimeona niache kazi . Ni stori ndefu Ila nimefupisha tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga hoja ,ijapokuwa Hii sheria kinamna fulani kuna ambao itawaumiza sana kwa chuki kwenda kwa watunga sheria...

Hoja yako inafikirika kabisaaa mkuu naongeza iwe miaka kumi kumi kwa kila kichwa ila sector baadhi nyeti iwe kudumu ili kuongeza ufanisi na huduma zaidi.
Iondoke hii hatimiliki ya kudumu,tukiamini kila mwenye uwezo anaweza kutoa huduma stahiki kutokana na ujuzi wake
 
Mzee kujitolea kupo kweli au unasema tu. Fanya tafiti utajua kuwa kujitolea hakupo mzee. Nilikuwa nafanya kazi shirika Fulani Ila HR na wenzake alinifitini mpaka nikawa sipati ushirikiano mwisho wa siku mpaka nimeona niache kazi . Ni stori ndefu Ila nimefupisha tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachotakiwa kufanyika ni ujuzi wako ukubalike au ujiuze
 
Kama ni kujitolea kwa nini umeweka 150K? Tuthibitishie kama ukiajiriwa,watoto wetu wote watapata A kwenye somo lako katika mtihani wa taifa.
Nita deal na maeneo makuu matatu
1)Academic Area, ikihusisha tacts mbalimbali kwenye somo husika i.e Solving.

2)Despline Area, Nidhamu ya mwanafunzi na mimi mwalimu.

3)Environmental, mazingira ya darasani na shule kwa ujumla nikimaanisha Proper Classroom management.

3)Psychology Area, Generating mind of student to learn.

Kwa maeneo hayo A haitakuwa tatizo na kwanini ninasema 150K sina tamaa ya pesa bali implemetation ya vyote hivyo vinahitaji pesa kama Solving nitahitaji past papers, map sheets, white papers, generating materials.
 
Una mawazo mazuri; nenda shule yoyote binafsi, omba kuonana na mkuu wa shule au mwenye shule na ujaribu kumshawishi kuhusu uwezo wako wa ufaulishaji
 
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kazi kumpata HOUSE GIRL kuliko mtu mwenye MASTERS au BACHELOR. Hii imetokana na ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu.

Hii imesababisha sintofahamu kwa wazazi juu ya future za watoto wao ambao wako mashuleni na wale ambao wamemaliza vyuo tayari.

Jambo la kushangaza zaidi ni baadhi ya kada kuwa na watu wenye elimu ndogo wanaolipwa mishahara ambayo inafanya wasomi wa juu wadharauliwe, embu imagine msomi anendesha BODABODA alafu dereva wa VX la waziri ni form four tena failure, Mwanajeshi anadrive BIMA graduate anaendesha bajaji ya BOSS, na kada nyingine nyingi

Wito wangu kwa serikali ni kurekebisha mifumo ya utoaji ajira ambayo itawafavour GRADUATES

Graduates pia wanaweza kuwa Madereva, Askari, Wanajeshi, wasaidizi wa viongozi, n.k

Lakini pia ni muda sasa wa kupitisha sheria ambayo itawataka taasisi kubwa zote Tanzania kuwa na Internships angalau asilimia 10 ya waajiriwa wote katika Taasisi fulani wawe interns nadhani tutapunguza ugumu wa maisha kwa hawa Graduates wanatia huruma kwakweli.
We kwa akili yako ya kawaida, nani anahitajika kusaidiwa kati ya bachelors, Masters, diplomas graduate VS darasa la saba failure, form four failure? Hapo gradutes wapambane na hali zao, wameshasoma vitu vingi huko vyuoni watengeneze ajira na sio kutafuta huruma ya serikali kuwapatia chochote kitu
 
Kwa nini darasa la saba failure ndio wasaidiwe kwani walifelishwa huko shule siwaliferi wenyewe wote tulipelekwa shule.
 
Back
Top Bottom