Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.

Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.

Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Atawalipa tu ,Kwani Kuna hela anaisikilizia,,
 
Wahuni ni wao kwa kukubali kutumika kuandika habari za uongo na za kukashifu wengine na kumpamba mtu fulani
 
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.

Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.

Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Hahaaha ndio waliokua wanahariri ule uchafu sio? Safi wacha karma ifanye kazi
 
Wao hawakujua kuwa mfadhili wa gazeti lao Ni marehemu.....Pesa zitatoka wapi sasa
 
Huu uzi ni burudani tosha ...hivi kweli mtu ni msomi, una akili timamu, una familia, unamwambia mkeo nakwenda kazini, mwajiri mwenyewe ni Musiba🤣🤣😂😂
 
Kwani musiba alikuwa mmiliki wa chochote? Huyo alikuwa Toilet paper tu. Kisha kuwa flashed.
CCM vibaraka wote wajipange upya. Kazi iendelee.
Wapo watu wanasema Musiba alipandikizwa na watawala kuwasemea ovyo wabaya wa Magufuli na serikali yake,kumwahidi pesa nyingi.
Walijua udhahifu wake,wakamjaza fedha na kinga ya kutoguswa na vyombo vya dola.
Sasa mambo yamebadirika Magufuli kafariki na mkataba wa Musiba umekatishwa,labda hata kinga ya kusema sema ovyo imefutwa,Musiba kaingia mitini.
Hao wahariri walitumika na wakapewa mshiko sasa wanatafuta attention ili wale upande wa pili,haiwezekani.
Watafute kazi nyingine kuliko kupoteza pesa zao kumshtaki Musiba. Wasome alama za nyakati
 
Kuna kitu mna-mis hapa kwenye hili sakata. Musiba tayari ameshageuziwa kibao na wale aliokuwa anawatuka. Hapa hawa jamaa wanatumika kama decoy tu. Wenye usukani sasa hivi wanataka kumshughulikia kwa njia za kitaalam. Hivi hao ''wahariri'' mnafikiria walikuwa hawajui ni nini kinachoendelea? I mean mlidhani walikuwa wanajua Musiba ndiyo anatoa fedha au gazeti linajiendesha kwa faida? Hawa wamefuatwa na watu wakapewa maelekezo ya nini cha kufanya.
Uko sawa 100%
 
Hao wahariri lazima wana aina fulani ya uwendawazimu.

Ni sawa na mtu aliyekodiwa kwenda kufanya ujambazi. Halafu baada ya kuganya ujambazi, akapewa malipo pungufu, kisha anatoka na kusema kwamba aliyemtuma ni mhuni, na ataenda mahakamani kumshtaki.
 
Back
Top Bottom