Inauma na najua inuma,ila ukweli ni huu,na ndio maana watu wanadharau elimu ya Open Universities.Open University ni alternative kwa wale walioshindwa,narudia walioshindwa kupata mainstream University education.Kwa nini wameshindwa is an area of debate.Ila kwangu mimi hawa wanaoshindwa mainstream uwezo wao ni mdogo,na ndio maana wameshindwa na ndio maana pia hata wanapomaliza elimu yao wanadharaulika.Mimi naamini kwamba Open Universities ni moja ya mikakati ya kuchakachua elimu.Unaweza ukakataa,lakini hiyo haibadili ukweli.Najua ukweli huu utakuumiza,lakini ni vema ukaujua kama ulikuwa huujui.
Hivi kwa nini jamii ya kitanzania mmetokea kutudharau sisi wahitimu wa Chuo Kikuu Huria? Tumekosea wapi jamani? sisi mbona ni kama wahitimu wengine kutoka vyuo vingine vikuu? yaani nimehudhuria interview kadhaa humo ni dharau dharau mwanzo -mwisho kisa nimesoma Open University of Tanzania? Dharau hizi hazivumiliki asilani. Tumechoka na punde itabaki historia. INAUMA, INAUDHI!!