Wahitimu wa vyuo waokolewe

Wahitimu wa vyuo waokolewe

Graduates wa next week wenye iphone 7 plus na PC ya apple mnawaelewa kaka zenu? Karibuni mtaani
Nina 2 year sasa mtaani mashairi ya D-knob ELIMU MTAANI NAYAJUA Verse zote! Karbun fellow graduates wale waliosema mkimaliza nichek sasa watakuja na excuses kibao kuwa-soundisha tukutaneni October!
 
Shule ya kujitolea itayonipa 150K kwa mwezi nipo hapa.
Kama ni kujitolea kwa nini umeweka 150K? Tuthibitishie kama ukiajiriwa,watoto wetu wote watapata A kwenye somo lako katika mtihani wa taifa.
 
Unaonekana una kaujinga fulani kichwani kwako lakini unakaficha kwa elimu yako ndogo

Kwani Ukimaliza Form4 Unashikiwa viboko kwenda form 5 kwann usiende udereva na ww, kwanini usiombe jeshi, Kwa nini usiende kusoma ufundi stadi Veta, kwanini usiwe mjasiliamali

Wewe uliona fursa ipo kwenda kusom Form 5 ukafika hadi chuo kikuu? Endelea na elimu maana naona kila mkipass mitihani mnaenda level ingine, Msiwe mnakwamia Degree , endeleeni hadi masters na huko mbele

Kila mtu anachagua maisha yake yaweje
Hapo kwa madriver kaonesha tu elimu yake mgando na wivu
 
Kingekuwa ni kitu cha kawaida wangefanya bila shida.

Hapo unachoshauri ni kama kuwashauri watoto walioachiwa urithi na wazazi wao kuwa wapambane na hali ngumu ya maisha bila kutumia hata chembe ya mali za wazazi wao.

Hii ni kitu mbaya sana kwa future generations. Hii inchi tunakusanya kodi, tuna madini na rasilimali mtaji za kutuwezesha kufufua taasisi na kuajiri vijana wengi na kuwalipa mishahara. Ni aibu sana kwa serikali kutoa matamko ya kuwataka vijana kujiajiri ile hali wao wenyewe hawajapitia hiyo zahma ya kujiajiri.

Ni mtu asie na akili tu ndie ataefikiria hivyo....
Yule Dr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom