Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
blogggs ipi hiyo?
halafu wewe upoo?
yaani...ndo ninihivyoo??????
hahaha nipo lahazizi hujanitafuta....I miss you though!...kisses honey....
blogggs ipi hiyo?
halafu wewe upoo?
yaani...ndo ninihivyoo??????
Ah, kawaida hua naanza tu maPM hadi unaniblock mwenyewe (Muulize AshaDii). Ila sasa siku ile tulikua katika mchezo wa maswali na majibu ndio nikajifanya kuuliza. Kumbe unakumbuka? ngoja sasa nikuchukulie hatua. lolWewe uko upande upi? B'se juzi uliniuliza in advance if you could PM me. Kungekuwa na ubaya wowote kama ungeni-PM bila kuuliza kwanza? Au dio ustaarabu wenyewe? lol
Hiyo ya kufia na kuozea nyumbani mara nyingi huwakuta watu wasio na uhusiano mzuri na ndugu zao au/na marafiki zao. Watu wenye uhusiano mzuri na wenzao walau huwasiliana kwa simu. Iwe kwa kupigiana au kwa jumbe fupi fupi za kimaandishi. Na ndiyo maana kuna kitu kinaitwa 'welfare check" (hasa kwa Marekani).
Ukiwa na rafiki au ndugu na hujamsikia kwa siku kadhaa na si kawaida yake kukaa kimya unatoa taarifa polisi na kuwaomba wafanye welfare check. Sasa mara nyingi wanaofia ndani na kukaa kwa muda mrefu hao ni wale 'loners' au 'anti-socials'. Hawa hata kwenye jamii zetu za Kiafrika tunao.
Kwako inaweza iwe ustaarabu lakini kwangu bado si ustaarabu. Ni tofauti ya kimtazamo tu. Kwa mfano, kuna watu ambao hawaoni tabu kujamba sehemu yoyote ile. Wao wakijisikia tu wanaachia. Sasa wengine wanaweza kuwaona watu hao kama hawana ustaarabu lakini wao hao wajambaji wanaona kujamba popote pale ni jambo la asili tu na hivyo halina ubaya kwani kila mtu hujamba na kama ni hivyo kwa nini mtu ujifiche fiche.
Kama babu yako hana tatizo na wewe huoni ubaya, basi hamna neno. Mimi siwezi na sina mazoea ya kwenda kwa watu bila kuwaarifu unless kuna dharura. Lakini kwenda tu hivi hivi hapana. Na kwangu napenda iwe vivyo hivyo. Mtu asiibuke tu bila taarifa unless ni dharura. Akiibuka bila taarifa nitam-mind.
More power to them!
Ah, kawaida hua naanza tu maPM hadi unaniblock mwenyewe (Muulize AshaDii). Ila sasa siku ile tulikua katika mchezo wa maswali na majibu ndio nikajifanya kuuliza. Kumbe unakumbuka? ngoja sasa nikuchukulie hatua. lol
Mi nipo upande wa watu kua wazi na tusijifanye western sana hiyo ya wageni kuja tena siku ya sikukuu sio mbaya... Ila tukumbuke, hata katika desturi zetu na ustaarabu wetu kuna limits.
NN nimependa analysis yako hasa kwenye issue ya ustaarabu kuwa inatofautiana from one society to another hata from one person to another. Siku nikitaka kuja kwako najua itabidi nikutaarifu mapema. Siku ukitaka kuja kwangu huna haja ya kunitaarifu.
....Yes dear....ataka kusema mambo yanapomzidia 🙂🙂
Duh! Hata mie nilikuwa sijashtukia kama ni Bubu Ataka Kusema. Naona umebatizwa upya! Kipaimara lini mazee?
umetususa naona..
bloggs ipi hiyo?imefanana kila kitu na nilichoandika?
Ah, kawaida hua naanza tu maPM hadi unaniblock mwenyewe (Muulize AshaDii). Ila sasa siku ile tulikua katika mchezo wa maswali na majibu ndio nikajifanya kuuliza. Kumbe unakumbuka? ngoja sasa nikuchukulie hatua. lol
Mi nipo upande wa watu kua wazi na tusijifanye western sana hiyo ya wageni kuja tena siku ya sikukuu sio mbaya... Ila tukumbuke, hata katika desturi zetu na ustaarabu wetu kuna limits.
...ndiye mie Mkuu haukuwa ubatizo rasmi 🙂🙂 ila modifications tu za hapa na pale 🙂🙂....nadhani ni zaidi ya mwezi sasa. BOSS alikuwa wa kwanza kuniPM kwamba hakujua kama ni mimi, kumbe inelekea wako wengi wanaodhani BAK ni mwanachama tofauti.
Ah, nilitaka kuanza ila sasa with maneno kama haya unanivunja moyo... 🙁Kumbe ulijifanya. Nilindhani ndio zako. Ukini-PM sana nakupa na password yangu kabisa. lol
Hiyo ni baraka, maana sehemu za outing ziko nyingi sana, ukiona watu wamekuja kwako kufanya outing ya sikukuu yao umshukuru Mungu.
Pia kwenye sikukuu kuna mabalaa mengi sana, kama kuibiwa, ajali na kadhalika, huenda Mungu amekuepusha.
Hata mimi sikujua aisee. Nilishangaa kuona unaonekana mwenyeji sana ila sijawahi kukukuta popote. Now it all makes so much sense......ndiye mie Mkuu haukuwa ubatizo rasmi 🙂🙂 ila modifications tu za hapa na pale 🙂🙂....nadhani ni zaidi ya mwezi sasa. BOSS alikuwa wa kwanza kuniPM kwamba hakujua kama ni mimi, kumbe inelekea wako wengi wanaodhani BAK ni mwanachama tofauti.
Sio kujivua gamba huku? Ungekuwa umeacha avatar ile ile labda ningeshtukia. Wengine tunajua watu kwa avatar zao tuu. Yaani hata mgeni akija kwako bila taarifa anaweza kugeuza kwa kudhani sio wewe. lol
Sio kujivua gamba huku? Ungekuwa umeacha avatar ile ile labda ningeshtukia. Wengine tunajua watu kwa avatar zao tuu. Yaani hata mgeni akija kwako bila taarifa anaweza kugeuza kwa kudhani sio wewe. lol
Hahahaha nipo ndugu yangu...Busy nafikuza benjamins...Longtime m2wangu...anyways nimeiona leo katika matembezi yangu kenye kijiwe fulani...check u r inbox mwanawane....
Of late alikua na avatar ya Will smith na mwanae so...Bubu mara nyingi avatars zake huwa ni za MJ! That should have been the first clue.
Bubu mara nyingi avatars zake huwa ni za MJ! That should have been the first clue.