and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,411
- 40,102
Chuo TIA MAJI TIA MAJI hiki hakuna mfano!
Wew jamaa unafikra tuli mithili ya wahaya wa ngara.....dont advertise ur foolishnes!!!Ukisoma hapo then......its illogi al mystereous of many decades ago.Yaani we usome open Mimi nisome udsm tuwe sawa?
Haswaaa labda jilinganishe na ustawi au cbe
Acha dharau, kwa maoni yako haya tu inaonesha si wote wanaohitimu UDSM wanatoka na elimu toshelevu.
Hakuna Profesa yeyote makini atakayetaka kujioanisha (associate) na Chuo kama OPEN UNIVERSITY maana huko kutamporomeshea hadhi yake. We hujiulizi chuo kikuu cha umma kinakwepa kutoa kozi za uhitaji mkubwa hapa nchini kama MEDICINE, PHARMACY na nyininezo nyingi za mrengo wa SAYANSI ANGAVU (PURE SCIENCES) wao wamekalia BBA, SOCIAL WORK, PSYCHOLOGY na TOURISM ndo ujue pale kuna tatizo!!! Poleni Open University.
du we kweli ngalibaMi niliajiliwa sehemu kwa elimu ya form six...lkn nina degree yangu safiii,jamaa hawaitaki wanasema kama nindegreebasi niipate nikiwa kazini sio hiyo nilyoipata wakati bado hawajaniajili...wao wanatambua kuniajili na Form six,nikaona uiswe tabu...fasta nikaanza msuli wa OPEN...nikapiga zangu miaka miwili ya fasta nikatia degree yangu mfukoni...nikasubiri mwaka wa tatu kwenda tu ku-graduate maana siku hizi wanataka degree walau "minimum" miaka mitatu...Now nina gamba langu na nimeshalipeleka ofisini..sasa wale wabanaji ngoja nione watanibania wapi...na bado ntaitoa degree yangu ile nyingine nawapa kwa lazima file liwe na degree mbili...Yaani "taratibu" nyingine ni hovyo sana,
Sio kweli kuna vijana wengi sana wanasoma open...Ni ukweli mtupu OPEN UNIVERSITY zimeanzishwa kwa watu waliokosa nafasi/muda wa kwenda universities za kawaida (CONVENTIONAL UNIVERSITIES) hapa AFRIKA zimekuwa kimbilio la wanasiasa UCHWARA na maafisa wavivu huko serikalini hasa halmashauri/SERIKALI ZA MITAA (SM) wasiotaka kuachia vyeo vyao kwenda shule/vyuo PROPER wanaotaka digrii kwa manufaa yao ya kisiasa/kustaafia/CV ya kusomwa makaburini.
**** 60% ya wanafunzi wa OUT ni watu wenye umri wa kukaribia kustaafu (55-59 years old) KWA NINI???TAFAKARI........Asante.
OUT hakuna ushindi Wa mezaniopen msingi wake ulikuwa nn hapo utapata jibu kwa nn unadhaurika,tatizo lenu nyie mlio feli zamani ukisoma hapo unataka kuwa sawa na UDSM huo ujinga wenu, open University, ndo mana wana siasa wengi wanapata degree zao hapo za kupewa, sasa unataka kujicompare na UDSM ama kweli rudi nyuma angalia uliangiaje hapo au umesomaje ucje tu kulalamika ana angalia dhumuni lakuanzishwa kwake hicho chuo na mission na vission yake ilikuwa nn
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKwa jinsi unavoandika we we ni empty set hata udom hujaikanyaga we we
Open University kichefuchefu!
Ndio......mkuu kabisaUDSM mnapopasifu eti kuna elimu bora hakuna lolote mwendo ni full kudesa tu. Afadhali open mwanafunzi anakomaa kama kuku wa kienyeji ili afaulu mitihani.
Nina miaka 23 nasoma OUT na nilifaulu vizur advanceNi ukweli mtupu OPEN UNIVERSITY zimeanzishwa kwa watu waliokosa nafasi/muda wa kwenda universities za kawaida (CONVENTIONAL UNIVERSITIES) hapa AFRIKA zimekuwa kimbilio la wanasiasa UCHWARA na maafisa wavivu huko serikalini hasa halmashauri/SERIKALI ZA MITAA (SM) wasiotaka kuachia vyeo vyao kwenda shule/vyuo PROPER wanaotaka digrii kwa manufaa yao ya kisiasa/kustaafia/CV ya kusomwa makaburini.
**** 60% ya wanafunzi wa OUT ni watu wenye umri wa kukaribia kustaafu (55-59 years old) KWA NINI???TAFAKARI........Asante.
Chuo Kikuu Huria ni chuo cha ajabu sana. Mambo yake ni hURIA HURIA, Ubora wake hali kadhalika! simshauri mwenye akili timamu asome chuo hiki.
Mimi nadhani wanao dhalau watakuwa ni wale ambao elimu haija wakomboa,sababu open university ni huo kinacho tambulika na serikali na udahili wao hufwata hatua zote za kisheria,Na jambo jingine linalo pelekea watu kudhalau kikubwa ni ulofa na upumbavu tu sababu huwezi ukawa una appriciate Cisco inayo fundishwa online na ukadhalau watu wanao soma open university,Huu ni utumwa wa fikra.Hivi kwa nini jamii ya kitanzania mmetokea kutudharau sisi wahitimu wa Chuo Kikuu Huria?
Tumekosea wapi jamani? sisi mbona ni kama wahitimu wengine kutoka vyuo vingine vikuu? yaani nimehudhuria interview kadhaa humo ni dharau dharau mwanzo -mwisho kisa nimesoma Open University of Tanzania?
Dharau hizi hazivumiliki asilani. Tumechoka na punde itabaki historia. INAUMA, INAUDHI!!