Wahitimu wa vyuo waokolewe

Hiyo unaambiwa not possible kwa kipindi hiki hiyo unayoongelea wewe ilikuwa enzi ya JK huko.
Siku hizi hata kazi ya kujitolea bure hupewi.
Halafu graduates inabidi kuomba nafasi za kujitolea kwenye mashirika Napo ukipata chance wanakuwa wanakupa amount kiasi pia unajifunza, Mimi nikianza kwa kujitolea Hadi watu walinishangaa lakini umenisaidia kujifunza mengi na nikapata fursa
 
Hiyo unaambiwa not possible kwa kipindi hiki hiyo unayoongelea wewe ilikuwa enzi ya JK huko.
Siku hizi hata kazi ya kujitolea bure hupewi.
Unaomba mashirika mbalimbali Tena nafasi hutangazwa una apply, hyo ni njia iliyonisaidia na imesaidia wengi kufika hapo walipo
 
Zinatangazwa wapi huko?Hayo matangazo muda mwingine hayana impact huwa wanatangaza kuwafumba watu lkn tayari wanakuwa wameshaandaa watu wao.
Kupata kwake ni kubahatisha tu na sio kwa ujanja wako au juhudi yako
Unaomba mashirika mbalimbali Tena nafasi hutangazwa una apply, hyo ni njia iliyonisaidia na imesaidia wengi kufika hapo walipo
 
ukosefu wa kazi ni janga la kidunia
kwa hali ya sasa graduates waache kuchagua kazi life is a game wenye bahati ya kuajiriwa waajiriwe walio baki wajitahidi kufanya kitu chochote cha halali na maisha yaende
 
Wewe jamaa ni zaidi ya zero brain siku hizi ni vigumu sana taasisi za umma hata binafsi kupokea mtu bila kuwa anaekufahamu hapo wanabana sana wanataka wanaopitia TaESa na hao mkataba wao ni mwaka mmoja then unarudi kitaa kupambana na hali yako.

Acha kuchosha watu kwa kubisha usichokijua
Tatizo ni fani uliyosomea,na sio muajiri; nakushauri ukasome fani inayoweza kukufanya ukajiajiri
 
We jamaa ni either bado uko chuo tena miaka ya mwanzo mwanzo mana unaongea theory tupu ambazo haziko applied kabisa, Ficha ujinga wako mkuu
Nilimaliza degree ya kwanza 2007, na nilikubali kufanya kazi ya kipuuzi isiyoendana na ujuzi wangu kwa kujitolea; no payment ila ziliniongezea ujuzi mkubwa tu
 
Zinatangazwa wapi huko?Hayo matangazo muda mwingine hayana impact huwa wanatangaza kuwafumba watu lkn tayari wanakuwa wameshaandaa watu wao.
Kupata kwake ni kubahatisha tu na sio kwa ujanja wako au juhudi yako
Si kweli mbona Mimi nilipata bila kujuana na mtu, endelea ku apply bila kuchoka maana Ni bundle lako tu,maana Mimi kabla ya hapo nilisha apply nafasi nyingi sikumbuki idadi, Yani daily naaply kazi hata tano Hadi nilivokuja kupata hii, Sasa graduates mna kata tamaa hamu apply mkifikiria watu wote hubebwa
 
Back
Top Bottom