wafanyabiashara wamefunga maduka na kukusanyika viwanja vya Mwanjelwa huko mbeya kupinga mashine za Tra.
my take. hizi mashine bei yake ni ml 1.5 ila lap top mpya sh laki nne huu si ufisadi huu?
Wabunge wapo wapi?
Ths laki nane tuu.(800000)
wafanyabiashara wamefunga maduka na kukusanyika viwanja vya Mwanjelwa huko mbeya kupinga mashine za Tra.
my take. hizi mashine bei yake ni ml 1.5 ila lap top mpya sh laki nne huu si ufisadi huu?
Wabunge wapo wapi?
Mbeya hawataki kuburuzwa.!!Bila kukusanya watapataje maendeleo;
Tukisema upinzani ni janga la kitaifa
mnarusha mawe.
Kama ni issue ya mashine za tra ifanyiwe ufumbuzi;
Na kwanini lianzie mbeya.
Sio hayupo,suala ni kwamba wataanza vipi kumshawishi ili awatulize hao vijana wa Mwanjelwa ikiwa walimmdhalilisha bungeni.Patamu hapa nasubiri.......mimi ni mzaliwa wa Mbeya najua bila Sugukuingilia kati kuwatuliza wafanyabiasahara ilo zoezi litakuwa gumu.Sugu hayupo?
Mueleze kijana kuwa upinzani kwa CCM ulianzia Mbeya tangu enzi za Mwalimu.Somebody called Mwakitwange alikuwa mwiba kwa CCM miaka iyo.Mbeya hawataki kuburuzwa.!!
Haya bana daah!Dar es Salaam tumeanza kutumia machine za EFD tumenunua laki 8.
Hili jambo liliwahi lisema pale Mbeya. Mbunge anayetakiwa kuchaguliwa ni mwenye akili timamu. Ubishi wa watu wakavamia jani. Sasa mvuta bangi kashawishi watu waingie barabarani bila kuwaeleza madhara kwenye biashara zao! Hizo bangi zake zimemwelekeza kuwa Mbeya peke yake ndiko bei mbaya, mikoa mengine bei ni rahisi?
Sasa anaevuta Bangi ni nani kati wabunge wa CCM wanaosimamia dhuruma na wabunge wa CDM wanaosimamia haki.Acha kufikiri kwa njia ya mak....lio.Watu wa Mbeya wanajitambua si waji.....a kama wewe,inawezekana wewe ni wa kuja au unatokea kwenye mikoa ya watu wenye nidhamu ya woga.Sisi wanambeya hatuko ivo baba,jipange.Hili jambo liliwahi lisema pale Mbeya. Mbunge anayetakiwa kuchaguliwa ni mwenye akili timamu. Ubishi wa watu wakavamia jani. Sasa mvuta bangi kashawishi watu waingie barabarani bila kuwaeleza madhara kwenye biashara zao! Hizo bangi zake zimemwelekeza kuwa Mbeya peke yake ndiko bei mbaya, mikoa mengine bei ni rahisi?
Dar es Salaam tumeanza kutumia machine za EFD tumenunua laki 8.
Acha upumbavu wewe mjinga mkubwa wewe serikali inakataa nn kuongea na wafanyabiashara? Au unafikiri hutujui kua hizo mashine ni miradi ya vigogo? Tutolee uccm wako hapa.Hili jambo liliwahi lisema pale Mbeya. Mbunge anayetakiwa kuchaguliwa ni mwenye akili timamu. Ubishi wa watu wakavamia jani. Sasa mvuta bangi kashawishi watu waingie barabarani bila kuwaeleza madhara kwenye biashara zao! Hizo bangi zake zimemwelekeza kuwa Mbeya peke yake ndiko bei mbaya, mikoa mengine bei ni rahisi?
Kuna ufisadi mkubwa sana unafanywa na TRA.
Bei ya hizi machine ni juu sana kwa sababu TRA wametoa tender kwa watu wao hivyo huwezi kukwepa ulanguzi wao. Ni kwanini TRA wasiseme aina za machine zinazotakiwa, halafu mtu anakuwa huru kununua anakoweza na baadae unapeleka TRA ili wai-set hiyo machine? Ni kwanini WANAHODHI hizi machine? Bei ya machine haizidi laki 5, lakini hawa TRA kupitia kwa walanguzi wao wanauza machine kwa 1.5 million na kuendelea! Wizi mtupu.
Pili, huu umahiri wa TRA kuwafungia machine wafanyabishara kwa nini hatuuoni kwa makampuni ya simu? Wafanyabiashara wanaweza kabisa kukataa kuweka hizi machine hadi pale makampuni ya simu yatakapofunga machine. Unyonyaji huu ndio tunaona sasa wanataka kutoza kodi Mama ntilie line simu huku makampuni yenyewe yakiachwa. Unyonyaji.
hapo sugu na silinde wamemwaga sumu hawataki halmashauri ya jj la mbeya lipate mapato
kwa hiyo wanagomea kulipa kodi? haya ndo madhara ya kuwa na mbunge mvuta bangi. anadhani kila kitu kinaamuliwa kwa nguvu. mbona hapa Dar wafanyabiashara wengi wanazo na hakuna tofauti ya biashara zao?
CCM kila mahali wanaharibu sijui 2015 watakilimbia wapi??!!