😂 Misheni ishafelia mikononi mwake[emoji38][emoji38][emoji38]
Ofisa screpa hakuskii kabisa
[emoji23] Misheni ishafelia mikononi mwake
Wewe kama Screpa huna jipya[emoji1787] Mama Dee hana budi kuchukua Altenative.Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).
Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.
Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine
'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.
Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).
Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?
NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
😂 Copy, do not engage, i repeat, do not engage its a trapHatuna msaada nae tena
Abort the mission[emoji23][emoji23]
Simu ya mwanamke haishikwi bro .!!!!!! MwikoJitahidi sana kwa kushtukiza kuomba simu yake upige picha,jisemeshe camera yangu inasumbua halafu uombe yake tendo hili lifanyike ghafla na Kwa kushtukiza.Utajua yanayoendelea kwenye Simu yake...
Usipoziba ufa utajenga ukuta,..fanya uchunguzi wa kina yaani kun'ywa maji ya bendera kweli kweli unapoamua kuutambua ukweli.Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).
Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.
Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine
'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.
Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).
Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?
NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Unaambiwa jamaa huwa wanapita mlango wa mbele ila kuondoka wanaondokea wa nyumaKwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).
Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.
Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine
'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.
Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).
Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?
NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Wanama now days huwa wanatetea damu zao mnoooomwache aende afu akishaenda wasiliana na mama yake ili ujue kama alifika au la....ila hapa kuna harufu ya dyudyu 😂
😂😂😂Yani hii haitaji usome Cuba hii hapo azania tuu
We jamaa mbona umeniandikia nilivyotaka kukoment?[emoji848][emoji848][emoji23]yaani iko wazi kajamaa kanatombewer mkeBro kwa elimu yangu ya darasa la 4C shule ya msingi Mwanamboka... Mkeo anaenda kukojolewa... Halafu umesema for 2 years hujawah kumfumania au kumhisi..? [emoji28] She's very smart atakua alisomea Cuba namna ya kuishi kwa umakini...
Ila kuna kitu hakipo sawa, inaonekana mkeo hakueshimu hakuogopi anakudharau, inaonekana umempa nafasi ya kukuona wewe fala sana... Yaani hiyo msg ilitosha kabisa aogope awe na wasiwasi asitoke nje ya nyumba mwaka mzima... Ila cha ajabu bado anakuomba ruhusa anaenda sehem unamkatalia anakupa sababu nyingine eti anaenda kwao kusalimia [emoji28][emoji23]... Mimi nitombewe tu dharau za wazi hivi ninamtoa mtu roho kimya kimya...
Anyways ndoa njema bro
Amina....Ee Mungu ifunike hii ndoa na kila jambo adui alilokusudia kuwa njia ya kuivuruga ndoa hii lisifanikiwe. AMEN.
Wanawake wasioridhika kwenye ndoa zao ndio chanzo cha kufanya wanaume wasio kwenye ndoa kuona ndoa ni ni kama gereza lenye mateso ya kila aina na yasiyo na ukomo .... Mungu tusaidie kizazi hiki.