Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,232
Serikali kuwapa kiinua mgongoa pale tu wanapoingia mtaani let say 500K kila mhitimu call it Going Boom.Pande zote mkuu
Wahitimu kupambana kwa njia yoyote ile.
Serikali kuwapa kiinua mgongoa pale tu wanapoingia mtaani let say 500K kila mhitimu call it Going Boom.Pande zote mkuu
Kama hukusoma walaumu waliokuleta duniani
Ni ngumu hiyo kufanyika,kwa hali halisi ni muhitimu kupambana anavyoweza ili aweze kutimiza ndoto zake,iwe kwa kuajiriwa,kujitolea au kujiajiri.Serikali kuwapa kiinua mgongoa pale tu wanapoingia mtaani let say 500K kila mhitimu call it Going Boom.
Wahitimu kupambana kwa njia yoyote ile.
Kama waliweza kuutoa ujinga wako,ni jukumu lako kujiendeleza kama una IQ kubwa lakini. Kuna raha sana jina lako likianza na Dr/Prof; sio jina ulilozaliwanalo ndilo unakufa nalo.Nawashukuru wazazi wangu kwa kunipigania kuufuta ujinga kichwani,vinginevyo ningekuwa pimbi kama wewe wa kolomije.
Duh kweli nimeamini watanzania ni washamba/walimbukeni.Kama waliweza kuutoa ujinga wako,ni jukumu lako kujiendeleza kama una IQ kubwa lakini. Kuna raha sana jina lako likianza na Dr/Prof; sio jina ulilozaliwanalo ndilo unakufa nalo.
Kubwa sana mkuu,hasa kwenye 'knowledge' vitabu unavyosoma vyuoni vimeandikwa na hao mabingwa wenye hizo 'title'; taaluma ziheshimiwe tu. Haziko sawa na biashara za kichuuzi mkuuDuh kweli nimeamini watanzania ni washamba/walimbukeni.
Wenzako katika nchi walizosoma,wakaelewa masomo(sio kukariri makaratasi) na kuelimika huwa hawana time na hayo majina bali wataonesha output kwa jamii.
Wewe tangu usome jalalani umeleta impact gani kwa jamii?
Kubwa sana mkuu,hasa kwenye 'knowledge' vitabu unavyosoma vyuoni vimeandikwa na hao mabingwa wenye hizo 'title'; taaluma ziheshimiwe tu. Haziko sawa na biashara za kichuuzi mkuu
Sasa vitabu visipoandikwa mkuu,huko mashuleni na vyuoni mtaenda kujifunza kwa kutumia nini?Kuimba ngonjera au? Taaluma itabaki kuwa taaluma tuKwa hiyo lengo la kusoma ni kuandika vitabu?kadai ada zako mkuu hizo hela bora ufugie kuku
Sasa vitabu visipoandikwa mkuu,huko mashuleni na vyuoni mtaenda kujifunza kwa kutumia nini?Kuimba ngonjera au? Taaluma itabaki kuwa taaluma tu
Kada ya taaluma ni tofauti na kada zingine,hakuna ile kitu ya kusema ndio mzee,tafiti unai-challenge na tafiti nyingine,ndio maana kunakuwa na matoleo mbali mbali ya vitabu vya aina moja kutokana na kuongezeka kwa maarifa kutoka sehemu mbalimbali.Sasa wasomi wote wakiwa kazi yao kuandika vitabu halafu mwisho wake nini?Kwa nini hiyo kazi ya kuandika vitabu asiifanye mtu mmoja tu na wengine mfanye ubunifu mwingine?
Kada ya taaluma ni tofauti na kada zingine,hakuna ile kitu ya kusema ndio mzee,tafiti unai-challenge na tafiti nyingine,ndio maana kunakuwa na matoleo mbali mbali ya vitabu vya aina moja kutokana na kuongezeka kwa maarifa kutoka sehemu mbalimbali.
Mjasiriamaliwewe ni mwalimu?
Mjasiriamali
Kila idara unatakiwa uwe fitsasa ujasiriamali ndio unausomea phd?
Kila idara unatakiwa uwe fit
Huwa ni hobi tu mkuu, ni sawa na mwingine kupenda kuvaa jinsi na mwingine kupenda kuvaa sutiunapoteza hela zako tu bure.
Kwenye nyanja hiyo darasa la saba wanafanya vema kuliko waliosomea,wewe utaishia kuwa motivation speaker tu.
Halafu watu wa darasa la 7 kama akina abood wataendelea kumiliki viwanda
Huwa ni hobi tu mkuu, ni sawa na mwingine kupenda kuvaa jinsi na mwingine kupenda kuvaa suti
Ni kweli ila inategemea na malengo uliyojiwekeakama unafanya kujifurahisha tu hapo sawa ila haitakusaidia kutoboa maisha itakusaidia kupata hela za kula tu.
Tuseme wanaograduate wote wamesoma udakatari wataajiriwa wote?Sijawahi kusikia daktari bingwa wa upasuaji anakosa kazi; namaanisha tusome vitu au fani ambayo si kila mtu anaweza kufanya
Izo ni asset wasiuzeGraduates wa next week wenye iphone 7 plus na PC ya apple mnawaelewa kaka zenu? Karibuni mtaani