Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,232
Naamini kutokuwa na pesa inachangia wengi kutokupata kazi ukipigia ufikie zahanati au shule 2 tu unaona unahita mauri ndefu sometime mfukoni peupe au unapesa ya chai.Anzia zahanati,ukikosa toka uende nje ya mji au wilayani
Mfano naamini kwa mwalimu aamue kweli kwenda shule zinazozunguka Dar zote hakosi sehemu ila kufanya mzunguko huo anahitaji pesa ndefu.
