King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Kwanza tabia ya kwenda kushinda kwa watu ni mbaya kweli! Walau mtembeleane kwa 3hrs afu watu waondoke,unless mko close kweli!
Mie nikijiwa na wageni wavamizi inategemea kama nataka kuwa na muda nao,otherwise nawadanganya tuna mualiko very important, na kuwapa muda wa like 1 hrs. Aisee ukiwa hauko kwenye mood ya ku-entertain don't act up! Unless ni mgeni kutoka 1000 kms away na hakua na simu yangu!otherwise sie twajiandaa tutoke or else kama wanafaa kuwaachia nyumba poa.