GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,551
- 108,885
Simpendi Cyprian Musiba ila nitamuona Mpumbavu zaidi kama akiwalipa kwani kwa aina ya Uchochezi walioufanya dhidi ya Watu wasiokuwa na Hatia nchini huku akiwachonganisha na iliyokuwa Serikali ya Hayati Rais Dkt. Magufuli Mshahara pekee unaowafaa hawa Wahariri ni Kutolipwa kabisa, Njaa iwapate na ikiwezekana wapotee kabisa duniani au waanze kuwa Mashoga ( Mabwabwa ) hapa mjini.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu...