Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

Boss, kwangu mimi wageni wanakaribishwa anytime. Wakija kwangu na kama nina muda wa kuwaentertain nitafanya hivyo. Kiafrika naona ni poa. Wageni ni baraka. Mgeni awezakuwa malaika. Kwa ughaibuni ndio sitaki mtu aje kwangu bila taarifa. Ila nikiwa bongo, wageni karibuni sana anytime mnipe baraka zenu.
Shukran

Kwa hiyo hutaki baraka ughaibuni?
 
Kwa hiyo hutaki baraka ughaibuni?
Maisha ya ughaibuni schedule zake ziko tight sana mkuu. Ukiangalia nyumbani schedule za watu wengi ziko a bit laid back, which I love. Again, nimeona wageni wakija nyumbani kwetu bila kutoa taarifa in advance toka niko mdogo hadi nimekuwa mtu mzima. Sioni tatizo wageni kuja kwangu as long as hakutakuwa na udokozi ama matatizo mengine. Wageni ni baraka. Wageni wawezakuwa malaika. Kiafrika wageni hawatakiwi eti kupiga simu kwanza sijui watoe taarifa unless wanakuja kwenye shughuli ama mkutano ama kikao nyeti.
Wageni karibuni anytime
 
vp wakija na bia zao na za kwenu? Halafu wawe wamebeba grill na nyama tamu kuliko zote duniani na masala zake pamoja na mapochopocho mengine kwa ajili ya BBQ?
labda mbele siyo bongo
 
Wengine tunaishi kwa bajeti bana. Sasa haya mambo ya kuibukiana bila taarifa ndo mwanzo wa kuharibiana bajeti.

Neno hilo NN. Mna vigunia vyenu vya kilo 50, 50 za mchele na unga. Mnajua fika labda vinaweza kwenda kwa mwezi au zaidi sasa yakaongezeka matumbo mengine matatu au manne kila Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu (kama zipo) mnakuta vigunia vimekatika baada ya wiki mbili. Hapa lazima uwe mkavu ili kumkomalia mtu akuelewe kwamba tabia yake/yao ya kuzuka bila taarifa tena karibu na saa za mlo haikubaliki.
 
Hivi na nyinyi mshawahi kufeki kama unaongea kwenye simu pale umwonapo kwa mbali mtu ambaye unayemfahamu anakuja eneo ulipo wewe?

Ile umwonapo tu unachomoa simu yako halafu unaiweka sikioni kama vile uko bize kwenye maongezi....lol

Hii yote ni katika kum-avoid tu huyo mtu maana akisimama kuongea na wewe itachukua forever na wewe huna muda ama hujisikii kumsikiliza na mistori yake.

Ukiwa "unaongea na simu" ghafla simu inaita. Kaah...
 
Neno hilo NN. Mna vigunia vyenu vya kilo 50, 50 za mchele na unga. Mnajua fika labda vinaweza kwenda kwa mwezi au zaidi sasa yakaongezeka matumbo mengine matatu au manne kila Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu (kama zipo) mnakuta vigunia vimekatika baada ya wiki mbili. Hapa lazima uwe mkavu ili kumkomalia mtu akuelewe kwamba tabia yake/yao ya kuzuka bila taarifa tena karibu na saa za mlo haikubaliki.

BAK, mimi naona ni ustaarabu pale ambapo mtu anakutaarifu beforehand kuwa atakuja kukutembelea. Na katika hizi zama za simu za mkononi hakuna sababu yoyote ile kwa nini mtu asikutaarifu mapema kuwa atakuwa mgeni wako.

Kutaarifu mapema kunampa mtu/ mwenyeji fursa ya kujipanga. Mimi sipendi kabisa kuvurugiwa bajeti zangu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Neno hilo NN. Mna vigunia vyenu vya kilo 50, 50 za mchele na unga. Mnajua fika labda vinaweza kwenda kwa mwezi au zaidi sasa yakaongezeka matumbo mengine matatu au manne kila Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu (kama zipo) mnakuta vigunia vimekatika baada ya wiki mbili. Hapa lazima uwe mkavu ili kumkomalia mtu akuelewe kwamba tabia yake/yao ya kuzuka bila taarifa tena karibu na saa za mlo haikubaliki.

Wengine tunaishi kwa bajeti bana. Sasa haya mambo ya kuibukiana bila taarifa ndo mwanzo wa kuharibiana bajeti.

lol...........mnanivunja mbavu aisee lol....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK, mimi naona ni ustaarabu pale ambapo mtu anakutaarifu beforehand kuwa atakuja kukutembelea. Na katika hizi zama za simu za mkononi hakuna sababu yoyote ile kwa nini mtu asikutaarifu mapema kuwa atakuwa mgeni wako.

Kutaarifu mapema kunampa mtu/ mwenyeji fursa ya kujipanga. Mimi sipendi kabisa kuvurugiwa bajeti zangu.

Mkuu NN usifukuze malaika na baraka kwaajili ya bajeti banaaaaa
 
lol...........mnanivunja mbavu aisee lol....

...lazima tuwe wakweli Mkuu BOSS vinginevyo malengo mengine ya maisha hayatafikiwa...na miaka haitusubiri.
 
Monkey Ngabu, ze ploblemu ze my you live abrodi many many yahz, ze my you now mzungu mtitu

Ustaarabu haujalishi mtu unaishi wapi bana. Kwenda tu kwa watu bila kuwapa taarifa mapema si ustaarabu. Binafsi mimi ni mtu private sana na ninaithamini sana privacy yangu. Ukiniibukia tu bila taarifa naona kama umei-invade privacy yangu.
 
Kama wanajifanya ni tabia yao basi for every visit at your place make two at theirs, wataelewa shidya ya unexpeted visits. Au waambie next time wakupigie maana 'almost wangekukosa'. ila changia msosi tu, usiwanyime. Wakija tena you say the same and unajifanya kutania but ndio unamaanisha: hivi nyinyi kutoa taarifa mmeshindwa kabisa? shauri zenu ipo siku mtafika mnakuta fridge nyeupeeee, hata cha kuwakaribisheni sina. Hapo lazima wataelewa tu. Mbona tunaelewa visomo vya kanga jamani, ndio message kama hii tushindwe?

Hahaa, sasa naona jino kwa jino. If yuh du mi, i du yuh lol...
 
Dawa yao unawazuga tunataka kwenda muhimbili kunamgonjwa apo lazma waage wakisepa tu namwambia wife niletee castle lite afu niwekee movie ya ong-back nijiachie
 
Wengine tunaishi kwa bajeti bana. Sasa haya mambo ya kuibukiana bila taarifa ndo mwanzo wa kuharibiana bajeti.
Kusema tu kweli mimi kama mwanamke ninae miliki budget, chakula sio the key thing kinacho maliza budget. kuongeza 2 or three portions haiharibu wiki. Budget iko affected na makadi ya sim bila mpango, fuel, outing etc. an extra plate on the table here and there haina effect. Na host mzuri ni yule amesha piga budget yake kwa kucatter hao watu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom